Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mama anatamaa kupita kiasiMama Salma alitia aibu harafu jana eti anatembea na Bodaboda kuangalia changamoto za kina mama jimbo mwake.
Huku anavuta mavumba ila wanawake wenzie anawafanyia Usanii na maigizo.
Seriously unatetea ule ujinga wa yule Mama?Mkuu;
Hoja ya yako sio video ya huyo Miss world ila umejiegesha kwenye hiyo habari ili umseme mama Salma Kikwete.
Hii inaonesha ni jinsi gani huna uelewa mzuri wa haki, madaraka, kazi na majukumu ya bunge na mbunge.
Pia huna taarifa sahihi kuhusu taratibu na hatua za kutunga na kupitisha sheria bungeni na kwa kwa ujumla namna bunge linavyojiendesha.
Nakushauri upitie katiba na kanuni za bunge kabla ya kunyoshea watu vidole!
Mheshimiwa Salma kama mbunge alitumia haki yake kupeleka hoja hiyo bungeni, ikapolewa na kuandaliwa kupitia ofisi ya mwanasheria Mkuu wa serikali na kurudishwa bungeni ambapo ilipitishwa na wabunge wengi bungeni.
Kosa lake liko wapi?? Tupunguze chuki!
Dunia hivi sasa ni kama tu kijiji, "limit is only the sky", ni lazima Watanzania tujipime sisi wenyewe kupitia tawala, viongozi na wananchi wa nchi nyingine. Pamoja na uwepo wa haki, maadili, kinga, pamoja na majukumu ya mbunge na bunge. Lakini, Je! Maamuzi yao kwa kiasi gani yana tija kwa mwananchi wa kawaida!?Mkuu umewalaani kabisa?
🙏Seriously unatetea ule ujinga wa yule Mama?
Sitashangaa miss world akirudi tena huku akienda kwao atakuhurumia nawe kwa huu ujinga wako..
Time will tell.
Umeongea point sana yani nchi imejaa unafiki sana mtu ukiongea ukweli unaonekana mpinzani ukweli kama huu viongozi wetu hawautaki tupo kinafiki sana unakuta mwalimu analalamika ajalipwa hela ya likizo mwalimu huyo huyo anachanga hela ya kumchangia kiongozi ya kugombea uraisi mwakaniMiss world ni binti mdogo aliyezaliwa masafa ya mbali na Tanzania. Alipofika Tanzania miaka minne iliyopita alitembelea Arusha na kukuta familia zisizo na uwezo wa mlo wa siku wala malazi. Watoto wengi zaidi ya asilimia 20 walibainika kutokwenda shule. Wawapo shuleni wanakosa chakula huku wakitumia muda wa zaidi ya masaa manne kwenda na manne kurejea majumbani kwao.
Binti huyu alishiriki kujenga shule na akajitolea kufundisha. Alijitolea chakula na malazi ikiwemo kuwanunua wanafunzi mavazi. Stori hii imerushwa live na inasambaa mitandaoni. Wanaojadili wanaona kama fedhea kwa watawala wetu huku watawala wakijinadi kwamba inatangaza utalii na kuitangaza nchi yetu.
Kwa maana nyingine watawala tatizo la watoto kukosa shule siyo big deal bali kwao wao wanaona kama video hii inatangaza utalii. Nimesoma comment ya waziri mmoja akisifia video ile akidai imesaidia wengi kuifahamu Tanzania.
Mimi nikawa na Mtizamo tofauti; nilipoona video hii nimejiuuliza Mama Salma Kikwete anakosa nini hadi achukue fedha za wananchi maskini ziwe zake na familia yake kupitia sheria mpya aliyopenyeza bungeni ya mafao ya wenza wa viongozi?
Hao wenza wa viongozi wana umaskini gani hadi wajione wao wanafaa kulipwa mabilioni ya kodi za umma for years huku wananchi wakikosa mlo mmoja?
Huyu binti Miss Worl hana pensheni lakini ana moyo wa Mungu na upendo. Huyu binti siyo Mtanzania ila ameonyesha kujali na kuthamini uhai wa watoto wetu. Huyu binti siyo mweusi bali ametambua kila binadamu anahitaji haki ya elimu na kuishi.
Natambua wenza walio wengi ni wanawake kuliko wanaume. Natambua waliopigania kulipwa mabilioni haya ni wanawake na siyo wanaume. Natambua wanawake wote waliopigania hii hoja wamezaliwa familia bora. Natambua wanawake hawa hawajawahi kuwaza wala kufikia kusaidia yeyote kwa fedha zao kama alivyofanya huyu binti. Wengi wao utumia fedha za umma kuzifanya mali yao na kutumia miradi ya umma kama fadhila kwa jamii.
Wanawake weusi jitafakarini, waume zenu walipopata madaraka walijilimbikiza mali za umma. Mwenyenzi Mungu akakasirika na sasa wakimaliza muda wa huduma wanachokiona mbele yao ni magonjwa na hivyo vile walivyochuma kwa dhulma vimeoza na kuishia kuwatibu kuliko kuvisaza.
Naona wanawake nao wameamua kujilimbikizia mali za maskini kwa msingi wa sheria. Wanawake viongozi wa Tanzania wamewakwa tamaa na nafsi zao zinawaza kuishi kwa anasa pale wenzao wao wanapoostaafu.
Amini Amin nawaambia......kwa kuwa pensheni hii italipwa mkiwa hai na ili msilipwe pensheni hii kwa muda mrefu na kunyonya maskini , Mwenyenzi Mungu anakwenda kuwapa maisha mafupi sana. Kisheria mtalipwa ila kiroho mtalipwa kwa muda mfupi sana.
Haiwezekani binti wa miaka 24 aje kwenye nchi yenye kila kitu akasaidie kulisha watoto wetu huku ninyi mkijilimbikizia mabilioni msiyoyafanyia kazi
Hongera miss world kwakuwainua wanetu.
Listen before you thank me..[emoji120]
Picha, tafadhali..!
Krystyna believes that education is a fundamental right that every child deserves, regardless of their background or circumstances. However, access to education still remains a challenge for many of the world's children, especially in these rural areas. That's why she decided to start with a school construction, to be able to provide quality education for the children. In July 2022, a completely new fully equipped school was opened in Tanzania, where Krystyna and the team currently guide 320 children to a brighter future through their educational programs and English classes. The cost to study English in language centers in cities or to hire tutors is not affordable to people in difficult circumstances.
In July 2022, a completely new fully equipped school was opened in Tanzania, where Krystyna and the team currently guide 320 children to a brighter future through their educational programs and English classes. The cost to study English in language centers in cities or to hire tutors is not affordable to people in difficult circumstances.
In the school, they developed the Free English Class project with 4 programs in Tanzania:
Direct English teaching program
- Volunteer Exchange program
- Lunch service program
- Water Management program
With the direct English teaching program local teachers were arranged to provide classes in the newly built school.
uafrika ni LAANAMiss world ni binti mdogo aliyezaliwa masafa ya mbali na Tanzania. Alipofika Tanzania miaka minne iliyopita alitembelea Arusha na kukuta familia zisizo na uwezo wa mlo wa siku wala malazi. Watoto wengi zaidi ya asilimia 20 walibainika kutokwenda shule. Wawapo shuleni wanakosa chakula huku wakitumia muda wa zaidi ya masaa manne kwenda na manne kurejea majumbani kwao.
Binti huyu alishiriki kujenga shule na akajitolea kufundisha. Alijitolea chakula na malazi ikiwemo kuwanunua wanafunzi mavazi. Stori hii imerushwa live na inasambaa mitandaoni. Wanaojadili wanaona kama fedhea kwa watawala wetu huku watawala wakijinadi kwamba inatangaza utalii na kuitangaza nchi yetu.
Kwa maana nyingine watawala tatizo la watoto kukosa shule siyo big deal bali kwao wao wanaona kama video hii inatangaza utalii. Nimesoma comment ya waziri mmoja akisifia video ile akidai imesaidia wengi kuifahamu Tanzania.
Mimi nikawa na Mtizamo tofauti; nilipoona video hii nimejiuuliza Mama Salma Kikwete anakosa nini hadi achukue fedha za wananchi maskini ziwe zake na familia yake kupitia sheria mpya aliyopenyeza bungeni ya mafao ya wenza wa viongozi?
Hao wenza wa viongozi wana umaskini gani hadi wajione wao wanafaa kulipwa mabilioni ya kodi za umma for years huku wananchi wakikosa mlo mmoja?
Huyu binti Miss Worl hana pensheni lakini ana moyo wa Mungu na upendo. Huyu binti siyo Mtanzania ila ameonyesha kujali na kuthamini uhai wa watoto wetu. Huyu binti siyo mweusi bali ametambua kila binadamu anahitaji haki ya elimu na kuishi.
Natambua wenza walio wengi ni wanawake kuliko wanaume. Natambua waliopigania kulipwa mabilioni haya ni wanawake na siyo wanaume. Natambua wanawake wote waliopigania hii hoja wamezaliwa familia bora. Natambua wanawake hawa hawajawahi kuwaza wala kufikia kusaidia yeyote kwa fedha zao kama alivyofanya huyu binti. Wengi wao utumia fedha za umma kuzifanya mali yao na kutumia miradi ya umma kama fadhila kwa jamii.
Wanawake weusi jitafakarini, waume zenu walipopata madaraka walijilimbikiza mali za umma. Mwenyenzi Mungu akakasirika na sasa wakimaliza muda wa huduma wanachokiona mbele yao ni magonjwa na hivyo vile walivyochuma kwa dhulma vimeoza na kuishia kuwatibu kuliko kuvisaza.
Naona wanawake nao wameamua kujilimbikizia mali za maskini kwa msingi wa sheria. Wanawake viongozi wa Tanzania wamewakwa tamaa na nafsi zao zinawaza kuishi kwa anasa pale wenzao wao wanapoostaafu.
Amini Amin nawaambia......kwa kuwa pensheni hii italipwa mkiwa hai na ili msilipwe pensheni hii kwa muda mrefu na kunyonya maskini , Mwenyenzi Mungu anakwenda kuwapa maisha mafupi sana. Kisheria mtalipwa ila kiroho mtalipwa kwa muda mfupi sana.
Haiwezekani binti wa miaka 24 aje kwenye nchi yenye kila kitu akasaidie kulisha watoto wetu huku ninyi mkijilimbikizia mabilioni msiyoyafanyia kazi
Hongera miss world kwakuwainua wanetu.
🙏📝Listen before you thank me..
Simply Mama Salma ni mjinga, aliyekuwa na wazo la kijinga, akalipeleka kwa wajinga wenzie, wakalipitisha...
Sasa kwanini unamkingia kifua huyo chirf wa ujinga?!
Hakuna linkMiss world ni binti mdogo aliyezaliwa masafa ya mbali na Tanzania. Alipofika Tanzania miaka minne iliyopita alitembelea Arusha na kukuta familia zisizo na uwezo wa mlo wa siku wala malazi. Watoto wengi zaidi ya asilimia 20 walibainika kutokwenda shule. Wawapo shuleni wanakosa chakula huku wakitumia muda wa zaidi ya masaa manne kwenda na manne kurejea majumbani kwao.
Binti huyu alishiriki kujenga shule na akajitolea kufundisha. Alijitolea chakula na malazi ikiwemo kuwanunua wanafunzi mavazi. Stori hii imerushwa live na inasambaa mitandaoni. Wanaojadili wanaona kama fedhea kwa watawala wetu huku watawala wakijinadi kwamba inatangaza utalii na kuitangaza nchi yetu.
Kwa maana nyingine watawala tatizo la watoto kukosa shule siyo big deal bali kwao wao wanaona kama video hii inatangaza utalii. Nimesoma comment ya waziri mmoja akisifia video ile akidai imesaidia wengi kuifahamu Tanzania.
Mimi nikawa na Mtizamo tofauti; nilipoona video hii nimejiuuliza Mama Salma Kikwete anakosa nini hadi achukue fedha za wananchi maskini ziwe zake na familia yake kupitia sheria mpya aliyopenyeza bungeni ya mafao ya wenza wa viongozi?
Hao wenza wa viongozi wana umaskini gani hadi wajione wao wanafaa kulipwa mabilioni ya kodi za umma for years huku wananchi wakikosa mlo mmoja?
Huyu binti Miss Worl hana pensheni lakini ana moyo wa Mungu na upendo. Huyu binti siyo Mtanzania ila ameonyesha kujali na kuthamini uhai wa watoto wetu. Huyu binti siyo mweusi bali ametambua kila binadamu anahitaji haki ya elimu na kuishi.
Natambua wenza walio wengi ni wanawake kuliko wanaume. Natambua waliopigania kulipwa mabilioni haya ni wanawake na siyo wanaume. Natambua wanawake wote waliopigania hii hoja wamezaliwa familia bora. Natambua wanawake hawa hawajawahi kuwaza wala kufikia kusaidia yeyote kwa fedha zao kama alivyofanya huyu binti. Wengi wao utumia fedha za umma kuzifanya mali yao na kutumia miradi ya umma kama fadhila kwa jamii.
Wanawake weusi jitafakarini, waume zenu walipopata madaraka walijilimbikiza mali za umma. Mwenyenzi Mungu akakasirika na sasa wakimaliza muda wa huduma wanachokiona mbele yao ni magonjwa na hivyo vile walivyochuma kwa dhulma vimeoza na kuishia kuwatibu kuliko kuvisaza.
Naona wanawake nao wameamua kujilimbikizia mali za maskini kwa msingi wa sheria. Wanawake viongozi wa Tanzania wamewakwa tamaa na nafsi zao zinawaza kuishi kwa anasa pale wenzao wao wanapoostaafu.
Amini Amin nawaambia......kwa kuwa pensheni hii italipwa mkiwa hai na ili msilipwe pensheni hii kwa muda mrefu na kunyonya maskini , Mwenyenzi Mungu anakwenda kuwapa maisha mafupi sana. Kisheria mtalipwa ila kiroho mtalipwa kwa muda mfupi sana.
Haiwezekani binti wa miaka 24 aje kwenye nchi yenye kila kitu akasaidie kulisha watoto wetu huku ninyi mkijilimbikizia mabilioni msiyoyafanyia kazi
Hongera miss world kwakuwainua wanetu.
Usivunjike moyo mkuu wajinga wapo madarakaniHii paragraph imenivunja moyo kabisa
Tatizo la msingi hapa nchini ni UJINGA na huu wameukumbatia watawalaMficha uchi hazai Tanzania bado ni masikini huo ndio ukweli miaka 20 iliyopita kulikuwa na issue ya mapanki.
Mpaka yule mwandishi akaletewa mizengwe ila ukweli tulikiwa tunakula mapanki
Hawa wanafanya hivi kutusaidia huu ndio uhalisia wa maisha yetu !!!!
Mpaka uwa najiuliza miaka 60 ya Uhuru Nyerere, mwinyi, Mkapa, kikwete, Magufuli na Samia walishindwa nini kusolve tatizo la msingi ambalo ni umasikini.!! ?
Wanasiasa wa kiafrika wanajifikiria wenyewe tuMficha uchi hazai Tanzania bado ni masikini huo ndio ukweli miaka 20 iliyopita kulikuwa na issue ya mapanki.
Mpaka yule mwandishi akaletewa mizengwe ila ukweli tulikiwa tunakula mapanki
Hawa wanafanya hivi kutusaidia huu ndio uhalisia wa maisha yetu !!!!
Mpaka uwa najiuliza miaka 60 ya Uhuru Nyerere, mwinyi, Mkapa, kikwete, Magufuli na Samia walishindwa nini kusolve tatizo la msingi ambalo ni umasikini.!! ?
Kosa lake ni ulafi. Zaidi ya kulala kitanda kimoja (kama ilikuwa) na JK amechangia nini Tanzania?Mkuu;