GE2025 Video: Aliyoyasema Lissu kwenye interview hii na Stanslaus Lambert ndio kinachomtokea Mpina na wapinzani muda huu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Nimekutana na interview hii ya Lissu ambayo alifanya na mtangazaji Stanslaus Lambert muda mfupi baada ya kushinda Uenyekiti CHADEMA

Hapa Lissu alisema haogopi watu kuhama CHADEMA kwenda vyama vingine kugombea Ubunge kwani hata huko wanapoenda hawatachaguliwa. Anasema hapa, mamlaka za uteuzi zitawetengua (kama kinachomtokea Mpina) na wakipita hapo hawatatangazwa

Inashangaza sana hata baada ya kutoa onyo hili, ACT na washirika wake walienda kwenye Uchaguzi as if walidhani kwamba CCM itawakubalia washinde

Vinyamkera vya uchawa vinasonya tu hapa!!
 
This man is always ahead of time.
 
Akili kubwa imewekwa gerezani, akili ndogo Iko Ngerengere inapuyanga,

Ee Mungu wa mbinguni tunakuomba utuondolee laana hii.
 
Lissu ni mwamba sana, Samia na genge lake wanajua na ukiitwa mdahalo wa Lissu Vs Samia na genge lake lote na vyama vyake vyote shikizi amini nakuambia atawagaragaza vibaya mno.
 
Wakuu,

Nimekutana na interview hii ya Lissu ambayo alifanya na mtangazaji Stanslaus Lambert muda mfupi baada ya kushinda Uenyekiti CHADEMA

Hapa Lissu alisema haogopi watu kuhama CHADEMA kwenda vyama vingine kugombea Ubunge kwani hata huko wanapoenda hawatachaguliwa. Anasema hapa, mamlaka za uteuzi zitawetengua (kama kinachomtokea Mpina) na wakipita hapo hawatatangazwa

Inashangaza sana hata baada ya kutoa onyo hili, ACT na washirika wake walienda kwenye Uchaguzi as if walidhani kwamba CCM itawakubalia washinde

1000Miles ahead of time
 
Back
Top Bottom