Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,754
- 4,746
Uhuru wa maoni. Alichokifanya mchina ni kibaya alichokifanywa mwafrika ni retaliation and selfdefence ambayo iko justifiable. In fact Management ya hiyo kampuni imeombari kwa kitendo hicho na kumfuta kazi huyo mchina. Kuheshimu kazi ni kuzuri, kuheshimiana ni kuzuri zaidi.Mnachangia kishabeki hamjui nini matokeo baada ya hapo, boss ni boss tu akifukuzwa kazi anarudi kijijini na mashabeki wanabaki mjini.
Mwenye akili huwezi shabekia hicho black anachofanya.kwani angempotezea angekufa?
Lakini kashindwa kuitumia eti. π π πFimbo ya Kumfuu sio hahahahhahahahaha
Enzi za SGR kenyaHuyo ambae ana record naona anaongea accent yake kama Mkenya au nimekosea?
Kwahiyo ndugu yangu hata utu wako ukidhalilishwa utakaa kimya kisa utarudi kijijini?Mnachangia kishabeki hamjui nini matokeo baada ya hapo, boss ni boss tu akifukuzwa kazi anarudi kijijini na mashabeki wanabaki mjini.
Mwenye akili huwezi shabekia hicho black anachofanya.kwani angempotezea angekufa?
Mbona kama mnaija hivHuyo ambae ana record naona anaongea accent yake kama Mkenya au nimekosea?
Umaskini usikufanye uuze utu wako. Yan ukubari kudhalilishwa kisa utafukuzwa kaz? Kaz zenyewe za mchina ambazo uwa ni wagum kutoa mikataba?Mnachangia kishabeki hamjui nini matokeo baada ya hapo, boss ni boss tu akifukuzwa kazi anarudi kijijini na mashabeki wanabaki mjini.
Mwenye akili huwezi shabekia hicho black anachofanya.kwani angempotezea angekufa?
Mchina toleo la mwisho huyo,kumbe si kila mchina anajua Kung Fu
Huyu kibongo bongo tunamwita jichina kokoMr Sheng si angetumia style ya Wing chun, angekuchukua point zake 3 mapemaaaaa
ZambiaSome people should be gunned down kama huyo mchina..Ni kwamba tu itβs illegal to kill. π€£π€£
Nchi gani tukio hili limetokea?
Haiwezi kuwa bongo hii thubutuu yake kwa walking dead bodies[emoji16]NCHI GANI?
ππItakuwa aliogopa kesi Swahiba. π Mana mchina angeweza kudanji pale. π π π
Mnachangia kishabeki hamjui nini matokeo baada ya hapo, boss ni boss tu akifukuzwa kazi anarudi kijijini na mashabeki wanabaki mjini.
Mwenye akili huwezi shabekia hicho black anachofanya.kwani angempotezea angekufa?
Hujakumbana na hawa watu ni zaidi ya wangesee yaan[emoji134]Mnachangia kishabeki hamjui nini matokeo baada ya hapo, boss ni boss tu akifukuzwa kazi anarudi kijijini na mashabeki wanabaki mjini.
Mwenye akili huwezi shabekia hicho black anachofanya.kwani angempotezea angekufa?
Mnachangia kishabeki hamjui nini matokeo baada ya hapo, boss ni boss tu akifukuzwa kazi anarudi kijijini na mashabeki wanabaki mjini.
Mwenye akili huwezi shabekia hicho black anachofanya.kwani angempotezea angekufa?
SIERRA LEONENCHI GANI?