Video: Boss mchina apokea mkong'oto kutoka kwa mfanyakazi mwafrika

Video: Boss mchina apokea mkong'oto kutoka kwa mfanyakazi mwafrika

Mnachangia kishabeki hamjui nini matokeo baada ya hapo, boss ni boss tu akifukuzwa kazi anarudi kijijini na mashabeki wanabaki mjini.

Mwenye akili huwezi shabekia hicho black anachofanya kwani angempotezea angekufa?
 
Mnachangia kishabeki hamjui nini matokeo baada ya hapo, boss ni boss tu akifukuzwa kazi anarudi kijijini na mashabeki wanabaki mjini.

Mwenye akili huwezi shabekia hicho black anachofanya.kwani angempotezea angekufa?

Kwa namna hii video imetrend, huyo dogo lazima atapata msaada, yaani ipo kote, mamilioni ya watu wenye hasira na Wachina wanaitazama.
 
Bora huyu kajitowa muhanga liwalo na liwe.

Kwani kuna clip moja ya watanzania wawili walikuwa kama watoto wanacharazwa na boss mchina wenyewe wametulia tu.

Saafi ili hao wenye ngozi nyeupe wengine wajifunze kuwaheshimu wale wanaowafanya wawepo.
 
Huyu tumjengee sanamu, amefanya jambo la kishujaa la mfano wa kuigwa
... sana; hawa ndio mashujaa wa jamii zao. By the way, hivi Kibanga kutoka kijiji cha Wino kule Songea hana japo kamnara ka kumbukumbu? Vinginevyo, kama nchi hatendewi haki. Kumpiga mkoloni hadharani tena kipindi kile sio mchezo; ni zaidi ya shujaa. Rejea, "Kibanga Apiga Mkoloni".
 
Back
Top Bottom