Kwa wale tulibahatika kupita pita zenji miaka michache nyuma kwa kazi za research za ngo's fulani fulani, zenji kuna uchafu mkubwa sana hasa kwa watoto wa kiume wanakulana sana, vijana wadogo sana washaliwa, na hii inaanzia kwenye familia maankoli hawa sio watu poa na kesi hazifiki panapostahili kwa sababu mama anamuonea noma kaka ake miaka 30, haya polisi mwenyewe wa kukumata kwa kesi hiyo ndio awe huyu, kuna mmomonyoko mkubwa wa kimaadili kwenye swala hilo huko zenji, mchezo huo pia kwa kiasi kikubwa upo Bagamoyo, Tanga, na cha ajabu hivi sasa Arusha na kioimanjaro umechachamaa, dar upo saana ila wajanja sana kuficha coz wanafanya biashara. Na mikoa tajwa hapo juu inasifa moja kuu ukitoa ushoga,, nadhani manajua vitovu vya utalii wa nchi