Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 7,021
- 11,475
With 99.03% of votes counted, ANC is at 40.3%. It has lost parliamental majority.
ANC wanaona aibu kuwafuata DA (wazungu) kuwaomba kufanya coalition. Ni kama wanarudisha kwa mkoloni kuwa mambo yamewashinda. Aibu!
Wanaukakasi kumwendea MK , owner ni JZ, waliye mpeleka jela. Na juzi kumpa hukumu hawezi kuingia bungeni.
EFF inadai kutaifisha migodi mikubwa yote, kuchukua ardhi na kuwapa watu weusi bure. Vilevile Julius Malema anataka post ya Minister of Finance ishikwe na EFF. Pagumu sana!
Hawa wengine wadogo wadogo mno. Inabidi wawe wengi. Na kila mmoja apate keki!