Jambo baya sana limetokea Tanga. Huyu kijana alikuwa ameenda kuona nazi nyumbani kwa Mwakinyo,akavuliwa nguo akashambuliwa na mbwa wanne.
Sasa wanakijiji kule wanasema,"Kwanza huyu Mwakinyo alivyokuja hapa kijijini kwetu ni kwa sababu alikuwa amefanya madudu kwingine alikuja hapa kupata hifadhi."