Ntakuzibua
JF-Expert Member
- Oct 3, 2018
- 714
- 1,253
Video ya mwaka jana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ni kwanini watu wakishafanya ujinga wao watu huanza kuwaonea huruma na kusema wanahitaji msaada wa kisaikolojia!!??Daaaah.. Nahisi yule jamaa basha wa afande "mume" wake kaamua kuleta mambo yao ya hovyo hadharani..
Ni dhahiri kwa sababu yeye haonekani vizuri..
Ndhani serikali sasa ijikite kuwaadhibu vikali wanao sambaza video za hivi.
Hii video itaonwa na watakatifu waliopo duniani.. Wengi.. Na naamini ndiyo connection inayo spread kwa speed kubwa sasa.
Kwa kifupi wanao umia ni wengi; wanaume, wazanzibar, mapolis, watu wenye pua kubwa, watu wa dini yake, ndugu jamaa na marafiki zake mke wake ila sina uhakika kama kaoa"
Kwa sasa huyu jamaa ana hitaji msaada mkubwa sana wa kisaikolojia.
Uko sahihi mkuuHawa wanatakiea kushughulikiwa kwa ukali tena kwa namna isiyo rasmi. Wanao sympathizers wengi mno wenye uwezo wa kuusumbuwa uongozi wetu. Inabidi "wanyakuliwe" kimya kimya.
Wanaharibiwa you see!?Kwendraaaaaa kutetea ujinga ndo ujibu hivi? Nazini na mmeo? Acha upumbavu kutetea ujinga bila kuangalia athari za kizazi kijacho.
Au na wewe unafanya huo ushenzi ndo maana unatetea?
Vijana wadogo mashuleni wanaharibiwa na ushenzi huu afu mtu anatetea.
Ee Mungu tuhurumie.
Video yenyewe hatuoni tunaona picha tu.Huyu askari kadharirisha jeshi la polisi kiukweli . Serikali inafumbia masuala haya why? huyu yuko na familia na watoto afu anakazazwa na mtoto pia dooh . Kuna watu wanasema tunamchafua kwani alikuwa kaelewa kusema labda kabakwa au katekwa amejitakia mwenyewe na unaonekana amejirekodi . Video ya pili anaonekana anapigiwa video call na mwanamke afu yuko anamuonesha sehemu ya makalio huyu mwenyewe.
[emoji419] Wanawake mko na moyo wa huruma lakini huruma yenu ndo inaaribu kizazi hiki mtoto wa kiume kukuwa kama mtoto wa kike.
Eti mtu anamtetea mtu muovu busara gani. Mdada kaniuliza je angekuwa mzazi wako ungepost au? Uenda wangepost wengine... ila acha kuficha uovu wa watu me sikumrekodi alijirekodi mwenyewe.
Taifa liko na Viongozi wa ajabu wenye tamaa na uongozi ila kuongoza hawawezi ......
... mchana mwem.
View attachment 2534416
Wanaharibiwa you see!?
Ulipaswa kukemea hao wanaowaharibu ambao ndio hao hao waume zenu mnaowagombania kabla ya kuhukumu walioharibiwa
Kwani video inaruhusiwa hapa😁Video yenyewe hatuoni tunaona picha tu.
Video yenyewe hatuoni tunaona picha tu.
Alafu anazo shanga mguuni na kiunoni!
Ile wiki ya valentine dada mmoja alipost status akiomba tumchangie pampas za kg 15 za mtoto wa kiume aliyeingiliwa kikatili na uchafu unatoka non stop. Roho iliniuma siku hiyo trh 14 feb nikanunua pampasi nikapeleka. Ndo sasa nikasimuliwa jitu lilivyo muingilia mtoto na kumuharibu.Same here yan hawaaa leo saa10 wangelikua wanawazika
Ila Rais tulienae hawezi ht kuliongelea jambo ili na ushujaa inaumiza sanaa mnooo!binafsi naona iki kipnd ndo haya mambo yameshika kasi sanaa
Kazi ipo Tanzania hakika tumepatwa[emoji119]
UbinadamuHivi ni kwanini watu wakishafanya ujinga wao watu huanza kuwaonea huruma na kusema wanahitaji msaada wa kisaikolojia!!??
Unaambiwa imezagaa tayariYaan mi sijataka hata iwe kwa simu na wala siwezi mtumie mtu inatia kinyaaa Yaan unaogopa ukiituma labda mtu atataman nae
Kwendraaaaaa hukoWanaharibiwa you see!?
Ulipaswa kukemea hao wanaowaharibu ambao ndio hao hao waume zenu mnaowagombania kabla ya kuhukumu walioharibiwa
Nilimuita kwanza alikataa baada ya kumuonesha sms zake akaanza kuomba samahani nilimpa onyo kwa sasa hafiki hata eneo hili tena .Ulichukua hatua gani kuhusu hilo basha? Aisee mimi siyaelewi haya mabasha, hivi unakuwa na nyege na tako la mwanaume mwenzako kama sio upungufu wa akili ni kitu gani hicho?
😀😀..ndo maana huwi rais mkuuMimi ningekuwa raisi ningekuwa kiongozi katili ambae hajawahi tokea ujinga kama huu nafutilia mbali wahusika.nitajibu kwa Mungu.
Watakwambia haki za binadamu . Kama haki kwani Mungu alishindwa kuruhusu... daah jambia linawahusuKuna vitu huwa rahisi sana kuviondoa, ujambazi, ushoga, usagaji, kamari na mfano wa hivyo, shida ni hii mifumo yetu ya kishetani (Demokrasia).
Kuna watu zama za watu wenye akili na maarifa makubwa, walikuwa wanauliwa, wengine waliwauwa kwa kuwachoma moto kabisa, watu wanao fanya mapenzi ya jinsia Moja, yaani mfanyaji na mfanywaji wote wa wanauliwa.
Hivi kiakili tu, itangazwe Sheria na ifanyiwe kazi kwamba, akikamatwa shoga na mfanyaji na wasagaji wanauliwa, aidha kwa kuchomwa moto au kuchinjwa au kwa namna yoyote Ile ili mradi tu wauwawe. Hakuna atakaye salia shoga wala msagaji katika huu mgongo wa ardhi.
Sababu hakuna mtu aliyeumbwa kuwa shoga au msagaji, hizi tabia za kisenge watu wanaziendekeza. Ila hawajui zina athari gani katika jamii. Zina athari kimaana na kihisia.
Kuna nchi Kama Mexico baadhiu ya miji midogo midogo ukienda utafikiri uko sodoma. Polisi, daktari, taxi driver, muuza duka kila unayemuona ni shoga.Hemedy ushoga na usagaji ni janga la dunia
Haupo kwa wafanyakazi wa serikali pekee, umeshaingia misikitini, makanisani, mashuleni hata kwa wale wanaotakiwa kututibia mahospitalini upo
Ushoga na usagaji ni roho inayotembea kwa speed mnoo. Usishangae kwenye familia yako ukakuta wapo wanachokoana na kusagana😥😥😥😥
Bila kumrudia Mungu katika roho na kweli na kufuata sheria zake tutashindwa
Roho zetu zikimbeba Mungu roho hizi chafu zitaondoka
Unaambiwa imezagaa tayari