Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?

Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?

Sasa ukatili ungeanzia hapo
kila mtu aone..hata tamthilia za kifilipino nazo ni pendwa na zote hukosi shoga ndani...zipigwe marufuku kwenye local channels
Hizo tamthilia tumeziangalia miaka nenda rudi tena tukiwa Watoto na hakuna aliyejaribu wala hata kuiga,

Ni hiki kizazi ndio kimeleta yote haya, kutwa kuongelea Ushoga na kunyoosheana vidole, enzi za zamani ilikua hakuna hayo mazungumzo na Mashoga walikuwepo tena wanajiremba kama Wanawake,

Kadri mnavyoyaongelea ndivyo mnavyoyakuza.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna yulee mwenye kazi yake kuchukua nyota za watu, ili biashara yake iendelee kushner.

Nusu amfanye msukule rafiki wa last born. Mweeeeeh
[emoji16][emoji16]weeee...kumbeee!!!!mama weeee

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Sasa ukatili ungeanzia hapo
kila mtu aone..hata tamthilia za kifilipino nazo ni pendwa na zote hukosi shoga ndani...zipigwe marufuku kwenye local channels
Zile zina watu wanaigiza mashoga (sijui kama sio mashoga kwenye maisha halisi), ukizizoea unaweza ona ushoga ni jambo la kawaida.
 
Ndio mana nakwambia sisi hatuli vinyeo kabisaa sasa unadhani hata ukija ntashughulika na mambo yenu ya vinyeo? We endelea kuwatetea magirauni na hamwezi kuiona pepo, we unadhan kila mtu anapenda hayo mambo sio?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu relaaaaaaaaxxxxxxxxx
 
Ni jambo ambalo sio la kawaida kabisa huku Kwetu.

Nadhani hawa jamaa watakuwa ni watumiaji wa Vileo/Pombe au Mihadarati. Ukiwa na akili timamu huwezi kushiriki kufanya huo ufirauni.

Kwanza hiyo Mb**00 inawezaje kusimama kwa Me mwenzio, sipati picha kabisa
Ni jambo la ajabu fedheha na kusikitisha sana
Tukianza kudili na mabasha lazima tudili na mabasha pia

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Haya mabarua wanachukuaga tu copy and paste huyu firauni kafukuzwa mwaka huu, hizi barua police huwa hawajali sana mambo ya matarehe yes barua ni ya mwaka jana ukisoma tarehe ila huyu firauni kafukuzwa juz juz tu
We unawajua polisi Broo[emoji119][emoji119][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]ndo wako hvyo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hivi mnaanzanje kuangalia hizo connection za kifirauni?? Mi siwezi aisee sina moyo huo..Mungu atusaidie...macho ndo mlango wa vitu vyote vibaya..kwanini tusipinge hizi video kusambaa? Maana toka zianzwe kurushwa naona ndo zinazidi na watu mnaangalia tuu..hamuoni kwamba zinawapelekea na nyie kwny ushetani?
Wanapenda imejionesha jinsi wanavyoigombania kuiona hiyo video, mtoa mada kabla haja edit post yake alisema kaiangalia zaidi ya mara 60, imagine[emoji3]

Mada za Ushoga ndio mada zinazoongoza kua na replies nyingi yaan jinsi watu wanavyopenda na kuhusudu, nakumbuka enzi hizo kuuongelea Ushoga ilikua ni Taboo.
 
kweli kabisa nimeshangaa kuona Hadi wanawake humu wanatazama ujinga huo.

nje ya mada.vipi ulisha pata yule mwanaume wa kukupa mimba au bado?
 
Back
Top Bottom