Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kote, kwa sasa hakuna mhimili wowote wenye 'credibility' TanzaniaWacha auingilie tu huu mhimili maana umepoteza credibility.
Hapana!! Sio kuingilia mhimili wa, mahakama. Amesema ukweli. Huyo Jaji atatumiwa kimemo na Rais ili ajiuzulu mwenyewe. Hawaii kuwa, pale. Ni mla rushwa mkubwa. Wakati wa, JPM kuna, majaji walikula rushwa. Walitumiwa vimemo vya kujiuzulu. Na wakafanya hivyo.Anachofanya Silaa ni kujaribu kuingilia muhimili wa mahakama, Jambo ambalo siyo Sawa na haileti picha nzuri, aache watu waende mahakamani kujitetea au kujibu mashtaka waliyoshtakiwa nayo, atakayeibuka mshindi basi ndio ameshinda
Umeishia darasa la ngapi weweHuyo silaha akili hana povu linamtoka tu hapo hana maajabu yoyote
Kazi ya afisa ardhi wa kata anaitanya waziri
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mil 690 ni ndogo mno, hawa jamaa wana billions wanapiga. Ubayanwa mifumo ya serikali , kila mtumishi asikuwa muadilifu anapiga kwa level yake. Means the higher cheo ni kikubwa basi pesa ndefu zaidi zinapita
Hapana...corruption imepitiliza. Tatizo letu kubwa ni kufikiri ukipewa kazi za umma na vyeo basi uko special. Hata kama wanyonge wanaumizwa, asiguswe mtu.Anachofanya Silaa ni kujaribu kuingilia muhimili wa mahakama, Jambo ambalo siyo Sawa na haileti picha nzuri, aache watu waende mahakamani kujitetea au kujibu mashtaka waliyoshtakiwa nayo, atakayeibuka mshindi basi ndio ameshinda
Huyo silaha akili hana povu linamtoka tu hapo hana maajabu yoyote
Kazi ya afisa ardhi wa kata anaitanya waziri
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Muhimili wa mahakama ni mchafu sana pia. Mzee wangu aliporwa haki yake na jaji wa mahakama kuu na historia inaonyesha aliwekwa hapo na hayati JPM ni msukuma mwenzake na hakuwa vizuri kwenye fani husika.Anachofanya Silaa ni kujaribu kuingilia muhimili wa mahakama, Jambo ambalo siyo Sawa na haileti picha nzuri, aache watu waende mahakamani kujitetea au kujibu mashtaka waliyoshtakiwa nayo, atakayeibuka mshindi basi ndio ameshinda
Acha ushamba wa Elimu uongozi na ElimuMakonda mwenye D moja huyu huyu
Je huyu Tapeli "Z" ndiye Alex Msama au Mushi?
Kwahiyo kama ni Kweli akae kimya?Anachofanya Silaa ni kujaribu kuingilia muhimili wa mahakama, Jambo ambalo siyo Sawa na haileti picha nzuri, aache watu waende mahakamani kujitetea au kujibu mashtaka waliyoshtakiwa nayo, atakayeibuka mshindi basi ndio ameshinda
Inasikitisha sanaMuhimili wa mahakama ni mchafu sana pia. Mzee wangu aliporwa haki yake na jaji wa mahakama kuu na historia inaonyesha aliwekwa hapo na hayati JPM ni msukuma mwenzake na hakuwa vizuri kwenye fani husika.
Mahakama ni tawi tu la CCM, lina uchafu mwingi sawa na mihimili mingine.
Hii ndiyo Tanzania mpya. Kitaeleweka tuHii ni nchi gani?
Jerry ni LLB, imekuwaje afike mbali hivi na kutoa tuhuma kubwa namna hii bila kusikiliza pande zote mbili? anayesemekana kuwa tapeli alipoongea kwenye clip yake mbona kama hoja zake zina mashiko?Awali "Y" alikuwa Wakili na aka attest nyaraka za Mzee "X". Hatimaye Tapeli "Z" akadhulumu kiwanja, kesi ikafunguliwa. Na kwa bahati mbaya ikaanguka kwa Jaji "Y" ambaye ndiye alikuwa Wakili wa Mzee "X". Na sasa Jaji "Y" anawaita Mawakili wa Serikali kutaka kuwa CORRUT.
Je huyu Jaji "Y" ni nani? Na Je huyu Tapeli "Z" ndiye Alex Msama au Mushi?
Haya wataalamu wa mambo ya ARDHI tufungulieni codes.
---
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amesema kuwa ameandika barua kwenda kwa Waziri wa Katiba na Sheria kufuatia jaji mmoja wa mahakama kukiuka kanuni za taaluma.
Waziri Silaa akihitimisha hoja ya bajeti yake bungeni amesema kuwa mwaka 2015 jaji huyo alikuwa wakili, na akamsaidia tapeli mmoja kuchukua ardhi ya watu.
Amesema warithi wa aliyetapeliwa walipoenda makamani hivi karibuni, wamekuta wakili yule sasa ni jaji, bado akaamua kwa kumnufaisha tapeli.
Amesisitiza kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria, na kwamba jambo hilo amelichukua yeye ili kuhakikisha sheria inachukua mkondo wake na haki inapatikana.
Credit: TBC
kiaz kingine hk hapaAnachofanya Silaa ni kujaribu kuingilia muhimili wa mahakama, Jambo ambalo siyo Sawa na haileti picha nzuri, aache watu waende mahakamani kujitetea au kujibu mashtaka waliyoshtakiwa nayo, atakayeibuka mshindi basi ndio ameshinda
mchengerwa?Jaji kama huyo unamfanyaje Sasa???.
Ndio sababu PAUL MAKONDA, ANAPENDWA KAMA ALIVYOKUA MAGUFULI.
Nchi hii Kwa Sasa tuna
Makonda.... Silaa, Mpina....Mchengerwa...Msambatavangu.... Gwajima..Gwajima Ke, Bashungwa ,
Bado tuna watu bado tunao.