Video: Alia kama mtoto baada ya kugundua mke wake bado ana mahusiano na mzazi mwenzie

Single mother hakupendi anataka ushirikiano wako tu kwenye malezi ya mtoto wake. Mtoto atakapokua na kuanza kujitegemea single mother uyo uyo atamwambia mwanae wewe sio baba yake ili aweze kufaidi matunda ya mtoto yeye peke yake.

Single mother hakupendi, ana trauma tu za mahusiano yake ya nyuma na anataka kumuonyesha mzazi mwenzake kwamba ame-move, hii trauma ikiisha na mzazi mwenzake akijirudi, kupasha kiporo ni suala la right time na right place tu.
Uuuuwwwiiiiiiiiiiiii
 
usijali bebi wangu mimi sitakufanyia ivo,usije ukanilima kitofali pm huko,,wachana na maneno ya waja
 
Single mother hakupendi anataka ushirikiano wako tu kwenye malezi ya mtoto wake. Mtoto atakapokua na kuanza kujitegemea single mother uyo uyo atamwambia mwanae wewe sio baba yake ili aweze kufaidi matunda ya mtoto yeye peke yake.

Single mother hakupendi, ana trauma tu za mahusiano yake ya nyuma na anataka kumuonyesha mzazi mwenzake kwamba ame-move, hii trauma ikiisha na mzazi mwenzake akijirudi, kupasha kiporo ni suala la right time na right place tu.
Nawaonea huruma watakao oa single maza hawa ndugu zangu,narudia nawaonea huruma hawatoboi
 
Single mother hakupendi anataka ushirikiano wako tu kwenye malezi ya mtoto wake. Mtoto atakapokua na kuanza kujitegemea single mother uyo uyo atamwambia mwanae wewe sio baba yake ili aweze kufaidi matunda ya mtoto yeye peke yake.

Single mother hakupendi, ana trauma tu za mahusiano yake ya nyuma na anataka kumuonyesha mzazi mwenzake kwamba ame-move, hii trauma ikiisha na mzazi mwenzake akijirudi, kupasha kiporo ni suala la right time na right place tu.
Hapa umeongea ukweli mtupu....
 
Kwani huyo jamaa alikuwa hahudhurii vikao??....Si tulishasema mpaka uone kaburi....Yeye alimchukua vipi bila ya kuona kaburi??
 
Cha mtu huliwa na mtu chuma pekee ndio huliwa na kutu
 
Back
Top Bottom