permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Hiki ni kimsemo cha kujifariji tu, Urusi anapigana na nchi moja inayosaidiwa visilaha vya kawaida tu.Kupigana na nchi zaidi ya 30 kwa wakati mmoja sio poa [emoji635]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiki ni kimsemo cha kujifariji tu, Urusi anapigana na nchi moja inayosaidiwa visilaha vya kawaida tu.Kupigana na nchi zaidi ya 30 kwa wakati mmoja sio poa [emoji635]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Hawa hawajawahi kuwa na akili wanadhani hii ni 1973Ha ha ha haaaa!Bila woga wakati video mnachua migongo badala ya nyuso zao. Halafu majina Yao hamtupatii, majimbo wanayowakilisha hao wabunge hamyasemi!!! Hii UK anajiabisha kutengeneza "fake" video kuudanganya ulimwengu. Watu wengi ni welevu siku hivi hawadanganyiki kirahisi.
Umeshindwa kujibu hoja ukaona uamue kuwahi kwenda kukata nyanya nyumbani haya siku njema [emoji16][emoji16]Naona tunatofautiana sana kimtazamo. Nakutakia siku njema.
Sasa wewe sio kgb Wala hujawahi kuwa DED ktk wilaya yoyte tz , unaweza vipi kujua plan zinazo fanywa na viongozi Wana ongoza taifa kubwa kama Russia,Urusi wanafanya biashara kichaa. mm najiuliza urusi hata kama ikabahatika ikishinda vita Ukraine hiyo ghalama iliyoitumia kupigana vita itarudisha vipi. ikiwa Ukraine tayari atakuwa ameigeuza majivu. Na wakati huo watakuwa bado hawajaondolewa vikwazo .
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji119]kweli kabisa ndiyo maana rais putin kila siku analilia kuomba msaada wa siraha, na kwajinsi moscow na santpetersbag zilivyobaki magofu sio mda mrefu majeshi ya ukrein yataiteka ikulu ya krimelin[emoji16]
Dream on [emoji28][emoji28]Akosee njia siku moja aguse kataifa kamoja ka NATO ndio ataelewa nini maana ya kipodo cha mataifa 30, kwanza humo NATO kuna wababe ambao pekee yao bila kushirikiana wanamtia adabu.
Unaona hapo kulikuwa na hoja?Umeshindwa kujibu hoja ukaona uamue kuwahi kwenda kukata nyanya nyumbani haya siku njema [emoji16][emoji16]
Pro nato kwa maneno ya kanga 😁😁😁Akosee njia siku moja aguse kataifa kamoja ka NATO ndio ataelewa nini maana ya kipodo cha mataifa 30, kwanza humo NATO kuna wababe ambao pekee yao bila kushirikiana wanamtia adabu.
Inaweza tukawa hatujaelewana ama hujataka kunielewaUnaona hapo kulikuwa na hoja?
Inaonekana unapenda ligi zisizo na mashiko!
Mtu anayesema mwanajeshi kufa vitani sio issue, nadhani haelewi nini maana ya Jeshi!
Hujiulizi kwanini wabunge wanalalamika juu ya vifo vya askari wao?
Sasa kama sio issue hao wabunge wanalalamika nini kwa Putin huku wakimsihi kusitisha vita sabab wanajeshi wao wanakufa?