Video Clip: Jerry Silaa adai kuna Jaji anamlinda tapeli wa viwanja

Video Clip: Jerry Silaa adai kuna Jaji anamlinda tapeli wa viwanja

Makonda mwenye D moja huyu huyu
Naamini wee hata kama umesoma , ukichokisoma, hujawah kukifanyia kazi, na hata kazi mpaka Leo unajifanya Kwa uzoefu.

Ndio sababu hapo ulipo hujawahi kuja na ugunduzi wowote kwenye taasisi uliyopo.

Zaidi ya kuamka Asubuh,nkwenda kazin, masaa ya kazi yaishe . Uende Bar, unywe Pombe, Kwa kua ni negligent, incompetent , unajikuta unaweza kula Rushwa , Kisha unarudi kwako.
 
Kwa vile Jerry Slaa ni professional hatafuti fame. Ila Makonda ni mtu mwenye vyeti feki hata D mbili hana. Anatafuta kujijenga na wajinga wanampigia makofi mhalifu
Uongozi sio Elimu.

Kiongozi ni Ama Azaliwe, au Atengenezwe kupitia Elimu.

Sasa Makonda ni wa kuzaliwa ndio maana wajinga wachache kama wewe mnaojiona mmesoma ndio hammpendi.

Lkn kwakua Makonda ni Kiongozi wa kuzaliwa, ndio maana Kila Ziara zake anaambata na watu wa Sheria, na kada zote, hiii tunaita DHANA YA USHIRIKISHAJI
 
View attachment 3001106
Awali "Y" alikuwa Wakili na aka attest nyaraka za Mzee "X". Hatimaye Tapeli "Z" akadhulumu kiwanja, kesi ikafunguliwa. Na kwa bahati mbaya ikaanguka kwa Jaji "Y" ambaye ndiye alikuwa Wakili wa Mzee "X". Na sasa Jaji "Y" anawaita Mawakili wa Serikali kutaka kuwa CORRUT.

Je huyu Jaji "Y" ni nani? Na Je huyu Tapeli "Z" ndiye Alex Msama au Mushi?

Haya wataalamu wa mambo ya ARDHI tufungulieni codes
haya mambo wengine wanaiga tu.

Makonda bingwa wa hizi issue

au nasema uongo nduguzanguni
 
Katika kikao cha jana cha Bunge, Mhe. Jerry Silaa, wakati wa kuhitimisha hoja za Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, alizungumzia kesi inayomhusu Mzee Mwinyimvua. Ilidaiwa kuwa hati ya ardhi ya mzee huyu ilitapeliwa na Bw. Venans Saimoni Matunda tangu mwaka 2007. Lakini pia, Mhe. Silaa alifichua kuwa kuna jaji (jina halikutajwa) anasemekana kuhusika na kusimamia kesi hii ambayo awali alikuwa wakili wa mmoja wa wahusika. Kwa upande mwingine, nafikiri Mh. Silaa alikuwa akijenga hoja kuhusu mgongano wa maslahi na uadilifu wa mchakato wa mifumo ya kisheria nchini (especially Mahakama).​

Lakini si kwamba ni mara ya kwanza Wizara ya Aridhi kuzingumzia kesi hii, hata Mh. Mabula alishawahi kuizungumza na kumtaja hadharani Bw. Matunda kama tapeli sugu. Inakuaje yupo mtahani mpaka leo🤔?

Je, hali hii inaathiri vipi imani ya watanzania katika mfumo wa haki? Je, sheria zetu zinatosha kudhibiti na kuhakikisha uadilifu miongoni mwa watumishi wa mahakama?​

Wanaotapeliwa nao wana tamaa kama una shida ya hela uza kiwanja. Unapoweka tamaa ya kutaka mwekezaji uingie ubia lazima uliwe kichwa. Maana utagawa hati sawa na bure kwa kulipwa hela ya mboga. Bora uuze kiwanja kwa hela halisi na thamani yake.
 
MAHAKAMA ZINAPOFANYA YA HOVYO, ZIKEMEWE, MAHAKAMA NI HAKI, LAKINI ZINAENDESHWA NA BAADHI YA BINADAMU WA HOVYO KABISA, NO CREDIBILITY AT ALL!, RUSHWA WAS THE CASE!
-Hayati Magufuli aliwahi kusema yapo makosa mengine ambayo hukumu zake huwa hazina mjadala maana zipo wazi kabisa, lakini kwa sababu zipo mahakamani basi doh, itavutwa wee alimradi chochote kipatikane (rushwa) na endapo hakitapatikana upande mwingine ukitoa rushwa basi maamuzi sahihi yatageuzwa!
 
Awali "Y" alikuwa Wakili na aka attest nyaraka za Mzee "X". Hatimaye Tapeli "Z" akadhulumu kiwanja, kesi ikafunguliwa. Na kwa bahati mbaya ikaanguka kwa Jaji "Y" ambaye ndiye alikuwa Wakili wa Mzee "X". Na sasa Jaji "Y" anawaita Mawakili wa Serikali kutaka kuwa CORRUT.

Je huyu Jaji "Y" ni nani? Na Je huyu Tapeli "Z" ndiye Alex Msama au Mushi?

Haya wataalamu wa mambo ya ARDHI tufungulieni codes.
---
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amesema kuwa ameandika barua kwenda kwa Waziri wa Katiba na Sheria kufuatia jaji mmoja wa mahakama kukiuka kanuni za taaluma.

Waziri Silaa akihitimisha hoja ya bajeti yake bungeni amesema kuwa mwaka 2015 jaji huyo alikuwa wakili, na akamsaidia tapeli mmoja kuchukua ardhi ya watu.

Amesema warithi wa aliyetapeliwa walipoenda makamani hivi karibuni, wamekuta wakili yule sasa ni jaji, bado akaamua kwa kumnufaisha tapeli.

Amesisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria, na kwamba jambo hilo amelichukua yeye ili kuhakikisha sheria inachukua mkondo wake na haki inapatikana.

Credit: TBC
Ili kumjua Jaji, lazina tuanze na simulitenias equation
 
Anachofanya Silaa ni kujaribu kuingilia muhimili wa mahakama, Jambo ambalo siyo Sawa na haileti picha nzuri, aache watu waende mahakamani kujitetea au kujibu mashtaka waliyoshtakiwa nayo, atakayeibuka mshindi basi ndio ameshinda
Hicho kichaka cha kusema "usiingilie mahakama" ndiyo mnajificha kufanya huo uchafu aliosema Slaa
Kumbe ndiyo tabia zenu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom