Video: Boss mchina apokea mkong'oto kutoka kwa mfanyakazi mwafrika

Mnachangia kishabeki hamjui nini matokeo baada ya hapo, boss ni boss tu akifukuzwa kazi anarudi kijijini na mashabeki wanabaki mjini.

Mwenye akili huwezi shabekia hicho black anachofanya.kwani angempotezea angekufa?
Uhuru wa maoni. Alichokifanya mchina ni kibaya alichokifanywa mwafrika ni retaliation and selfdefence ambayo iko justifiable. In fact Management ya hiyo kampuni imeombari kwa kitendo hicho na kumfuta kazi huyo mchina. Kuheshimu kazi ni kuzuri, kuheshimiana ni kuzuri zaidi.
 
Fimbo ya Kumfuu sio hahahahhahahahaha
Lakini kashindwa kuitumia eti. 😅😅😅

Maana baada ya kuishika ndo akapewa mguu wa shingo sijui wa chembe ule ambapo imeonyesha kabisa aezi itumia. 🤣🤣🤣
 
Mnachangia kishabeki hamjui nini matokeo baada ya hapo, boss ni boss tu akifukuzwa kazi anarudi kijijini na mashabeki wanabaki mjini.

Mwenye akili huwezi shabekia hicho black anachofanya.kwani angempotezea angekufa?
Umaskini usikufanye uuze utu wako. Yan ukubari kudhalilishwa kisa utafukuzwa kaz? Kaz zenyewe za mchina ambazo uwa ni wagum kutoa mikataba?
 
Comments nyingi zimetawaliwa na inferiority complex/Racial discrimination!
 
Mnachangia kishabeki hamjui nini matokeo baada ya hapo, boss ni boss tu akifukuzwa kazi anarudi kijijini na mashabeki wanabaki mjini.

Mwenye akili huwezi shabekia hicho black anachofanya.kwani angempotezea angekufa?

Kumpa mtu kazi sio kigezo cha kumdharau na kumfanyia ukatili kwa kigezo cha uboss ukikubaliana na aina hii ya uonevu na kuogopa kurudi kijijini ipo siku boss wako atakuomba tako ufilwe kisa kuogopa kutetea Maisha yako.
 
Mnachangia kishabeki hamjui nini matokeo baada ya hapo, boss ni boss tu akifukuzwa kazi anarudi kijijini na mashabeki wanabaki mjini.

Mwenye akili huwezi shabekia hicho black anachofanya.kwani angempotezea angekufa?
Hujakumbana na hawa watu ni zaidi ya wangesee yaan[emoji134]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mnachangia kishabeki hamjui nini matokeo baada ya hapo, boss ni boss tu akifukuzwa kazi anarudi kijijini na mashabeki wanabaki mjini.

Mwenye akili huwezi shabekia hicho black anachofanya.kwani angempotezea angekufa?

Utakuwa hufahamu dharau za Wachina kwa mtu mweusi...

Na wachina wanao ongoza kwa dharau ni ambao umri wao umeenda kidogo au wakiwa wamefanikiwa hivi...

Violence sio dawa sahihi ya unyanyasaji lakini kwa Mchina acha apigwe tu....
 
Back
Top Bottom