Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
Ipo hivyo ukiona shoga ujue aliharibiwa na mwanaume na anaendelea kuharibiwa na mwanaume, je hao waharibifu wako wapi??Wanaume wengi wameharibika sana na wanachangia ushoga kukua kwa kasi sababu ya kuwafanya mashoga
Keshafukuzwa kaziDaaaah.. Nahisi yule jamaa basha wa afande "mume" wake kaamua kuleta mambo yao ya hovyo hadharani..
Ni dhahiri kwa sababu yeye haonekani vizuri..
Ndhani serikali sasa ijikite kuwaadhibu vikali wanao sambaza video za hivi.
Hii video itaonwa na watakatifu waliopo duniani.. Wengi.. Na naamini ndiyo connection inayo spread kwa speed kubwa sasa.
Kwa kifupi wanao umia ni wengi; wanaume, wazanzibar, mapolis, watu wenye pua kubwa, watu wa dini yake, ndugu jamaa na marafiki zake mke wake ila sina uhakika kama kaoa"
Kwa sasa huyu jamaa ana hitaji msaada mkubwa sana wa kisaikolojia.
Ipo hivyo ukiona shoga ujue aliharibiwa na mwanaume na anaendelea kuharibiwa na mwanaume, je hao waharibifu wako wapi??
Kila siku tunasikia kesi Baba kamlawiti mtoto, Mjomba kamlawiti mtoto, dereva kamlawiti mtoto, jirani kamlawiti mtoto, nk je mwisho wa hao Watoto hua ni nini? ni nani ambaye atadili na hiyo Trauma ya Mtoto?
Haya mambo tunayachukulia kwa upande mmoja sana, hakuna mtu aliyetaka kukutana na hao Mashoga wakawaeleza story kamili, ni nani anawatengeneza Mashoga kama sio jamii hii hii inayowatukana sasa hivi.
Ndo Nini, hakuna la maana.
Uwe unatumia akili siku zingine sio unaropoka tu kama umekunywa maji ya chooniKwendraaaaaa huko
Wasanii sahv si wanavaaga hvyo piaDuuh,dume zima linavaa shanga na vikuku?
Uwe unatumia akili siku zingine sio unaropoka tu kama umekunywa maji ya chooni
Yule mwamba ake mkuu kasuka t nywele..nafkiri ndo aliekua anamshughulikia kwenye gari..Mwamba anam video call mwanamke alafu anajichezea makalio yeye mwanaume
Jeshi lifanyeje kuondoa mavi?Shida sio kufukuzwa shidaJeshi limebaki na Mavi.
Mlango alioufungua wazi wazi Nani aja ufunga?
Na hapo juu kasema kuna dada kaomba kuchangiwa diapers kwa ajili ya mwanae amelawitiwa hadi kuharibika, miaka 10 ijayo akimuona huyo mtoto shoga atasema auwawe anaharibu maadili ya Mtanzania.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaona mashoga je nani anaowafanya hilo lundu wanasahaulika
Hata unitukane tusi gani sijali, ila na wewe unaonekana ni unafanya huo upuuzi ndo maana unatetea.Uwe unatumia akili siku zingine sio unaropoka tu kama umekunywa maji ya chooni
Hapo ndo wanaume mnaposhangaza.Bora hata umle mdada kkuliko kugusa vigimbi hivyo.
Ziba picha ya mtoto, hamjui haki za watoto nyie kukuJamaa mzenj katia aibu sana View attachment 2534714View attachment 2534715
Tatizo huwezi tenganisha uislamu na mila na desturi za kiarabu. Ni ukweli ulio wazi hadi wafalme wa Saud Arabia mpaka sasa Wana mashoga kama concubine wao na ni jambo la kawaida toka enzi na enziNiwape warning kwa wale wanaouchafua uislamu kwa kulinganisha na mambo ya ushoga , muislamu ni mtu kama wewe kila unachoweza wewe kufanya na yeye anaweza kukifanya ila uislamu umenyooka na ahuna dosari uislamu unapinga ushoga na mambo yote mabaya na mpaka adhabu mwenyezi mungu alishawai kuzitoa kwa binadamu kwa kufanya matendo kama ayo sasa, mnapousema uislamu kwa matendo ya muislamu mnakuwa mnaukosea sisi waislamu atujawai kuhukumu ukristo kwa matendo ya mkristo .. niishie apo kwa leo....
Mzee hali ni mbaya sana, zunguka usiku kwenye hizi bar na kumbi za starehe mbali mbali, imefikia hatua watoto wa kiume wanadanga, na ni rika la vijana wadogo wadogo sana, yaani tusidanganyane na kufarijiana hali ni mbaya sanaMwanangu hali ni mbaya sana hivi hata sisi wananchi tunakuza mambo yenyewe, ikitokea upande wa wakristo, waislamu wanacheka, na ikitokea kwa waislamu wakristo wanacheka bila kujua ni kama wanakuza hilo suala
HatRi sana kama kinondoni, sinza huko na matabata hali si shwariMzee hali ni mbaya sana, zunguka usiku kwenye hizi bar na kumbi za starehe mbali mbali, imefikia hatua watoto wa kiume wanadanga, na ni rika la vijana wadogo wadogo sana, yaani tusidanganyane na kufarijiana hali ni mbaya sana
Kuna idadi kubwa sana ya single mothers kwa sasa, na wale watoto malezi wanayolelewa na mama zao ni chanzo kingine cha haya mambo. Angalia vijana wa sasa hivi walivyolegea, yaani ni aibu aisee.. Hivi vitoto vya siku hizi mayai mayai vikina Junia tusiposhtuka mapema sijui tuWe unajitambua au umeandika kwa huruma gani. We utakuwa unasapoti ushoga au we ndo single mother kudekeza vitoto vyenu mwisho kupakatwa na mauncle. Hakuna anayekudharirisha wew mwenyewe ukitenda uovu utaonekana tu. Malipo hapa duniani. Unafichaje maovu