Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?

Video chafu ya askari wa kiume akiingiliwa inaleta picha gani?

Hao wanaopenda kufanya kinyume na maumbile kwa wanawake wao ndo mwisho hufanya hivi vitendo.
 
Huyu askari kadharirisha jeshi la polisi kiukweli . Serikali inafumbia macho masuala haya why? huyu yuko na familia na watoto . Kuna watu wanasema tunamchafua kwani alikuwa kaelewa kusema labda kabakwa au katekwa amejitakia mwenyewe na unaonekana amejirekodi . Video ya pili anaonekana anapigiwa video call na mwanamke afu yuko anamuonesha sehemu ya makalio huyu mwenyewe.

📌 Wanawake mko na moyo wa huruma lakini huruma yenu ndo inaaribu kizazi hiki mtoto wa kiume kukuwa kama mtoto wa kike.

Eti mtu anamtetea mtu muovu busara gani. Mdada kaniuliza je angekuwa mzazi wako ungepost au? Uenda wangepost wengine... ila acha kuficha uovu wa watu me sikumrekodi alijirekodi mwenyewe.

Taifa liko na Viongozi wa ajabu wenye tamaa na uongozi ila kuongoza hawawezi ......
... mchana mwem.
View attachment 2534416
Jamii yetu imejaa mahakimu na ma judge wa kila jambo. haya mambo ya kuwahukumu watu kwa kuona ka video kwenye mitandao ni mabaya na yana haribu maisha ya watu
no one is perfect .
tusihukumiane. inakusaidia nn kuweka picha ya marehemu kwenye mitandao ya kijamii?
ina tusaidia nn kuwaita watu mashoga ili hali ushoga upo kwenye jamii yetu?
 
Jamii yetu imejaa mahakimu na ma judge wa kila jambo. haya mambo ya kuwahukumu watu kwa kuona ka video kwenye mitandao ni mabaya na yana haribu maisha ya watu
no one is perfect .
tusihukumiane. inakusaidia nn kuweka picha ya marehemu kwenye mitandao ya kijamii?
ina tusaidia nn kuwaita watu mashoga ili hali ushoga upo kwenye jamii yetu?
We utakuwa nawe shoga. Nani kampost marehemu kwahiyo tumemuhukum kwa kipi. Upuuzi noo
 
Mbona kwenye Qur'an na Biblia ushoga umeandikwa?
Zile habari za Sodoma na Gomora zilitoka Ulaya na Amerika kweli [emoji848]
Kuna mjinga mmoja huko juu amedai michezo hiyo imeanzia pwani sasa sijui hao watu wa pwani ndio waliandika biblia na kuran!
 
Hemedy ushoga na usagaji ni janga la dunia
Haupo kwa wafanyakazi wa serikali pekee, umeshaingia misikitini, makanisani, mashuleni hata kwa wale wanaotakiwa kututibia mahospitalini upo

Ushoga na usagaji ni roho inayotembea kwa speed mnoo. Usishangae kwenye familia yako ukakuta wapo wanachokoana na kusagana[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]

Bila kumrudia Mungu katika roho na kweli na kufuata sheria zake tutashindwa

Roho zetu zikimbeba Mungu roho hizi chafu zitaondoka



View attachment 2534841




Yaani sasa hivi ukiitwa baba au mama hata kama watoto wako hawako kwenye haya mambo piga magoti kila siku, ombea uzao wako, ombea watoto wote, ombea wazazi wengine.... Nyie hii kitu ni ngumu[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]

Ambayo hamjajaliwa watoto ombeeni sana wenza wenu, ombeeni uzao wenu

Wababa wapenda tigo manaogeuza watoto wa wenzangu na kulala na mashoga acheni!!! Hii ni laana mnaiingiza kwenye vizazi vyenu. Yaani mnaanzisha laana ya kuzaa mashoga kwenye koo zenu. Waoneeni huruma wajukuu zenu wa kiume watakavyokuja kuolewa na wanaume wenzao [emoji26]

Na mlivyo wengi sasa[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
wanaume wanaopumuliana Allah Anasema wakitubu waacheni yeye ni mwingi wa huruma na anasamehe!
[emoji1427][emoji1427]
وَاللَّذَانِ يَأْتِيَانِهَا مِنكُمْ فَآذُوهُمَا ۖ فَإِن تَابَا وَأَصْلَحَا فَأَعْرِضُوا عَنْهُمَا ۗ إِنَّ اللَّهَ كَانَ تَوَّابًا رَّحِيمًا

(AN-NISAAI - 16)
Na wawili kati yenu wafanyao hayo waadhibuni. Na wakitubia wakatengenea basi waacheni. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwingi wa kupokea toba, Mwenye kurehemu.
[emoji2956][emoji2956][emoji2956]

Ilaha wanawake wanaosagana!
[emoji116][emoji116]
وَاللَّاتِي يَأْتِينَ الْفَاحِشَةَ مِن نِّسَائِكُمْ فَاسْتَشْهِدُوا عَلَيْهِنَّ أَرْبَعَةً مِّنكُمْ ۖ فَإِن شَهِدُوا فَأَمْسِكُوهُنَّ فِي الْبُيُوتِ حَتَّىٰ يَتَوَفَّاهُنَّ الْمَوْتُ أَوْ يَجْعَلَ اللَّهُ لَهُنَّ سَبِيلًا

(AN-NISAAI - 15)
Na ambao wanafanya uchafu miongoni mwa wanawake wenu, washuhudizieni watu wane katika nyinyi. Watakapo shuhudia, basi wazuieni majumbani mpaka wafishwe na mauti au Mwenyezi Mungu awatolee njia nyengine.

Duuh![emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji56]
 
Jamii yetu imejaa mahakimu na ma judge wa kila jambo. haya mambo ya kuwahukumu watu kwa kuona ka video kwenye mitandao ni mabaya na yana haribu maisha ya watu
no one is perfect .
tusihukumiane. inakusaidia nn kuweka picha ya marehemu kwenye mitandao ya kijamii?
ina tusaidia nn kuwaita watu mashoga ili hali ushoga upo kwenye jamii yetu?
Hawa mahakimuu unakuta na wao wanafokolewa pia.

Self projection
 
Mimi mpaka nimuhoji ila kuweka hitimisho hapana ni mwanadamu lazima akosee so ni maisha hujui kama nimakusudi au kadhamiria hujui lolote ila mie naona nimakusudi wamemlawiti mwenzao Kwa sababu fulani ila yote life
 
Kuna askari mmoja alimkamata dogo Wa kitaa Ana vuta mpepe dogo akala pingu akajua tayari kimenuka Yule polisi akmpandisha kwenye piki piki dogo anajua anaenda, utuo Mara wnaenda anakoishi huyo mwela dogo akambiwa na mwela amsaidie kitu kidogo tuu anamwachia dogo akwambia Hana pesa ila anaomba awapigie kwao Yule cops akamjibu sio pesa naomba mboo
Nipe namba ya huyo dogo.
 
Daaaah.. Nahisi yule jamaa basha wa afande "mume" wake kaamua kuleta mambo yao ya hovyo hadharani..
Ni dhahiri kwa sababu yeye haonekani vizuri...
MKuu watu wenye pua kubwa wanahusika?🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom