Video: Baadhi ya wabunge wa Urusi bila uwoga waanza kukosoa hivi vita na kuagiza vikomeshwe

Wadai taifa linazidi kupoteza wanajeshi na watoto wao wamebaki mayatima kwa vita ambavyo havina tija yoyote

Ha ha ha haaaa!Bila woga wakati video mnachua migongo badala ya nyuso zao. Halafu majina Yao hamtupatii, majimbo wanayowakilisha hao wabunge hamyasemi!!! Hii UK anajiabisha kutengeneza "fake" video kuudanganya ulimwengu. Watu wengi ni welevu siku hivi hawadanganyiki kirahisi.
 
Urusi wanafanya biashara kichaa. mm najiuliza urusi hata kama ikabahatika ikishinda vita Ukraine hiyo ghalama iliyoitumia kupigana vita itarudisha vipi. ikiwa Ukraine tayari atakuwa ameigeuza majivu. Na wakati huo watakuwa bado hawajaondolewa vikwazo .
 
Mwanajeshi anapifia vitani anakuwa ametimiza jukumu lake so sioni cha ajabu hapo,

Tatizo wanauawa kama kuku...wengi sana hadi sasa inakua kama sio vita tena bali kichinjio.
 
kweli kabisa ndiyo maana rais putin kila siku analilia kuomba msaada wa siraha, na kwajinsi moscow na santpetersbag zilivyobaki magofu sio mda mrefu majeshi ya ukrein yataiteka ikulu ya krimelin😁
 
Huyo Putin amechanganyikiwa, alitegemea atafunika hako ka-Ukraine kwa siku chache, katolewa nduki kule Kyev, leo siku 100 haelewi nini kilimkuta.
 
Wadai taifa linazidi kupoteza wanajeshi na watoto wao wamebaki mayatima kwa vita ambavyo havina tija yoyote

Ndio maana ya nchi kuwa na kiongozi kama ulikuwa hujui ww kiazi!
Jambo la kuwa na mitazamo tofauti ni la kawaida sio ajabu. Msimamo unaofatwa ni wa kiongozi nadhani nimejitahidi kuielewesha hii akili ndogo
 
Urusi wanafanya biashara kichaa. mm najiuliza urusi hata kama ikabahatika ikishinda vita Ukraine hiyo ghalama iliyoitumia kupigana vita itarudisha vipi. ikiwa Ukraine tayari atakuwa ameigeuza majivu. Na wakati huo watakuwa bado hawajaondolewa vikwazo .
Kabla ya kuingia kwenye hii OP waliwaza hayo kabla yako
Mwisho UKRAINE hakuna VITA kuna ka OP tu tokomeza MANAZI wenye misimamo ilofurutu ADA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupigana na nchi zaidi ya 30 kwa wakati mmoja sio poa 🇷🇺
Akosee njia siku moja aguse kataifa kamoja ka NATO ndio ataelewa nini maana ya kipodo cha mataifa 30, kwanza humo NATO kuna wababe ambao pekee yao bila kushirikiana wanamtia adabu.
 
Ndio maana ya nchi kuwa na kiongozi kama ulikuwa hujui ww kiazi!
Jambo la kuwa na mitazamo tofauti ni la kawaida sio ajabu. Msimamo unaofatwa ni wa kiongozi nadhani nimejitahidi kuielewesha hii akili ndogo
Hao hapo sio mtizamo, ila wanalalamika namna wanajeshi wao wanauawa kama kuku, kataifa kadogo kwa Urusi ila kanatesa kishenzi.
 
Back
Top Bottom