Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?

Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?

Hatari sana ,amelidhalilisha jeshi la polisi ,bora walivyomfukuza akaendeleze ufirauni vizuri huko mtaani.
Mapoti hao
Screenshot_20230301-013210_Twitter.jpeg
 
Kama hapa ofisini kwangu kuna kaka nilikuwa namheshim alikuwa karibu mno na kijana wangu wa kazi siku kijana ana nambia jamaa ana mlazimisha amkule tena kwa kunionesha sms kwenye simu nilishangaa mno 😳😳😳 jamaa ana Mwanamke anaishi nae.Kwa kweli tuombe sana Mungu atuepushe na vizazi vyetu.
Binadam wanataka wajaribu Kila kitu, matokeo yake wananogewa inakuwa muendelezo na vitu vyote Haram vina uraibu(addiction) Kali sana. Ukishajaribu kuacha ni shughuli.
 
Ehh Mwenye Enzi Mungu simama mwenyewe uokoe taifa letu ambalo ni la kwako pia!
Eee Mungu wangu tuokoe maana tuna angamia walahi[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Niwape warning kwa wale wanaouchafua uislamu kwa kulinganisha na mambo ya ushoga , muislamu ni mtu kama wewe kila unachoweza wewe kufanya na yeye anaweza kukifanya ila uislamu umenyooka na ahuna dosari uislamu unapinga ushoga na mambo yote mabaya na mpaka adhabu mwenyezi mungu alishawai kuzitoa kwa binadamu kwa kufanya matendo kama ayo sasa, mnapousema uislamu kwa matendo ya muislamu mnakuwa mnaukosea sisi waislamu atujawai kuhukumu ukristo kwa matendo ya mkristo .. niishie apo kwa leo....
Hajasema uislam ila watu wa pwani ambao wengi nkutoka katika dini hyo au eneo ambapo vitendo hvyo vimeshika kasi

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Unguja kulikuwa na Club ya Machoko pale kwa Raji kama unaelekea Kilimani/ Kiembesamaki
Kwa zanzibar wala sio jambo la siri kabisa!!mitaa yote ya malindi hapo!!wanakwambia hao mabaasha walivyokuwa ma LE Profesheno hata ukimnusisha mavi tu anajua ni ya nani!!hahaaa,nilicheka sana nilipoambiwa hilo.Nikaenda pemba kuna MESS ya jeshi pale macho manne!!yaani ni aibu tu
 
Daaaah.. Nahisi yule jamaa basha wa afande "mume" wake kaamua kuleta mambo yao ya hovyo hadharani..
Ni dhahiri kwa sababu yeye haonekani vizuri..

Ndhani serikali sasa ijikite kuwaadhibu vikali wanao sambaza video za hivi.

Hii video itaonwa na watakatifu waliopo duniani.. Wengi.. Na naamini ndiyo connection inayo spread kwa speed kubwa sasa.

Kwa kifupi wanao umia ni wengi; wanaume, wazanzibar, mapolis, watu wenye pua kubwa, watu wa dini yake, ndugu jamaa na marafiki zake mke wake ila sina uhakika kama kaoa"

Kwa sasa huyu jamaa ana hitaji msaada mkubwa sana wa kisaikolojia.
Msaada wa nini huyo mshenzi azagamuliwe tena analia na kulia kabisa [emoji174][emoji174] nimesikitika sana, Mungu anajua asee

Au hii ni agenda mpya...?
 
Eti Mungu alivyochoka kama kichizi hiki kimama
emoji28.png

Tangu lini Mungu akachoka jamani mbona unakufuru sana,

Sasa nakwambia ndio maana hujawahi kua kiranja na hutokua hata mjumbe wa nyumba 10 wewe endelea kupora waume za watu na kuchoropoa mimba tu, huna haiba ya uongozi.
Huna tusi jingine umekomalia kucholopoa mimba na waume za watu as if tunajuana au mmeo ndo alinipa hiyo mimba? Ongea pointi sio unajisemesha kutafuta attention humu umetukana matusi yote yameishia.
Kama unafanya umalaya unadhani na wengine ni malaya kama wewe?
Acha ujinga wa kutete ushoga.

Matusi yako hayanisaidii chochote shoga wewe.


Eti Mungu alivyochoka kama kichizi hiki kimama[emoji28]
Tangu lini Mungu akachoka jamani mbona unakufuru sana,

Sasa nakwambia ndio maana hujawahi kua kiranja na hutokua hata mjumbe wa nyumba 10 wewe endelea kupora waume za watu na kuchoropoa mimba tu, huna haiba ya uongozi.
 
Back
Top Bottom