Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Kwenye hesabu za CAG ndiyo vilio huanza.Hela inatoka Ikulu
We chiembe kumbe ni mfuasi wa chaumaNgoja na mimi nijihimu niandae suti yangu, si ya kukosa hii
Noted and answered watu tuliokuwa chadema ndio hao hao tupo chauma nao chadema is wrackedInawezekana kuwa wale watu wenye uwezo wa kipesa waliokuwa wanaiunga mkono CDM ya Mbowe wamehamishia nguvu zao Chaumma. Tukumbuke wengi wao walikuwa kwenye sekretariat ya CDM hivyo wanawajua watu hao. Watu hao hawawezi kuisupport CDM ya sasa ambayo inaelekea haina strategy yeyote ya kupata wanacho kidai.
Amandla...
Naam, Mzee Rungwe ni kiongozi bora kabisa, namfahamu tangu anafanya discussion za kuupata uwakili pale IPS BuildingWe chiembe kumbe ni mfuasi wa chauma
Kodi za Wananchi. Haya mazingaombwe watanzania ni muda mwafaka wa kusema NO. Idd Amin Mama must goMaandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.
Hahaha nibakizieni ubwabwaNaam, Mzee Rungwe ni kiongozi bora kabisa, namfahamu tangu anafanya discussion za kuupata uwakili pale IPS Building
Masikini kodi yanguHela inatoka Ikulu
Sawa joni Murema.Aibu ya nini? Hiki ni chama cha siasa na kina Nia ya kushika dola aibu inatoka wapi sasa? Utakufa nacho kijiba cha roho!
Hujui kuwa mama anamwaga fedha na asali?Maandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.
Mwanamke wa kizanzibari. Alikuwa mgombea mwenza wa Lissu 2020Salome Mwalimu ni nani kwenye siasa za Tanzania?
Roho inakuuma? Au una uchungu wa mimba?Sawa joni Murema.
Sisi tunasema genge lenu ni la wahuni TU mlofurushwa hapo makao makuu ya chama cha wananchi,sasa mnatafuta jukwaa la kufanyia udalali kama kawa.Nyinyi ni walafi wa madaraka
Nilijua nimeshangaa peke yanguHatimaye si tetesi Tena,genge limekamilisha ujinga wao japo hatukutarajia kwa ukosefu huu wa hata chembe ya aibu
Wacha wafanye siasa za upinzani maana wengine wamechagua harakatiBado hamjaona mandinga yao mapya Hilux Double cabin
CHADOMO NI WANYONYAJI SANA MICHANGO KILA SIKU .OMBA OMBAMaandalizi ya Mkutano Mkuu wa CHAUMMA yamezidi kupamba moto jijini Dar es Salaama ambapo zaidi ya wanachama 400 watahudhuria.
Katibu Mkuu wa CHAUMMA,Salome Mwalimu amesema baada ya kupokea wanachama wapya kutoka maeneo mbalimbali nchini watagawanyika mikoa.
Wamechagua harakati wenzao wamechagua siasaAibu ya nini? Hiki ni chama cha siasa na kina Nia ya kushika dola aibu inatoka wapi sasa? Utakufa nacho kijiba cha roho!
uko sahihi, Chadema pesa zao zinaishia kwenye whisky na nyama choma kwa mwenyekiti mpya 🐒CHAUMMA ni chama makini kwenye matumizi ya hela zake. Sio kama CHADEMA hutembeza bakuli kwenye kila kitu.