Video: Bodaboda asababisha Ajali

Video: Bodaboda asababisha Ajali

Wewe umeacha, ila Nina uhakika familia Yako haijaacha!! Akina mama,dada zetu, na watoto wetu wanaopandishwa bodaboda na mama zao ni hatarishi Zaidi!! Akina mama huwambii kitu na bodaboda!! Unakuta mijimama mwili mkubwa akili zero wamajipakiza bodaboda wakiwa majimishikaki!! Wawili na mtoto mdogo katikati, my Goodness!! Ila ndio mwanasiasa mkubwa alisema kama ni mtu na mpenzi wake wacha wafe Pamoja!! Sijui tunakwenda wapi
Huwa nashangaa sana. Unakuta mwanamke na watoto wadogo wamewekwa mshkaki. Hatari sana,akili sifuri ka Isa.
 
Angalia hapa jinsi Dereva Bodaboda alivyosababisha Ajali kwa Bodaboda mwenzake.

View attachment 2876513

Ushauri - BODABODA KUWENI MAKINI MNAPOKUWA BARABARANI ILI KUEPUSHA AJALI.
Ni ngumu sana uendeshe hicho chombo halafu eti ubaki na akili zako timamu.
Hiyo speed alikua anaemda nayo wapi wakati mbele kuna hilo myomi la watu na bodaboda wamefunga barabara na ameishaliingia hilo kumdi lakini spidi bado ipo kali?
 
Beautiful accident. Wamegongana utamu.
Wako wapo hao? Hapa Arusha ipo hiyo tabia ya kwenda on the wrong side of the road.

Hii noma sana kwa kweli....Video zinasikitisha kuna nyingine niliona jana yule tanboy alikosea kushika vizuri kweny tope gari ikampanda ..
 
Naifungua kwangu haikubali nifanyeje
Mkuu nikuhadithie?
Ni kwenye road ya lami.halafu kama kuna kikona hivi,
Nyuma kuna boda boda nyingi. Sasa kuna jamaa anaelekea kule kwenye bodaboda nyingi kwenye kile kikona ndo akagonga mtu anayetokea pembeni apaaaah!
Ni hayo tu wala sio ndefu sana.
 
Wewe umeacha, ila Nina uhakika familia Yako haijaacha!! Akina mama,dada zetu, na watoto wetu wanaopandishwa bodaboda na mama zao ni hatarishi Zaidi!! Akina mama huwambii kitu na bodaboda!! Unakuta mijimama mwili mkubwa akili zero wamajipakiza bodaboda wakiwa majimishikaki!! Wawili na mtoto mdogo katikati, my Goodness!! Ila ndio mwanasiasa mkubwa alisema kama ni mtu na mpenzi wake wacha wafe Pamoja!! Sijui tunakwenda wapi
Kuna watu huwaambiii kitu kuhusu boda boda! Ndugu zangu ambao na ukaribu na kuchangamana Kila siku hua nawaambia atakaeskia ataskia asieskia na asiskie
 
Huwa najiuliza bodaboda na abiria wao nani akili kisoda maanake wakati bodaboda anafanya ujinga wake unakuta mtu na suti yake katulia tu kiti cha nyuma anakenua meno tu!
Nimeshashuhudia ajali ya boda kabeb abiri kavaa suti anakwenda kwenye sherehe😂😂😂😂 hawakuumia sana ni mochubuko ila jamaa wa suti alipoanguka akatanguliza matako alafu ubavu basi kanyanyuka suruali imechanika matakoni haifai koti limeingia michanga hadi mifukoni....

Ilibidi tusaidie huku tunacheka maana boda alikua speed alafu akapiga zile tuta za mtaani ambazo panachimbwa kamtaro linawekwa gogo la mnazi linafukiwa kidogo ukilipiga ukapita ww mwanaume😂😂😂
 
Mimi sijawahi kupanda bodaboda na sidhani kama nitapanda bodaboda. Ni hatari bora nichelewe tu.
Hongera sana mkuu kwa kulijua hlo mapema mm rafiki yangu mke wake alipata ajali ya boda nikasema hata iweje sipandi
 
Hongera sana mkuu kwa kulijua hlo mapema mm rafiki yangu mke wake alipata ajali ya boda nikasema hata iweje sipandi
Rafiki yangu kampoteza mtoto wake katoka kumaliza masters degree tu, ni binti kapanda bodaboda kaingizwa uvunguni kwa lori. Wanawake ndio wanapenda sana bodaboda hawaelewi kabisa ukiwaambia.
 
Back
Top Bottom