RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Kuna vitu unaweza epuka,kimoja bodaboda. Mfano hapa mjini mtu anapanda bodaboda ili awahi tu au hataki daladala au Bajaj sio kwamba hana option.Kumbe!!! Haya maisha,yaache.
Asubuhi njia ya kilwa road bodaboda kama nzige zinaelekea town wakati hio ruti ina daladala.
Bodaboda panda ukitoka main road kuingia kwako huko nje ya mji.