Ms Billionaire
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 2,452
- 4,955
Yani lazima mtafute eneo la kupachika lawama kwa wanawake. Just take your losses kwamba wanaume kwa sasa wengi wenu mmevuliwa mamlaka. ujeuri hausaidii jiombeeni wenyewe📌 Wanawake mko na moyo wa huruma lakini huruma yenu ndo inaaribu kizazi hiki mtoto wa kiume kukuwa kama mtoto wa kike.