Video: Baadhi ya wabunge wa Urusi bila uwoga waanza kukosoa hivi vita na kuagiza vikomeshwe

Video: Baadhi ya wabunge wa Urusi bila uwoga waanza kukosoa hivi vita na kuagiza vikomeshwe

Ha ha ha haaaa!Bila woga wakati video mnachua migongo badala ya nyuso zao. Halafu majina Yao hamtupatii, majimbo wanayowakilisha hao wabunge hamyasemi!!! Hii UK anajiabisha kutengeneza "fake" video kuudanganya ulimwengu. Watu wengi ni welevu siku hivi hawadanganyiki kirahisi.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Hawa hawajawahi kuwa na akili wanadhani hii ni 1973
 
Urusi wanafanya biashara kichaa. mm najiuliza urusi hata kama ikabahatika ikishinda vita Ukraine hiyo ghalama iliyoitumia kupigana vita itarudisha vipi. ikiwa Ukraine tayari atakuwa ameigeuza majivu. Na wakati huo watakuwa bado hawajaondolewa vikwazo .
Sasa wewe sio kgb Wala hujawahi kuwa DED ktk wilaya yoyte tz , unaweza vipi kujua plan zinazo fanywa na viongozi Wana ongoza taifa kubwa kama Russia,

Putin mwenyewe alishasema usalama wa taifa lao ni muhimu sana kuliko chochote, ni Bora wataabike Kwa njaa kuliko taifa kukosa usalama

Which is very true, Mafanikio yoyote yale Duniani chagizo lake ni uwepo wa afya Bora , iwe kwa mtu/watu/wanyama /mimea au Taifa .

So Russia wanayafanya hayo kwaajili ya ustawi Bora wa usalama wa taifa lao Kwa sababu wanajua Endapo watakuwa dhaifu itakuwa rahisi sana kuvamiwa na Mataifa adui na hatimae kusambaratishwa ..

Hivi Huwa mnashindwa kufikirisha bongo zenu na kuona strategy muhimu kama hizi !? [emoji28][emoji28][emoji28]
 
kweli kabisa ndiyo maana rais putin kila siku analilia kuomba msaada wa siraha, na kwajinsi moscow na santpetersbag zilivyobaki magofu sio mda mrefu majeshi ya ukrein yataiteka ikulu ya krimelin[emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji119]
 
Akosee njia siku moja aguse kataifa kamoja ka NATO ndio ataelewa nini maana ya kipodo cha mataifa 30, kwanza humo NATO kuna wababe ambao pekee yao bila kushirikiana wanamtia adabu.
Dream on [emoji28][emoji28]
 
Umeshindwa kujibu hoja ukaona uamue kuwahi kwenda kukata nyanya nyumbani haya siku njema [emoji16][emoji16]
Unaona hapo kulikuwa na hoja?

Inaonekana unapenda ligi zisizo na mashiko!
Mtu anayesema mwanajeshi kufa vitani sio issue, nadhani haelewi nini maana ya Jeshi!
Hujiulizi kwanini wabunge wanalalamika juu ya vifo vya askari wao?

Sasa kama sio issue hao wabunge wanalalamika nini kwa Putin huku wakimsihi kusitisha vita sabab wanajeshi wao wanakufa?
 
Akosee njia siku moja aguse kataifa kamoja ka NATO ndio ataelewa nini maana ya kipodo cha mataifa 30, kwanza humo NATO kuna wababe ambao pekee yao bila kushirikiana wanamtia adabu.
Pro nato kwa maneno ya kanga 😁😁😁
 
Unaona hapo kulikuwa na hoja?

Inaonekana unapenda ligi zisizo na mashiko!
Mtu anayesema mwanajeshi kufa vitani sio issue, nadhani haelewi nini maana ya Jeshi!
Hujiulizi kwanini wabunge wanalalamika juu ya vifo vya askari wao?

Sasa kama sio issue hao wabunge wanalalamika nini kwa Putin huku wakimsihi kusitisha vita sabab wanajeshi wao wanakufa?
Inaweza tukawa hatujaelewana ama hujataka kunielewa
Kujali jeshi lako ama kutokulijali matarajio makubwa ya wanajeshi wanapokua kwenye mapigano naomba tuelewane matarajio sio maombi basi ni kufa kuliko kupona
Maana yangu jeshi kufia vitani nijambo linalotarajiwa ingawaje halipendezi
Au unadhani kuna taifa ambalo linajali wanajeshi wake kiasi chakutokupoteza wanajeshi wao wakiwa VITANI!!?
NAKUBALI kuto KUKUBALIANA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom