Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Kabisa MkuuWachoyo.
Uzi bila kavideo ni chai😜
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa MkuuWachoyo.
Uzi bila kavideo ni chai😜
HakikaSure, tutapo mkaribia Mungu na kumpinga shetani kwa maombi, neno la Mungu, upendo, kufunga, utu wema, imani katika Yesu, na saburi bila kusahau utawa, udhihirisho wa ushindi alio tupatia Yesu pale msalabani unakuwa wazi wazi katika maisha yetu, watoto , familia zetu makazini, hata taifa.. kama kwa watu 10 wangeiponya sodoma na gomora , familia zetu zikisimama zitaliponya taifa
Very bad news eebwana Mungu nusuru Kizazi hiki. hii ni balaa kubwa hapa dunianiNimesema... kuwa ushoga upo askari duh. Nimelia sana aisee ni msiba..
View attachment 2534416
Naona unageuza geuza maneno kama kinyonga...Baadh mko na malezi mabovu..mtoto wakiume anabidi alelewe kiume sio kike kike mwisho atapasuliwa mayai. Au unatetea endelea na moyo wa huruma kutetea uovu
Alikua anaipigia punyetomkuu kwann uangalie Mara 60 uchafu huo?
Una muonya nani we PIGNiwape warning kwa wale wanaouchafua uislamu kwa kulinganisha na mambo ya ushoga , muislamu ni mtu kama wewe kila unachoweza wewe kufanya na yeye anaweza kukifanya ila uislamu umenyooka na ahuna dosari uislamu unapinga ushoga na mambo yote mabaya na mpaka adhabu mwenyezi mungu alishawai kuzitoa kwa binadamu kwa kufanya matendo kama ayo sasa, mnapousema uislamu kwa matendo ya muislamu mnakuwa mnaukosea sisi waislamu atujawai kuhukumu ukristo kwa matendo ya mkristo .. niishie apo kwa leo....
Ulichukua hatua gani kuhusu hilo basha? Aisee mimi siyaelewi haya mabasha, hivi unakuwa na nyege na tako la mwanaume mwenzako kama sio upungufu wa akili ni kitu gani hicho?Kama hapa ofisini kwangu kuna kaka nilikuwa namheshim alikuwa karibu mno na kijana wangu wa kazi siku kijana ana nambia jamaa ana mlazimisha amkule tena kwa kunionesha sms kwenye simu nilishangaa mno 😳😳😳 jamaa ana Mwanamke anaishi nae.Kwa kweli tuombe sana Mungu atuepushe na vizazi vyetu.
Hiyo video ikowapi mbona hamtupi ili tuchangie vilivyo
Ni wanawake wachache sana au hakuna kabisa anae weza kulea mtoto kiume.Baadh mko na malezi mabovu..mtoto wakiume anabidi alelewe kiume sio kike kike mwisho atapasuliwa mayai. Au unatetea endelea na moyo wa huruma kutetea uovu
Huenda, nasema huenda...nako kuna shida. Nadhani umenielewa, sitaki ban!Mods post kama hii mmeifuta ina maudhui gani mabaya?View attachment 2534479nimetaka na mimi ni-reply mawazo yangu nashangaa haipoView attachment 2534480 kwanini tunashindwa kwenda pamoja kulinyoosha taifa letu?kuna shida gani?
Hasa Watoto wa shule,kuna video nimeiona huko kwenye ma group ya WhatsApp vitoto Kama vya darasa la pili na la tatu vinaimba wimbo wa basi nitongeze,baba mwenye Nyumba akiketa sijui fyoko natia makonde!Kweli nyimbo za sasahivi zinaalibu watu sana na tiktok
Kunahaja kubwa ya jeshi zima kufanya ukaguzi kuna video imesambaa sana ya kijana wa jeshi shoga akizagamuliwa huko zanzibar dah aisee hv ili swala la ushoga serikali kama imelinyamazia hv hii ni hatar nimeangalia video mara60 siamini wadau tufanyeje ili hii hali isizidi kusambaa kwa kasi???dah
Unajitakia dhambi .....nitumie pm mkuu
Haha yan unajaribu kusema hata wao wanasapoti rainbowHuenda, nasema huenda...nako kuna shida. Nadhani umenielewa, sitaki ban!
Siungi mkono hiyo kampeni... kwanini usioe...Ni wanawake wachache sana au hakuna kabisa anae weza kulea mtoto kiume.
Mtoto anahitaji father figure...hata kama sio baba lakini mwanaume awepo.
Hii kampeni yenu ya kataa ndoa huku mkisema mtawazalisha bila kuwaoa ni bomu mnatengeneza kwa watoto wenu wa kiume.
Umenilisha maneno mkuu, sijafika huko mimi!!Haha yan unajaribu kusema hata wao wanasapoti rainbow
Wwe wanakuwaga na nguvu hao,ole wako umpige kimoko mbona utakula sana mbata!!Hivi anaweza hata kushika pingu huyu kweli?