Video: Bondia Mwakinyo adaiwa kujeruhi kijana mmoja kwa kisu na mbwa mkoani Tanga

Alikutana na nazi, kwani nazi zilikuwa zinatoka wapi?
 
Huyu kijana ni mwizi sasa nazi zipo kwenye wavu hlf ety naziokota umepata ulichokitaka
 
06 March 2025
Sahare, Tanga Mjini
Tanzania

WANANCHI WADAI WALISIKIA KELELE ZA KIJANA KUANZIA SAA KUMI ZA USIKU (ALFAJIRI), ILA HAWAKUJUA ZINATOKEA WAPI ...


View: https://m.youtube.com/watch?v=9LMiRhua7qsWakaazi wa kitongoji cha Sahare mjini Tanga, wadai watoto / vijana wa Sahare hawawezi kujizuia kwa kuwa ni waroho / wamelo wa maembe, nazi n.k hivyo ni hatari ....
 
Robot ya JamiiForums habari za kiuchunguzi za tuhuma za jinai, zinawekwa Jukwaa lisilo sahihi la JamiiSports.

Moderator JamiiForums chukueni jukumu kwa kutwaa hatamu kutoka kwa JamiiForums Robot, habari hii iwe katika jukwaa la Habari Mchanganyiko
 
Kwaiyo wao wasikie kelele harafu wakaushe tu je Sasa wanatolea ufafanuzi wa jambo ambalo hawakijui?
 
Ndio, nadhan Amekulia kwenye ufukara uliopitiliza.
Sio kosa kuzaliwa kwenye ufukara uliopitiliza kitu ambacho asilimia kubwa ya watanzania ni mafukara mpaka Sasa lakini huyo jamaa ni trespasser kavamia enea la watu ingekuwa South angepigwa bomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…