Aizn
JF-Expert Member
- Dec 14, 2022
- 2,172
- 4,196
Sim zinachangia sana kushawishi watoto na jamii kiujumla kueneza na kushawishi vitendo vya ushoga na kupelekea mtu kuwa shoga na jamii kiujumla
Ashume- hizi porno Kwa mfano hizo za Anal porno unakuta kijana/binti akiangalia anashawishika tu kuingiliwa au kumuingilia mwenzake kinyume na maumbile, watu wa magharib wametumia akili ndogo sana Kwa kueneza ushoga/usagaji Kwa kutumia sim
Personal- nishawahi kuangalia porno na nimeshawahi pia kuangalia anal porno- yaani najikuta uume unasimama na kutamani kitendo cha kumuingilia mtu kinyume na maumbile nashukuru kuacha kabsa kuangalia video zenye mahudhuhi hayo na porno kiujumla - ALHAMDULLILLAH
NB
Kwa wazazi tuwape watoto elimu kwanza ya matumizi sahihi ya sim then ndio tuwaruhusu waanze kutumia sim kinyume na hapo mtoto ataharibikiwa kwa kutumia sim yake ya mkononi ni private sana ataanza kuharibikiwa bila ya wewe mwenyewe kujua
Asante