Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Nilifika Mbeya nikakuta wamejaza mabajaji mji mzima. Yana kero yake lakini bora hazina ajali kama bodaboda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa najiuliza bodaboda na abiria wao nani akili kisoda maanake wakati bodaboda anafanya ujinga wake unakuta mtu na suti yake katulia tu kiti cha nyuma anakenua meno tu!Akili visoda
Naifungua kwangu haikubali nifanyejeVideo nzuri ina quality imechukuliwa angle nzuri
Ni hayo tu
Hyo video inafungukaje jm
Huwa nashangaa sana. Unakuta mwanamke na watoto wadogo wamewekwa mshkaki. Hatari sana,akili sifuri ka Isa.Wewe umeacha, ila Nina uhakika familia Yako haijaacha!! Akina mama,dada zetu, na watoto wetu wanaopandishwa bodaboda na mama zao ni hatarishi Zaidi!! Akina mama huwambii kitu na bodaboda!! Unakuta mijimama mwili mkubwa akili zero wamajipakiza bodaboda wakiwa majimishikaki!! Wawili na mtoto mdogo katikati, my Goodness!! Ila ndio mwanasiasa mkubwa alisema kama ni mtu na mpenzi wake wacha wafe Pamoja!! Sijui tunakwenda wapi
Browser ip? zipo nying mkuuTumia browser video imerokodiwa vema sn
Ni ngumu sana uendeshe hicho chombo halafu eti ubaki na akili zako timamu.Angalia hapa jinsi Dereva Bodaboda alivyosababisha Ajali kwa Bodaboda mwenzake.
View attachment 2876513
Ushauri - BODABODA KUWENI MAKINI MNAPOKUWA BARABARANI ILI KUEPUSHA AJALI.
Bora bajaji hizo bodaboda sipandi kabisa.Nilifika Mbeya nikakuta wamejaza mabajaji mji mzima. Yana kero yake lakini bora hazina ajali kama bodaboda.
Mkuu nikuhadithie?Naifungua kwangu haikubali nifanyeje
Kuna watu huwaambiii kitu kuhusu boda boda! Ndugu zangu ambao na ukaribu na kuchangamana Kila siku hua nawaambia atakaeskia ataskia asieskia na asiskieWewe umeacha, ila Nina uhakika familia Yako haijaacha!! Akina mama,dada zetu, na watoto wetu wanaopandishwa bodaboda na mama zao ni hatarishi Zaidi!! Akina mama huwambii kitu na bodaboda!! Unakuta mijimama mwili mkubwa akili zero wamajipakiza bodaboda wakiwa majimishikaki!! Wawili na mtoto mdogo katikati, my Goodness!! Ila ndio mwanasiasa mkubwa alisema kama ni mtu na mpenzi wake wacha wafe Pamoja!! Sijui tunakwenda wapi
Nimeshashuhudia ajali ya boda kabeb abiri kavaa suti anakwenda kwenye sherehe😂😂😂😂 hawakuumia sana ni mochubuko ila jamaa wa suti alipoanguka akatanguliza matako alafu ubavu basi kanyanyuka suruali imechanika matakoni haifai koti limeingia michanga hadi mifukoni....Huwa najiuliza bodaboda na abiria wao nani akili kisoda maanake wakati bodaboda anafanya ujinga wake unakuta mtu na suti yake katulia tu kiti cha nyuma anakenua meno tu!
Vipi wewe? Nani kafa?Duuu RIP
Hongera sana mkuu kwa kulijua hlo mapema mm rafiki yangu mke wake alipata ajali ya boda nikasema hata iweje sipandiMimi sijawahi kupanda bodaboda na sidhani kama nitapanda bodaboda. Ni hatari bora nichelewe tu.
Kumbe!!! Haya maisha,yaache.Yap! Sipandi na sitakaaa nipande popote na katika Hali yeyote
Rafiki yangu kampoteza mtoto wake katoka kumaliza masters degree tu, ni binti kapanda bodaboda kaingizwa uvunguni kwa lori. Wanawake ndio wanapenda sana bodaboda hawaelewi kabisa ukiwaambia.Hongera sana mkuu kwa kulijua hlo mapema mm rafiki yangu mke wake alipata ajali ya boda nikasema hata iweje sipandi
Sijui kwa nini nimeangalia hii video. Job true true ungetoa tahadhari kwanza.Angalia hapa jinsi Dereva Bodaboda alivyosababisha Ajali kwa Bodaboda mwenzake.
View attachment 2876513
Ushauri - BODABODA KUWENI MAKINI MNAPOKUWA BARABARANI ILI KUEPUSHA AJALI.