Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?

Maisha ya kuanzia 2020 yamekuwa changamoto sana.

Kuna wanaume marijali mna uzi gani sijui kule mnaongea habari za anal sex.. sasa nanyi mna tofauti gani na mashoga?
Watakwambia mwanamke akifanyiwa ni kawaida. Kibao kimewageukia wanageuzana wao kwa wao.
 
BASATA wapo kimya kwanini wanaruhusu maadili yahujumiwe kiasi hiki?

Au labda kuna namna wanapata faida?kiongozi wa nchi nae kimya wizara kimya tufanyeje wananchi?
 
Nimesema... kuwa ushoga upo askari duh. Nimelia sana aisee ni msiba..
View attachment 2534416
Mmh! Anavyogugumia sasa huku Anakoki Bunduki Mpk raha[emoji12][emoji12] ila kwann sasa Amemrekodi halafu akaiweka Social Media[emoji24][emoji24]
Dah! jaman watu wengine bhana Mtu amekutunuku Furahia Maisha inatosha Without Public Evidence(bt Kiroho/Kiiman ni dhambi sana)
 
Mbona mnamsema yeye tuu alikuwa anajishogesha peke yake au
 
Hapa ndiyo ujuwe hakuna mkamilifu, Police si Malaika,ni Binaadamu Kama Mimi na wwe,na wao wanamapungufu Kama Wanadamu! Sasa unapotaka uzi ufutwe kisa aliyefanya ni police si itafika kipindi hadi utataka police wanao tesa na kuwa raia wasiwekwe hadharani pamoja na ushahidi wa video kuwepo!!??

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Kajirekodi kwanza kozi ni kwa gari. Video ziko mbili nyingine video call afu anapigiwa na demu 😭😭
 
Waarabu wameharibu ndugu zetu wa Pwani nao wakausambaza bara. Kilimanjaro, Mwanza, Arusha kuna watoto wa kiume wanafirwa wengi sana na ni wazawa wengi wao.
Speaking from experience kazi za kitafiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…