Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
Ipo hivyo ukiona shoga ujue aliharibiwa na mwanaume na anaendelea kuharibiwa na mwanaume, je hao waharibifu wako wapi??Wanaume wengi wameharibika sana na wanachangia ushoga kukua kwa kasi sababu ya kuwafanya mashoga
Kila siku tunasikia kesi Baba kamlawiti mtoto, Mjomba kamlawiti mtoto, dereva kamlawiti mtoto, jirani kamlawiti mtoto, nk je mwisho wa hao Watoto hua ni nini? ni nani ambaye atadili na hiyo Trauma ya Mtoto?
Haya mambo tunayachukulia kwa upande mmoja sana, hakuna mtu aliyetaka kukutana na hao Mashoga wakawaeleza story kamili, ni nani anawatengeneza Mashoga kama sio jamii hii hii inayowatukana sasa hivi.