Video: ANC kumpigia Julius Malema Magoti kwa ajili ya Serikali ya umoja

Hii imekaa vibaya! Bora wamuangukie mtu mzima mwenzao JZ.

Malema ni kichomi.
 
Indeed

Let's see
 
Tatizo sio CCM ila ni wananchi
 
Baada ya hapa, upinzani uungane umwondoe Ramaphosa.
 
Hapo asiyefaa katika coa Hapo asiyefaa katik coalition ni Malema na EFF yake tu. Wengine wote kama wanafika 50 % wangeungana ili kuiondoa ANC najua DA, MK na IFP na vyama vingine vidogo wanaweza kufikisha 50% .
 
But EFF wana 9% ,,,so hawawezi unda nao serikali ,mana akidi ni 50%...

Hapo ni DA au MK
 
Hapo asiyefaa katika coa
Hapo asiyefaa katik coalition ni Malema na EFF yake tu. Wengine wote kama wanafika 50 % wangeungana ili kuiondoa ANC najua DA, MK na IFP na vyama vingine vidogo wanaweza kufikisha 50% .
Mwenye Kuwa wa kwanza kwa % ya kula ndiyo huchagua Chama cha kuunda nacho serikali.
 
Mwenye Kuwa wa kwanza kwa % ya kula ndiyo huchagua Chama cha kuunda nacho serikali.
Sina hakika kwa huko SA akini mwenye % kubwa hupewa fursa kwanza akishindwa kuunda hupewa anayefuatia kwa kura hivyo ANC hata akipewa fursa vyana vingine vinaweza kumkwamisha hivyo akalazimika kukaa pembeni
 
Sina hakika kwa huko SA akini mwenye % kubwa hupewa fursa kwanza akishindwa kuunda hupewa anayefuatia kwa kura hivyo ANC hata akipewa fursa vyana vingine vinaweza kumkwamisha hivyo akalazimika kukaa pembeni
Duh!! Patachimbika
 
Hichi ndicho alichokisema aliyekuwa rais wa Afrika Kusini wakati wa utawala wa makaburu. πŸ‘‡
*****************************************
The gravest mistake that cannot be pardoned is to allow a black man to rule a country." P.W. Bother (Rip)
****************************************

Leo hii sote ni mashahidi wa kinachofanyika Afrika Kusini. Wakati hao akina Bother wakitawala, Afrika Kusini ilikuwa na uchumi uliokuwa ukizidi wa nchi nyingi za Ulaya hadi watu wa Ulaya walikuwa wanaenda huko kuomba ajira.

Wakati makaburu wanaondoka madarakani mwaka 1994 dola moja ya Marekani ilikuwa sawa na Randi 3 za Afrika Kusini na watu walikuwa wakimudu maisha kwa mishahara mikubwa waliokuwa wakilipwa lakini leo ni majanga.

Hata sisi endapo Nyerere asingeleta ujinga wa kutaifisha mali za wawekezaji mwaka 1967 leo hii mchele bora kabisa tungekuwa tunanunua kilo moja kwa buku moja tu.

Waafrika sisi ni watu wa hovyo kabisa, tunaharibu nchi zetu wenyewe halafu tunasingizia wazungu na ndio maana na wenyewe wanatupuuza tu na kutuona mapunguani.
 
Huu Ndio utaratibu wao...
 

J. Malema the Great man πŸ’ͺ
 
Hata waharibu uchumi mdogo
J. Malema the Great man πŸ’ͺ
Ila aliye waathiri sana ANC ni Jacob Zuma. Chama kiliundwa Desemba 2023 ndani ya miezi 5 kina 15% ya kura siyo mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…