Video Clip: Jerry Silaa adai kuna Jaji anamlinda tapeli wa viwanja

Makonda mwenye D moja huyu huyu
Naamini wee hata kama umesoma , ukichokisoma, hujawah kukifanyia kazi, na hata kazi mpaka Leo unajifanya Kwa uzoefu.

Ndio sababu hapo ulipo hujawahi kuja na ugunduzi wowote kwenye taasisi uliyopo.

Zaidi ya kuamka Asubuh,nkwenda kazin, masaa ya kazi yaishe . Uende Bar, unywe Pombe, Kwa kua ni negligent, incompetent , unajikuta unaweza kula Rushwa , Kisha unarudi kwako.
 
Kwa vile Jerry Slaa ni professional hatafuti fame. Ila Makonda ni mtu mwenye vyeti feki hata D mbili hana. Anatafuta kujijenga na wajinga wanampigia makofi mhalifu
Uongozi sio Elimu.

Kiongozi ni Ama Azaliwe, au Atengenezwe kupitia Elimu.

Sasa Makonda ni wa kuzaliwa ndio maana wajinga wachache kama wewe mnaojiona mmesoma ndio hammpendi.

Lkn kwakua Makonda ni Kiongozi wa kuzaliwa, ndio maana Kila Ziara zake anaambata na watu wa Sheria, na kada zote, hiii tunaita DHANA YA USHIRIKISHAJI
 
haya mambo wengine wanaiga tu.

Makonda bingwa wa hizi issue

au nasema uongo nduguzanguni
 
Wanaotapeliwa nao wana tamaa kama una shida ya hela uza kiwanja. Unapoweka tamaa ya kutaka mwekezaji uingie ubia lazima uliwe kichwa. Maana utagawa hati sawa na bure kwa kulipwa hela ya mboga. Bora uuze kiwanja kwa hela halisi na thamani yake.
 
MAHAKAMA ZINAPOFANYA YA HOVYO, ZIKEMEWE, MAHAKAMA NI HAKI, LAKINI ZINAENDESHWA NA BAADHI YA BINADAMU WA HOVYO KABISA, NO CREDIBILITY AT ALL!, RUSHWA WAS THE CASE!
-Hayati Magufuli aliwahi kusema yapo makosa mengine ambayo hukumu zake huwa hazina mjadala maana zipo wazi kabisa, lakini kwa sababu zipo mahakamani basi doh, itavutwa wee alimradi chochote kipatikane (rushwa) na endapo hakitapatikana upande mwingine ukitoa rushwa basi maamuzi sahihi yatageuzwa!
 
Ili kumjua Jaji, lazina tuanze na simulitenias equation
 
Anachofanya Silaa ni kujaribu kuingilia muhimili wa mahakama, Jambo ambalo siyo Sawa na haileti picha nzuri, aache watu waende mahakamani kujitetea au kujibu mashtaka waliyoshtakiwa nayo, atakayeibuka mshindi basi ndio ameshinda
Hicho kichaka cha kusema "usiingilie mahakama" ndiyo mnajificha kufanya huo uchafu aliosema Slaa
Kumbe ndiyo tabia zenu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…