With 99.03% of votes counted, ANC is at 40.3%. It has lost parliamental majority.
ANC wanaona aibu kuwafuata DA (wazungu) kuwaomba kufanya coalition. Ni kama wanarudisha kwa mkoloni kuwa mambo yamewashinda. Aibu!
Wanaukakasi kumwendea MK , owner ni JZ, waliye mpeleka jela. Na juzi kumpa hukumu hawezi kuingia bungeni.
EFF inadai kutaifisha migodi mikubwa yote, kuchukua ardhi na kuwapa watu weusi bure. Vilevile Julius Malema anataka post ya Minister of Finance ishikwe na EFF. Pagumu sana!
Hawa wengine wadogo wadogo mno. Inabidi wawe wengi. Na kila mmoja apate keki!
Tanzania CCM nayo ijipange, ujifunze vyema. Hata diamonds are not forever! Na katiba mpya ndiyo siri kuu. Hiyo ndiyo itazalisha tume huru! Na ndiyo wanaposhikilia kujitoa akili na kusingizia tuanze na maridhiano!
Ccm ya waza kuiba kura na kupora uchagzi kupitia tume ya uchaguzi na polisi,yanajua fika katika uchaguzi huru na haki hayana chao,ndio mana wanaikataa katiba mpya.
With 99.03% of votes counted, ANC is at 40.3%. It has lost parliamental majority.
ANC wanaona aibu kuwafuata DA (wazungu) kuwaomba kufanya coalition. Ni kama wanarudisha kwa mkoloni kuwa mambo yamewashinda. Aibu!
Wanaukakasi kumwendea MK , owner ni JZ, waliye mpeleka jela. Na juzi kumpa hukumu hawezi kuingia bungeni.
EFF inadai kutaifisha migodi mikubwa yote, kuchukua ardhi na kuwapa watu weusi bure. Vilevile Julius Malema anataka post ya Minister of Finance ishikwe na EFF. Pagumu sana!
Hawa wengine wadogo wadogo mno. Inabidi wawe wengi. Na kila mmoja apate keki!
Malema ni muhuni tu hamna mwanasiasa pale anaota Wakitaofisha mashamba ya wazungu wajiandae kuwakuta yaliwakuta Zimbabwe .Mwafrika hawezi kuendesha kilimo Cha mashamba makubwa yawe ya serikali au binafsi.Tanzania tulitaifisha mashamba makubwa ya wazungu Yako wapi hayo mashamba serikali iliyoyataifisha Sasa hivi? Yanaendeleaje ? Yote yalikufa mikononi mea serikali
Soko la mazao liko Kwa wazungu na Wana umoja hatari.Zimbabwe ilipotaifisha walidhani soko la nje lilillokuwepo Ulaya na Marekani watashika wao Ile kutaifisha tu wazungu wakawawekea vikwazo hakuna Zimbabwe kuuza mazao yake ya kilimo nje.Mishamba imekufa Sasa hivi Zimbabwe imewaomba wazungu warudi na itawalipa fidia wote walioporwa mashamba Yao na kuwarudishia sababu ndiko sharti walitoa ili warudi
Migodi ikitaifishwa mwafrika Gani aweza endesha migodi mikubwa Afrika Nzima? Hakuna mfano hata mmoja
Waafrika kusini wabaguzi Kwa Sasa sio wazungu ni waafrika kusini weusi.Jao ndio Hadi wanashambulia waafrika weusi wenzetu Africa ya kusini kuwa hawawataki waondoke sio wazungu
Kama ANC wanaamini kuwa ubaguzi Uliisha waungane na hicho Chama Cha Wazungu hapo Hadi Dunia ndio itasena kweli ubaguzi Africa ya kusini haupo
Wazungu ndio injini ya uchumi Africa kusini .ANC waungane nao wasiongane na Chama kibaguzi Cha Malema Cha EFF chenye sera mbovu za kuendelea kuchukia wazungu Ubaguzi ulishaisha .Wazungu na waafrika Sasa kitu kimoja Afrika kusini
Cyril Ramaphosa Akipata chini ya 45% anaweza kushikizwa kujiuzulu na chama
Hilo liko mezani. Na atashitakiwa na kesi ya money laundering kutokana na kesi ya $ 4m or 6m kukutwa nyumbani kwake, chini ya makochi na kitandani chumbani kwake! Naye ataenda jela kama Jacob Zuma.
With 99.03% of votes counted, ANC is at 40.3%. It has lost parliamental majority.
ANC wanaona aibu kuwafuata DA (wazungu) kuwaomba kufanya coalition. Ni kama wanarudisha kwa mkoloni kuwa mambo yamewashinda. Aibu!
Wanaukakasi kumwendea MK , owner ni JZ, waliye mpeleka jela. Na juzi kumpa hukumu hawezi kuingia bungeni.
EFF inadai kutaifisha migodi mikubwa yote, kuchukua ardhi na kuwapa watu weusi bure. Vilevile Julius Malema anataka post ya Minister of Finance ishikwe na EFF. Pagumu sana!
Hawa wengine wadogo wadogo mno. Inabidi wawe wengi. Na kila mmoja apate keki! View attachment 3006285
Malema ni muhuni tu hamna mwanasiasa pale anaota Wakitaofisha mashamba ya wazungu wajiandae kuwakuta yaliwakuta Zimbabwe .Mwafrika hawezi kuendesha kilimo Cha mashamba makubwa yawe ya serikali au binafsi.Tanzania tulitaifisha mashamba makubwa ya wazungu Yako wapi hayo mashamba serikali iliyoyataifisha Sasa hivi? Yanaendeleaje ? Yote yalikufa mikononi mea serikali
Soko la mazao liko Kwa wazungu na Wana umoja hatari.Zimbabwe ilipotaifisha walidhani soko la nje lilillokuwepo Ulaya na Marekani watashika wao Ile kutaifisha tu wazungu wakawawekea vikwazo hakuna Zimbabwe kuuza mazao yake ya kilimo nje.Mishamba imekufa Sasa hivi Zimbabwe imewaomba wazungu warudi na itawalipa fidia wote walioporwa mashamba Yao na kuwarudishia sababu ndiko sharti walitoa ili warudi
Migodi ikitaifishwa mwafrika Gani aweza endesha migodi mikubwa Afrika Nzima? Hakuna mfano hata mmoja
Waafrika kusini wabaguzi Kwa Sasa sio wazungu ni waafrika kusini weusi.Jao ndio Hadi wanashambulia waafrika weusi wenzetu Africa ya kusini kuwa hawawataki waondoke sio wazungu
Kama ANC wanaamini kuwa ubaguzi Uliisha waungane na hicho Chama Cha Wazungu hapo Hadi Dunia ndio itasena kweli ubaguzi Africa ya kusini haupo
Wazungu ndio injini ya uchumi Africa kusini .ANC waungane nao wasiongane na Chama kibaguzi Cha Malema Cha EFF chenye sera mbovu za kuendelea kuchukia wazungu Ubaguzi ulishaisha .Wazungu na waafrika Sasa kitu kimoja Afrika kusini
Tanzania CCM nayo ijipange, ujifunze vyema. Hata diamonds are not forever! Na katiba mpya ndiyo siri kuu. Hiyo ndiyo itazalisha tume huru! Na ndiyo wanaposhikilia kujitoa akili na kusingizia tuanze na maridhiano!
BIla wizi hata ccm ingeshanyanduliwa Tanzania ina utajiri wa ajabu lakini haina viongozi kabisa fikiria nchi kama korea ina technolojia kibao Rais anaenda kule badala akutane na Wenye viwanda wapange waje kufungua viwanda anakutana na waandaa filamu😀
Malema ni muhuni tu hamna mwanasiasa pale anaota Wakitaofisha mashamba ya wazungu wajiandae kuwakuta yaliwakuta Zimbabwe .Mwafrika hawezi kuendesha kilimo Cha mashamba makubwa yawe ya serikali au binafsi.Tanzania tulitaifisha mashamba makubwa ya wazungu Yako wapi hayo mashamba serikali iliyoyataifisha Sasa hivi? Yanaendeleaje ? Yote yalikufa mikononi mea serikali
Soko la mazao liko Kwa wazungu na Wana umoja hatari.Zimbabwe ilipotaifisha walidhani soko la nje lilillokuwepo Ulaya na Marekani watashika wao Ile kutaifisha tu wazungu wakawawekea vikwazo hakuna Zimbabwe kuuza mazao yake ya kilimo nje.Mishamba imekufa Sasa hivi Zimbabwe imewaomba wazungu warudi na itawalipa fidia wote walioporwa mashamba Yao na kuwarudishia sababu ndiko sharti walitoa ili warudi
Migodi ikitaifishwa mwafrika Gani aweza endesha migodi mikubwa Afrika Nzima? Hakuna mfano hata mmoja
Waafrika kusini wabaguzi Kwa Sasa sio wazungu ni waafrika kusini weusi.Jao ndio Hadi wanashambulia waafrika weusi wenzetu Africa ya kusini kuwa hawawataki waondoke sio wazungu
Kama ANC wanaamini kuwa ubaguzi Uliisha waungane na hicho Chama Cha Wazungu hapo Hadi Dunia ndio itasena kweli ubaguzi Africa ya kusini haupo
Wazungu ndio injini ya uchumi Africa kusini .ANC waungane nao wasiongane na Chama kibaguzi Cha Malema Cha EFF chenye sera mbovu za kuendelea kuchukia wazungu Ubaguzi ulishaisha .Wazungu na waafrika Sasa kitu kimoja Afrika kusini
Nimeukubali mtizamo wako. Mwafrika ukimpa mashamba na migodi ni bure kabisa. Kwanza hata hao ANC walishashindwa kuongoza nchi siku nyingi kwa sababu mambo ni mabaya kabisa kulinganisha na pre-apartheid. Kama wana akili waungane na hao makaburu (japo navyojua watu weusi, hawatafanya hivyo).
Tatizo ANC walijisahau sana - kama kawaida ya ngozi nyeusi - bila ya kufanya mapatano ya kweli na Wazungu, hali ikawa mbaya zaidi wakaanza na kubagua wafrika wenzao.
Kweli mwafrika haelimiki, yaani wapo na Wazungu karne na karne ila kunanuka rushwa kama 'shit hole countries', state capture etc,
Kwa hizo Sera za Malima, na S.A bila ya uwepo wa Wazungu itakuwa duni zaidi ya Zimbabwe. Chuki haijengi.