Video: ANC kumpigia Julius Malema Magoti kwa ajili ya Serikali ya umoja

Video: ANC kumpigia Julius Malema Magoti kwa ajili ya Serikali ya umoja

Hata waharibu uchumi mdogo

Ila aliye waathiri sana ANC ni Jacob Zuma. Chama kiliundwa Desemba 2023 ndani ya miezi 5 kina 15% ya kura siyo mchezo
Jacob Zuma ndiye aliyeharibu Afrika ya kusini kufikia ilipo leo hii, na bado anaendelea kuiharibu zaid kwa kuleta chama kingine cha siasa chenye mlengo wa kikabila. Hawatachelewa kukatana mapanga
 
Jacob Zuma ndiye aliyeharibu Afrika ya kusini kufikia ilipo leo hii, na bado anaendelea kuiharibu zaid kwa kuleta chama kingine cha siasa chenye mlengo wa kikabila. Hawatachelewa kukatana mapanga
Kwani NELSON MANDELA alifanya nini kabla hajakabidhi madaraka
 
Kwani NELSON MANDELA alifanya nini kabla hajakabidhi madaraka
Mandela hakufanya mambo makubwa sana zaidi ya kuanzisha taifa upya. Alikaa amadarakani miaka mitano tu na kisha akamkabidiu Thabo Mbeki. Sasa huyu Zuma na grup lake wakampa misukusuko sana Mbeki na kufanya uendeshaji wa serikali uwe mgumu hadi wakamundoa madarakani. Wao walidhani ni rahisi serikali kunyanganya mali wazungu na kuwagawia waafrika weusi kumbe siyo hivyo.
 
Back
Top Bottom