macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Kwenye sheria kusema tu nimeokota haitoshi. Kuokota chochote haimaanishi kuwa ni halali kuchukuwa na kukifanya chako. Pamoja na hayo lakini Mwakinyo ana makosa makubwa sana na anatakiwa apate adhabu kali sana. Hili lilikuwa ni jaribio la mauaji. Hata kama ni mwizi huruhusiwi kufanya alivyofanya. Kinachonisikitisha zaidi ni njaa za huyo baba yake kusema alikuwa anampigia Mwakinyo simu eti kutaka wasaidiane kwenye matibabu. Hku ni kuendekeza njaa kwa kiwango kikubwa na kulinda uhalifu. Ukimfanyia mwanangu hivi ninajua majibu nitakayokupa.kwa hyo itakuwa mali ya polisi uliyempelekea!?hayaa
Ndani ya fensi ya mtu usiku unatafuta Nini?Haiwezekani vijana ,wamama na wababa wa kitaa wakukatae wote ,kuna kitu hakipo sawa kwa Mwakinyo.
Yule jamaa ni mwizi kweli ila sheria haziruhusu kumpiga mwizi ,vipo vyombo vya kisheria vinavyoshughulika na wahalifu ,Mwakinyo aombe tu yule mwizi apone ,akivuta kamba mwakinyo atakabiliwa na kesi ya mauaji ila kwasasa kesi yake ni shambulio la kudhuru mwili.
Mwizi amehojiwa anasema kwamba alikuwa anapita tu njiani akaziona nazi 6 akaokota then mbwa walivyopiga kelele mwakinyo ndiyo akatoka na kumkata ,je mwakinyo atajinasuaje kwenye maelezo ya mwizi? Ndiyo umuhimu wa kufunga CCTV camera unapoonekana.
Kama Mwakinyo amefunga CCTV camera lazima footage ya tukio litakuwa limeonekana.
Yule mwizi mhuni kang'atwa na mbwaKwenye sheria kusema tu nimeokota haitoshi. Kuokota chochote haimaanishi kuwa ni halali kuchukuwa na kukifanya chako. Pamoja na hayo lakini Mwakinyo ana makosa makubwa sana na anatakiwa apate adhabu kali sana. Hili lilikuwa ni jaribio la mauaji. Hata kama ni mwizi huruhusiwi kufanya alivyofanya. Kinachonisikitisha zaidi ni njaa za huyo baba yake kusema alikuwa anampigia Mwakinyo simu eti kutaka wasaidiane kwenye matibabu. Hku ni kuendekeza njaa kwa kiwango kikubwa na kulinda uhalifu. Ukimfanyia mwanangu hivi ninajua majibu nitakayokupa.
Hakuna uchawa kwenye eneo la mtu lenye fensi unatafuta Nini usiku?Ulikuwepo eneo la tukio na ukathibitisha alikuwa anataka kuiba? Au uchawa kwa mwakinyo unakusumbua?
Sasa mbona heulewiki au unajambo lako binafsi na mwakinyo?Kwenye sheria kusema tu nimeokota haitoshi. Kuokota chochote haimaanishi kuwa ni halali kuchukuwa na kukifanya chako. Pamoja na hayo lakini Mwakinyo ana makosa makubwa sana na anatakiwa apate adhabu kali sana. Hili lilikuwa ni jaribio la mauaji. Hata kama ni mwizi huruhusiwi kufanya alivyofanya. Kinachonisikitisha zaidi ni njaa za huyo baba yake kusema alikuwa anampigia Mwakinyo simu eti kutaka wasaidiane kwenye matibabu. Hku ni kuendekeza njaa kwa kiwango kikubwa na kulinda uhalifu. Ukimfanyia mwanangu hivi ninajua majibu nitakayokupa.
Kwa jinsi ulivyoshambulia huu uzi ni dhairi wewe ni chawa wa huyo mpuuzi na limbukeni mwakinyo...!! Hakuna uthibitisho wowote kuwa huyo kijana alikuwa ni mwizi ukiskiliza maelezo ya pande zote mbili, bqli ni hisia zenu na kujishtukia mkidhqni kwamba mnaibiwa, japo sidhani kama huyo mwakinyo ana kitu chochote cha maana cha kuibiwa.Hakuna uchawa kwenye eneo la mtu lenye fensi unatafuta Nini usiku?
huna akiliMwizi huyo unaokotaje nazi ?
Kwa nini wabongo wengi tunashindwa kujenga hoja na kukimbilia kusema ni ''una jambo binafsi?''. Umesikiliza ile clip? Mbona hili jambo liko wazi na lina mashahidi? Alikuwa na nia ya kuua. Hili jambo ni serious sana na hutakiwi kusema tu nina jambo binafsi na mtu ambaye hata sijawahi kuonana naye. hakuna chama cha ngumi duniani kitakachokubali kumshindanisha kwa hiyo amejiharibia mwenyewe.Sasa mbona heulewiki au unajambo lako binafsi na mwakinyo?
huyu hajielewi ana comment upuuziKwa jinsi ulivyoshambulia huu uzi ni dhairi wewe ni chawa wa huyo mpuuzi na limbukeni mwakinyo...!! Hakuna uthibitisho wowote kuwa huyo kijana alikuwa ni mwizi ukiskiliza maelezo ya pande zote mbili, bqli ni hisia zenu na kujishtukia mkidhqni kwamba mnaibiwa, japo sidhani kama huyo mwakinyo ana kitu chochote cha maana cha kuibiwa.
Acheni uonevu kisa tu mnajulikana kibongo bongo
Huyo anaweza kuwa ndiye Mwakinyo mwenyewe. Mwache ajidanganye aseme alikuwa ni mwizi wakati jambo liko wazi. Hata kama alikuwa ni mwizi lakini bado alivyofanya ni jaribio la mauaji. Unataka kuua binadamu mwenzako kwa sababu tu ya nazi mbili, tatu. Ngoja tumsagie huyu muuaji kunguni kwenye media na vyama vya ngumi ili asiruhusiwe tena kushiriki kwenye mapambano yoyote.Kwa jinsi ulivyoshambulia huu uzi ni dhairi wewe ni chawa wa huyo mpuuzi na limbukeni mwakinyo...!! Hakuna uthibitisho wowote kuwa huyo kijana alikuwa ni mwizi ukiskiliza maelezo ya pande zote mbili, bqli ni hisia zenu na kujishtukia mkidhqni kwamba mnaibiwa, japo sidhani kama huyo mwakinyo ana kitu chochote cha maana cha kuibiwa.
Acheni uonevu kisa tu mnajulikana kibongo bongo
ila wabongo kwa kuongeza chumvi ,nionyeshe wapi pameandikwa saa 9Huyo dogo mwizi saa 9 usiku unafanya nini kwenye fence ya mtu?
Kweli mzee kaonesha udhaifuKwenye sheria kusema tu nimeokota haitoshi. Kuokota chochote haimaanishi kuwa ni halali kuchukuwa na kukifanya chako. Pamoja na hayo lakini Mwakinyo ana makosa makubwa sana na anatakiwa apate adhabu kali sana. Hili lilikuwa ni jaribio la mauaji. Hata kama ni mwizi huruhusiwi kufanya alivyofanya. Kinachonisikitisha zaidi ni njaa za huyo baba yake kusema alikuwa anampigia Mwakinyo simu eti kutaka wasaidiane kwenye matibabu. Hku ni kuendekeza njaa kwa kiwango kikubwa na kulinda uhalifu. Ukimfanyia mwanangu hivi ninajua majibu nitakayokupa.
Mfundishe mwanao asiwe mwizi, akiwa mwizi atachomwa moto mbele yako na usifanye chochote. Yaani huyo dogo anasema alikutana na nazi akaokota hizo nazi zilitoka wapi? Je kama yeye angeingia ndani na kumvamia na kumuua huyo mwenye mali ungesemaje.Kwenye sheria kusema tu nimeokota haitoshi. Kuokota chochote haimaanishi kuwa ni halali kuchukuwa na kukifanya chako. Pamoja na hayo lakini Mwakinyo ana makosa makubwa sana na anatakiwa apate adhabu kali sana. Hili lilikuwa ni jaribio la mauaji. Hata kama ni mwizi huruhusiwi kufanya alivyofanya. Kinachonisikitisha zaidi ni njaa za huyo baba yake kusema alikuwa anampigia Mwakinyo simu eti kutaka wasaidiane kwenye matibabu. Hku ni kuendekeza njaa kwa kiwango kikubwa na kulinda uhalifu. Ukimfanyia mwanangu hivi ninajua majibu nitakayokupa.
Hata mimi nimehisi hivyo kuna uwezekano mkubwa sana huyu jamaa akawa ndio kilaza mwakinyo, maana anatumia nguvu kubwa sana kujustify hicho walichomfanyia huyo bwana mdogo.Huyo anaweza kuwa ndiye Mwakinyo mwenyewe. Mwache ajidanganye aseme alikuwa ni mwizi wakati jambo liko wazi. Hata kama alikuwa ni mwizi lakini bado alivyofanya ni jaribio la mauaji. Unataka kuua binadamu mwenzako kwa sababu tu ya nazi mbili, tatu. Ngoja tumsagie huyu muuaji kunguni kwenye media na vyama vya ngumi ili asiruhusiwe tena kushiriki kwenye mapambano yoyote.
Unajuaje kuwa zilikuwa nazi, Je huyo mwakinyo akija kuthibitisha kuwa aliiba vitu vingine utasemaje. Labda walikuwa anapambana kulinda mali zake na mwizi alishindwa nguvu.Huyo anaweza kuwa ndiye Mwakinyo mwenyewe. Mwache ajidanganye aseme alikuwa ni mwizi wakati jambo liko wazi. Hata kama alikuwa ni mwizi lakini bado alivyofanya ni jaribio la mauaji. Unataka kuua binadamu mwenzako kwa sababu tu ya nazi mbili, tatu. Ngoja tumsagie huyu muuaji kunguni kwenye media na vyama vya ngumi ili asiruhusiwe tena kushiriki kwenye mapambano yoyote.
Kikifika polisi kipo sehemu salama utafanyika utaratibu wa kupatikana mmiliki wa hiyo Mali akabidhiwe.kwa hyo itakuwa mali ya polisi uliyempelekea!?hayaa
Mbona Wezi kibao wanauwa mtaani vipi kama huyo mwizi angemzulu mwakinyoHata mimi nimehisi hivyo kuna uwezekano mkubwa sana huyu jamaa akawa ndio kilaza mwakinyo, maana anatumia nguvu kubwa sana kujustify hicho walichomfanyia huyo bwana mdogo.
Kwanza hata kama kweli ni mwizi kwanin wamshambulie kiasi kile almanusura wamuue? Na huyo mwakinyo hajui kwa nafasi yake yeye ndio wa kukemea hivi vitendo?
Yaan kabisa anashindwa kujua professional ethics za boxing hazimruhusu kabisa yeye kujihusisha na violence ya aina yoyote? Huyu mwehu anatakiwa anyang'anywe mikanda yote na endorsement deals alizonazo, hana tena sifa ya kuendelea kuwa professional boxer.
ndio ufungulie mambwa kwa dogo kama huyo wamuume afe? roho ya shetani hiyo na ndiyo mnayoabudu.Hivi hujajiuliza huyo dogo alikuwa anaokota nazi kwenye shamba la nani?
Nimejua kwa sababu nimeongea na watu walioshuhudia. Una jingine?Unajuaje kuwa zilikuwa nazi, Je huyo mwakinyo akija kuthibitisha kuwa aliiba vitu vingine utasemaje. Labda walikuwa anapambana kulinda mali zake na mwizi alishindwa nguvu.
Hata siku moja usije kuhukumu kwa kusikiliza upande mmoja.
Pia amepataje pf3 ya kutibiwa?