Video aliyorusha Miss World kuhusu hali ya umaskini Tanzania; Mama Salma na wenza wa viongozi wa Tanzania bado wanaona ni sahihi kulipwa mabilioni?

We nawe umetokea wapi ghafla na akili kama hizi, maandiko mengine msiwe mnajibu maana ni kujidhalilisha, hili sio bandiko la kujibu kwa akili za kisoda, jaribu kufikiria wadogo zetu wanaotembea matako wazi kuwa uchakavu wa uniform, halafu mtazame huyo mama unayemtetea anahitaji mafao ya nini tena kama sio ulafi.
 
Unaongea UFALA gani we jamaa???
Kwahiyo kisa ana haki basi ndio apeleke mpaka muswada wa kipuuzi na wa kinyonyezi kama huo???
Unajua ni pesa kiasi gani hao kina mama watalimbikizwa na kuongeza bajeti ya serikali ilhali hawana uhitaji??
 
Mkuu licha ya Salma kupeleka hoja bungeni hana mamlaka wala nguvu ya kupitisha sheria bungeni!

Basi tuseme alikuwa na ushawishi mkubwa au aliwahonga wabunge wote kuipitisha, je kwa Raisi alifanyaje Mpaka akasaini? Kimsingi katetea vizuri wenzi wa wastaafu viongozi!

Tusisahau kuwa nao ni binadamu wanapitia magumu kama sisi, ndoa zao ni hizi hizi za spana mkononi na ni watanzania pia.

Hakuna kati yetu aliye wahi kuwa mwenzi wa rais au kiongozi wa juu akafahamu mzigo, ugumu au changamoto wanazopitia katika mazingira hayo!

Kama tunaona wanachopata hawastahili au ni kikubwa tufuate utaratibu wa kupinga mahakamani au tutumie wabunge wetu wapeleke hoja bungeni ya kupunguza mishahara ya viongozi hao! Au tuingie barabarani!

Kwa sasa upende usipende imeenda hiyo!!
 
Unaongea UFALA gani we jamaa???
Kwahiyo kisa ana haki basi ndio apeleke mpaka muswada wa kipuuzi na wa kinyonyezi kama huo???
Unajua ni pesa kiasi gani hao kina mama watalimbikizwa na kuongeza bajeti ya serikali ilhali hawana uhitaji??
Mkuu huo unaitwa wivu na chuki ya kike! Ukubali ukatae hiyo imeenda!
 
Mkuu unaogopa nguvu ya mwanamke, unaumia mwanamke kupata hela! Kwa nini usihoji kiasi anachopata raisi!
 
Unaonekana kuguswa Sana na hili suala la pension kwa wake wa wastaafu na kuona kuwa wanastahili!
Salma alikuwa mwalimu na mmewe alipopata nafasi ya urais yeye alistaafu kazi ya ualimu na kulipwa mafao yake yote na aliendelea kulipwa pension ya kila mwezi.
Naiuliza, ni sahihi yeye kulipwa pension za aina mbili tofauti.? Au Kuna inayokoma kupisha nyingine?
Kama anapokea zote, Sheria inasemaje?
 
🙏
 
Toka mwaka jana na mwaka uanze sijasoma bandiko lenye madini km hili.!!
Umeongea ukweli mtupu mkuu, hii nchi ukiifikiria sana unaweza kupata vidonda vya tumbo. Watawala wetu ni jau sana.
Huyo waziri ndio kaonyesha ujinga kabisaaa!!
Hivi mtu anaonyesha matatizo mliyonayo halafu bila aibu anasema anatangaza utalii!! Umaskini wa wananchi ss hivi umekuwa utalii kweli???
 
🙏
 
Uafrika hasa utanzania ni laana.

Watu tukisema hapa kwamba watu weusi ni laana mnapinga kwamba sio kweli.

Haya vithibitisho ndio kama hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…