The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Soon Malema anaanza kunywa juice za Ikulu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dollar milion zote hizo kukutwa nyumbani inawezekanaje mkuu?Cyril Ramaphosa Akipata chini ya 45% anaweza kushikizwa kujiuzulu na chama
Hilo liko mezani. Na atashitakiwa na kesi ya money laundering kutokana na kesi ya $ 4m or 6m kukutwa nyumbani kwake, chini ya makochi na kitandani chumbani kwake! Naye ataenda jela kama Jacob Zuma.
Na wengi wenye uelewa hata watu wazima wameikataa ANC iliyo ya kihunihuni. ANC imekata pumzi, hata wakati wa kampeni walionekana usoni waziwazi kuwa wamekata moto, yamepaki majivu.Coalition nzuri hapo ni ANC na DA.
Hakuna sababu ya kuwaogopa DA.
Ni chama kilicho multiracial. Siyo chama cha Wazungu tu.
Huwezi kupata asilimia walizopata DA kwa kupigiwa kura na Wazungu tu ambao ni takriban 7% ya idadi ya watu wote Afrika Kusini.
DA imepata kura zaidi ya 20%.
Kwa Katiba ipi na Tume ipi?Tanzania CCM nayo ijipange, ujifunze vyema. Hata diamonds are not forever! Na katiba mpya ndiyo siri kuu. Hiyo ndiyo itazalisha tume huru! Na ndiyo wanaposhikilia kujitoa akili na kusingizia tuanze na maridhiano!
Unaijua ccm au unaisikia tu? Ccm haiwezi kufika huku kote ina wataalam wa kutoshaTanzania CCM nayo ijipange, ujifunze vyema. Hata diamonds are not forever! Na katiba mpya ndiyo siri kuu. Hiyo ndiyo itazalisha tume huru! Na ndiyo wanaposhikilia kujitoa akili na kusingizia tuanze na maridhiano!
Si hivyo tu, ANC walimtoa na Thabo MbekiHayo ni mambo ya kisiasa tu.
Hata ANC hufanyiana hivyo. Kimsingi na wao walimtoa Zuma.
Kwa kutumia mantiki yako, basi na wao ANC hawaaminiki, siyo?
Cyril Ramaphosa Akipata chini ya 45% anaweza kushikizwa kujiuzulu na chama
Hilo liko mezani. Na atashitakiwa na kesi ya money laundering kutokana na kesi ya $ 4m or 6m kukutwa nyumbani kwake, chini ya makochi na kitandani chumbani kwake! Naye ataenda jela kama Jacob Zuma.
ANC + DA => 60%. Mwenye akili timamu hawezi kataa kuunda serikali yenye kukubalika zaidi ya 60%.Siasa kweli zitamtaka Malema.
Markets zinataka coalition ya ANC na DA.
Hapo ndipo mzozo ulipo.
Ukosefu wa ajira,kwa vijana ndio majibu ya anguko la ANCWith 99.03% of votes counted, ANC is at 40.3%. It has lost parliamental majority.
ANC wanaona aibu kuwafuata DA (wazungu) kuwaomba kufanya coalition. Ni kama wanarudisha kwa mkoloni kuwa mambo yamewashinda. Aibu!
Wanaukakasi kumwendea MK , owner ni JZ, waliye mpeleka jela. Na juzi kumpa hukumu hawezi kuingia bungeni.
EFF inadai kutaifisha migodi mikubwa yote, kuchukua ardhi na kuwapa watu weusi bure. Vilevile Julius Malema anataka post ya Minister of Finance ishikwe na EFF. Pagumu sana!
Hawa wengine wadogo wadogo mno. Inabidi wawe wengi. Na kila mmoja apate keki!
View attachment 3006285
Hata Julius Malena walimfanyia uhuni akaondoka...Si hivyo tu, ANC walimtoa na Thabo Mbeki
Kituo kinachofata ni LumumbaWith 99.03% of votes counted, ANC is at 40.3%. It has lost parliamental majority.
ANC wanaona aibu kuwafuata DA (wazungu) kuwaomba kufanya coalition. Ni kama wanarudisha kwa mkoloni kuwa mambo yamewashinda. Aibu!
Wanaukakasi kumwendea MK , owner ni JZ, waliye mpeleka jela. Na juzi kumpa hukumu hawezi kuingia bungeni.
EFF inadai kutaifisha migodi mikubwa yote, kuchukua ardhi na kuwapa watu weusi bure. Vilevile Julius Malema anataka post ya Minister of Finance ishikwe na EFF. Pagumu sana!
Hawa wengine wadogo wadogo mno. Inabidi wawe wengi. Na kila mmoja apate keki!
View attachment 3006285
Siku zote unawaza huwezi;Na kweli hutokaa uweze. Na kama huwezi,kwa nini wengine wasiweze?Malema ni muhuni tu hamna mwanasiasa pale anaota Wakitaofisha mashamba ya wazungu wajiandae kuwakuta yaliwakuta Zimbabwe .Mwafrika hawezi kuendesha kilimo Cha mashamba makubwa yawe ya serikali au binafsi.Tanzania tulitaifisha mashamba makubwa ya wazungu Yako wapi hayo mashamba serikali iliyoyataifisha Sasa hivi? Yanaendeleaje ? Yote yalikufa mikononi mea serikali
Soko la mazao liko Kwa wazungu na Wana umoja hatari.Zimbabwe ilipotaifisha walidhani soko la nje lilillokuwepo Ulaya na Marekani watashika wao Ile kutaifisha tu wazungu wakawawekea vikwazo hakuna Zimbabwe kuuza mazao yake ya kilimo nje.Mishamba imekufa Sasa hivi Zimbabwe imewaomba wazungu warudi na itawalipa fidia wote walioporwa mashamba Yao na kuwarudishia sababu ndiko sharti walitoa ili warudi
Migodi ikitaifishwa mwafrika Gani aweza endesha migodi mikubwa Afrika Nzima? Hakuna mfano hata mmoja
Waafrika kusini wabaguzi Kwa Sasa sio wazungu ni waafrika kusini weusi.Jao ndio Hadi wanashambulia waafrika weusi wenzetu Africa ya kusini kuwa hawawataki waondoke sio wazungu
Kama ANC wanaamini kuwa ubaguzi Uliisha waungane na hicho Chama Cha Wazungu hapo Hadi Dunia ndio itasena kweli ubaguzi Africa ya kusini haupo
Wazungu ndio injini ya uchumi Africa kusini .ANC waungane nao wasiongane na Chama kibaguzi Cha Malema Cha EFF chenye sera mbovu za kuendelea kuchukia wazungu Ubaguzi ulishaisha .Wazungu na waafrika Sasa kitu kimoja Afrika kusini
Siasa kweli zitamtaka Malema.
Markets zinataka coalition ya ANC na DA.
Hapo ndipo mzozo ulipo.
🤣Kituo kinachofata ni Lumumba
Kule kwao hakuna UDP wala ADC vyama vya Lumumba😂😂😂Bado Ngoma mbichi, if we go by the current results, the ANC-EFF coalition would not be quite enough to clinch a majority without including another party, based on the latest count.
ANC- 40.19%
DA- 21.80%
MK- 14.58%
EFF- 9.50%
Jana 01/06/24 MK Spokesperson Nhlamulo Ndhlela ametoa tamko rasmi "We want a total revote,” akiwa kwenye results centre, minutes before an electoral commission news conference was due to start.
Ifahamike kwamba, mpaka sasa kuna biwi la hofu limejengeka likihusisha fujo, zitakazo tokana na wafuasi wa MK-Party. Previously these supporters rioted and looted for days when Musholozi was arrested for contempt of court in 2021 – reject the results.
Let's wait for today's final and conclusive official announcement by the SA Electoral Commission.
Soma hapa:Dollar milion zote hizo kukutwa nyumbani inawezekanaje mkuu?
Mbona ni pesa ndogo!Cyril Ramaphosa Akipata chini ya 45% anaweza kushikizwa kujiuzulu na chama
Hilo liko mezani. Na atashitakiwa na kesi ya money laundering kutokana na kesi ya $ 4m or 6m kukutwa nyumbani kwake, chini ya makochi na kitandani chumbani kwake! Naye ataenda jela kama Jacob Zuma.
Malema akikataa au akawawekea masharti magumu ambayo hawatayaweza itakuwaje? Itabidi tu uchaguzi urudiwe.With 99.03% of votes counted, ANC is at 40.3%. It has lost parliamental majority.