Video: Angalia Bodaboda alivyogongwa na Mwendokasi

Video: Angalia Bodaboda alivyogongwa na Mwendokasi

kama ushawahi tafuta hela kwa nguvu utajua tu yule bodaboda kuna sababu zilimfanya akimbie vile,
-anakimbizia hesabu siku nzima usikute alipata wateja watatu hesabu haisomi
-amelipwa nusu bei na abiria
-ameombwa na abiria amuwaishe
-amefanya kazi siku nzima akili ilikua haifanyi kazi tena
niambie kwenye mazingira gani dereva wa mwendokasi anaweza akawa na mawazo kama hayo kichwani au dereva wa daladala
kama ushawahi tafuta hela kwa nguvu utajua tu yule bodaboda kuna sababu zilimfanya akimbie vile,
-anakimbizia hesabu siku nzima usikute alipata wateja watatu hesabu haisomi
-amelipwa nusu bei na abiria
-ameombwa na abiria amuwaishe
-amefanya kazi siku nzima akili ilikua haifanyi kazi tena
niambie kwenye mazingira gani dereva wa mwendokasi anaweza akawa na mawazo kama hayo kichwani au dereva wa daladala
Akili zako za kipumbavu kabisa! Kwahiyo mawazo yake yeye ndio asababishe ajali na kuua mtu asie na hatia? Wewe hutakiwi kuwa na familia kwa akili zako hizi
 
Mi sipandagi hii kitu,
Nilivyopona kukatwa mguu pale kibasila nilikoma.
Na ajali yangu ilikua gari ila nikaungwa na boda boda.
Nilipiga makelele mpaka mungu alisikia.
Ila hao boda wengi walikatwa miguu.
Kuna mjinga mmoja pale anauza magongo.
So wakifika hawa wamepata ajali huko daktari anakata mguu wa magongo yuko hapo.
Ndugu zako wakija wanapewa bill.
Hayo nimeona live na nilikoswakoswa.
 
mkuu hisia gani kwani ile intersection anatakiwa aiheshimu bodaboda peke ake na ndicho wanachofundisha driving school, bodaboda wana hatia kila ajali ikitokea na mbele pale uelekeo wa mwendokasi pana pundamilia kivuko cha watembea kwa miguu unataka unambie yule mwendokasi alipaheshimu, sawa mimi nimesema madereva wa mwendo kasi bila kutumia utu hadi anastaafu ashaua bodaboda 20, miundombinu yetu sio salama.
Bodaboda ndio alikuwa anatoka barabara ya uchochoroni kuingia main road, alitakiwa kuwa na tahadhari
 
Nakuona bodaboda umaemua kuwatetea machizi wenzako
kwenye mitandao kila mtu anaweza kuonekana anamiliki gari anatukana bodaboda lakini kwenye uhalisia kila siku mnaomba kupunguziwa bei, mademu zenu wanadandia bodaboda, mimi lazima niwatetee ndugu zangu bodaboda wanyonge wa nchi hii, najua kuna watu nimesoma nao ni bodaboda ndugu zangu nakadharika, boda boda sio machizi kama usemavyo machizi wako kila mahali, hata wewe na wasiwasi utakua chizi mitandao chizi jamiiforum.
 
Yani Pikipiki ni chombo flani cha hatarii sana Ukiweka na style ya ovyoo ya kuendesha ya boda bodaa ni balaaa.. Juzi tu hapaa nilipanda boda jamaa nusu akutane na gari la shule uso kwa usooo akaniomba msamaha kichizi... Kuja mshkaji wangu nae sio kwamba hana gari ila alitaka kuwahi mahali aisee ikawa mwisho wa uhai wake.. Pia jamaa mwingine alinununia pikipiki kwa usafiri binafsi juzi tu Lori likamlambaa ni shida aisee unaweza kuwa makini lakini bado kikakulamba japo asilimi 90 huwa kunakuwa na uzembe
 
Akili zako za kipumbavu kabisa! Kwahiyo mawazo yake yeye ndio asababishe ajali na kuua mtu asie na hatia? Wewe hutakiwi kuwa na familia kwa akili zako hizi
kwakua unajadiliana na mimi wewe ni mpumbavu mwenzangu tu tukubaliane, jinga kweli una hakika gani abiria alikua hana hatia kwa macho yako ya panzi abiria alivaa kofia ngumu pale ni wajibu wa nani kuvaa kofia ngumu, sheria inasemaje, labda abiria alilazimisha kuwahi utajuaje umefanya mahojiano na marehemu acha kulaumu unaonesha jinsi gani ni mtu wa excuses, eti abiria hana hatia si angetembea kwa miguu au angekodi taxi pale bodaboda anafukuzia hesabu na abiria wake hana hela ya taxi wote masikini tu.
 
Anaingia Main Road bila kusimama na kuangalia kama kuko clear.

Ajali nyingine ni za kujitakia.
 
Back
Top Bottom