tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Pamoja na kupewa silaha ya kulinda,matako hayalindi yako waziAna mguu wa kuku halafu mattercall yote yapo nje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na kupewa silaha ya kulinda,matako hayalindi yako waziAna mguu wa kuku halafu mattercall yote yapo nje?
Kukazia tu.. Hata marekani wenyewe jimbo la Oklahoma hawajakubali ushoga na kutoa mimba, so tusiwe wajingaSAME-SEX MARRIAGE - JUDGMENT OF THE COURT OF HUMAN RIGHTS IN STRASBOURG - FRANCE
Unanimously, the World Court of Human Rights has established, verbatim, that there is no right to same-sex marriage". The 47 judges from the 47 countries of the Council of Europe, which are members of the Plenary Court of Strasbourg (the most important human rights court in the world), published a statement of great relevance which has been surprisingly silenced by the progress of information and its field of influence. In fact, all 47 justices unanimously endorsed the ruling that "there is no right to same-sex marriage. The sentence was based on a myriad of philosophical and anthropological considerations based on the natural order, common sense, scientific reports and, of course, positive law. In the latter case, in particular, the judgment was based on Article 12 of the European Convention on Human Rights. This also equates to treaty resolutions relating to human rights, in particular articles 17 of the P San José Act and 23 of the International Covenant on Civil and Political Rights. In these historic resolutions, the Court decided that the notion of family contemplates not only "the traditional concept of marriage, that is, the union of a man and a woman", but also that they should not be imposed on governments an "obligation to open marriage to persons of the same sex". With regard to the principle of non-discrimination, the Court also added that there is no discrimination, since "states are free to reserve marriage only to heterosexual couples". **** It is important and absolutely necessary to spread this kind of news because governments and supporters of homosexual lobbies do not want people to know about it. Help spread this decision! Obviously, the media is not interested in publicizing this information:
![]()
La Cour Européenne des Droits de l'Homme confirme à l’unanimité l’absence de droit au mariage homosexuel
Veuillez laisser ce champ vide MPI vous informe gratuitement, Recevez la liste des nouveaux articles Je veux recevoir la lettre d'information : Chaque jour Chaque semaine Nous n’envoyons pas de messages indésirables ! Lisez notre politique de confidentialité pour plus d’informations.[Lire plus...]www.medias-presse.info
Please Spread [emoji1489]
Askari kaamua kuukalia ukuni, sasa hayo ni maamuzi yake kaamua kugongwa sisi tufanyaje?Huyu askari kadharirisha jeshi la polisi kiukweli . Serikali inafumbia masuala haya why? huyu yuko na familia na watoto afu anakazazwa na mtoto pia dooh . Kuna watu wanasema tunamchafua kwani alikuwa kaelewa kusema labda kabakwa au katekwa amejitakia mwenyewe na unaonekana amejirekodi . Video ya pili anaonekana anapigiwa video call na mwanamke afu yuko anamuonesha sehemu ya makalio huyu mwenyewe.
📌 Wanawake mko na moyo wa huruma lakini huruma yenu ndo inaaribu kizazi hiki mtoto wa kiume kukuwa kama mtoto wa kike.
Eti mtu anamtetea mtu muovu busara gani. Mdada kaniuliza je angekuwa mzazi wako ungepost au? Uenda wangepost wengine... ila acha kuficha uovu wa watu me sikumrekodi alijirekodi mwenyewe.
Taifa liko na Viongozi wa ajabu wenye tamaa na uongozi ila kuongoza hawawezi ......
... mchana mwem.
View attachment 2534416
Hujaacha mwongo wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji24]
Wewe ni nini wewee!achaa wasambaze kataka mwenyeweDaaaah.. Nahisi yule jamaa basha wa afande "mume" wake kaamua kuleta mambo yao ya hovyo hadharani..
Ni dhahiri kwa sababu yeye haonekani vizuri..
Ndhani serikali sasa ijikite kuwaadhibu vikali wanao sambaza video za hivi.
Hii video itaonwa na watakatifu waliopo duniani.. Wengi.. Na naamini ndiyo connection inayo spread kwa speed kubwa sasa.
Kwa kifupi wanao umia ni wengi; wanaume, wazanzibar, mapolis, watu wenye pua kubwa, watu wa dini yake, ndugu jamaa na marafiki zake mke wake ila sina uhakika kama kaoa"
Kwa sasa huyu jamaa ana hitaji msaada mkubwa sana wa kisaikolojia.
Onyo hilo unampa Nani, we Lofa niniNiwape warning kwa wale wanaouchafua uislamu kwa kulinganisha na mambo ya ushoga , muislamu ni mtu kama wewe kila unachoweza wewe kufanya na yeye anaweza kukifanya ila uislamu umenyooka na ahuna dosari uislamu unapinga ushoga na mambo yote mabaya na mpaka adhabu mwenyezi mungu alishawai kuzitoa kwa binadamu kwa kufanya matendo kama ayo sasa, mnapousema uislamu kwa matendo ya muislamu mnakuwa mnaukosea sisi waislamu atujawai kuhukumu ukristo kwa matendo ya mkristo .. niishie apo kwa leo....
Inaleta picha chafuHuyu askari kadharirisha jeshi la polisi kiukweli . Serikali inafumbia masuala haya why? huyu yuko na familia na watoto afu anakazazwa na mtoto pia dooh . Kuna watu wanasema tunamchafua kwani alikuwa kaelewa kusema labda kabakwa au katekwa amejitakia mwenyewe na unaonekana amejirekodi . Video ya pili anaonekana anapigiwa video call na mwanamke afu yuko anamuonesha sehemu ya makalio huyu mwenyewe.
📌 Wanawake mko na moyo wa huruma lakini huruma yenu ndo inaaribu kizazi hiki mtoto wa kiume kukuwa kama mtoto wa kike.
Eti mtu anamtetea mtu muovu busara gani. Mdada kaniuliza je angekuwa mzazi wako ungepost au? Uenda wangepost wengine... ila acha kuficha uovu wa watu me sikumrekodi alijirekodi mwenyewe.
Taifa liko na Viongozi wa ajabu wenye tamaa na uongozi ila kuongoza hawawezi ......
... mchana mwem.
View attachment 2534416
😂😂😂Wewe hujaacha bwanaNi ngumu sana kuacha ndio maana hauamini kama nimeacha wewe endelea kupambana mzee utafanikiwa tu kuacha maana sio jambo dogo
Nawe mkuu emb tueleze, hiyo avatar yako ulojiweka, hao ni boys 2 men, au ni kijana wa kiume na msichana?Huyu askari kadharirisha jeshi la polisi kiukweli . Serikali inafumbia masuala haya why? huyu yuko na familia na watoto afu anakazazwa na mtoto pia dooh . Kuna watu wanasema tunamchafua kwani alikuwa kaelewa kusema labda kabakwa au katekwa amejitakia mwenyewe na unaonekana amejirekodi . Video ya pili anaonekana anapigiwa video call na mwanamke afu yuko anamuonesha sehemu ya makalio huyu mwenyewe.
[emoji419] Wanawake mko na moyo wa huruma lakini huruma yenu ndo inaaribu kizazi hiki mtoto wa kiume kukuwa kama mtoto wa kike.
Eti mtu anamtetea mtu muovu busara gani. Mdada kaniuliza je angekuwa mzazi wako ungepost au? Uenda wangepost wengine... ila acha kuficha uovu wa watu me sikumrekodi alijirekodi mwenyewe.
Taifa liko na Viongozi wa ajabu wenye tamaa na uongozi ila kuongoza hawawezi ......
... mchana mwem.
View attachment 2534416
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hataree tupu.
Nipoooo na nimejaa teleeeKing Kong III na cocastic uzi huu mmeona kinachoendelea duniani huku?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umekosea quotes au?Ma
Mara sitini si kama kula chabo, video inakera japo sikaiona wewe ukaicheki muda wote huo.
HatariMaisha ya kuanzia 2020 yamekuwa changamoto sana.
Kuna wanaume marijali mna uzi gani sijui kule mnaongea habari za anal sex.. sasa nanyi mna tofauti gani na mashoga?
Unadhan wanaona geni bas, unafiki tyuuh umewajaa. LolHivi kwanini Tanzania linapotokea jambo kama hili kuna watu huliona jambo hili ni geni huku!!
Hivi hii picha yaweza kuwa ni kielelezo kisichotia shaka?Huyu askari kadharirisha jeshi la polisi kiukweli . Serikali inafumbia masuala haya why? huyu yuko na familia na watoto afu anakazazwa na mtoto pia dooh . Kuna watu wanasema tunamchafua kwani alikuwa kaelewa kusema labda kabakwa au katekwa amejitakia mwenyewe na unaonekana amejirekodi . Video ya pili anaonekana anapigiwa video call na mwanamke afu yuko anamuonesha sehemu ya makalio huyu mwenyewe.
[emoji419] Wanawake mko na moyo wa huruma lakini huruma yenu ndo inaaribu kizazi hiki mtoto wa kiume kukuwa kama mtoto wa kike.
Eti mtu anamtetea mtu muovu busara gani. Mdada kaniuliza je angekuwa mzazi wako ungepost au? Uenda wangepost wengine... ila acha kuficha uovu wa watu me sikumrekodi alijirekodi mwenyewe.
Taifa liko na Viongozi wa ajabu wenye tamaa na uongozi ila kuongoza hawawezi ......
... mchana mwem.
View attachment 2534416
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lakini wanawazidi kwa kila kitu nyie straight uchwaraaaa. MxxxieeeeeeewwKuna nchi Kama Mexico baadhiu ya miji midogo midogo ukienda utafikiri uko sodoma. Polisi, daktari, taxi driver, muuza duka kila unayemuona ni shoga.
Dunia iko ukingoni
Mabasha wengi ndo wapinga Ushoga, yaan wanajistukia balaa.Ipo hivyo ukiona shoga ujue aliharibiwa na mwanaume na anaendelea kuharibiwa na mwanaume, je hao waharibifu wako wapi??
Kila siku tunasikia kesi Baba kamlawiti mtoto, Mjomba kamlawiti mtoto, dereva kamlawiti mtoto, jirani kamlawiti mtoto, nk je mwisho wa hao Watoto hua ni nini? ni nani ambaye atadili na hiyo Trauma ya Mtoto?
Haya mambo tunayachukulia kwa upande mmoja sana, hakuna mtu aliyetaka kukutana na hao Mashoga wakawaeleza story kamili, ni nani anawatengeneza Mashoga kama sio jamii hii hii inayowatukana sasa hivi.