Angalia upande mwingine.
What if judge mkuu anatenda kwa remote? Maybe anasubiri directions afanye nini na hapa kaambiwa, “sshs, keep quite, it will pass”, na yule yule aliemuweka hapo?
Maana Kama “kawekwa, ni lazima afate directives.
Na hata huyo atakaewekwa atafanya maajabu yapi tofauti na “mamlaka iliyomuweka?
Uwajibikaji Tanzania, is a long lost dream. Very unfortunate.
Kama mteuzi ana maslahi na kila mtu basi nchi itakuwa sawa na banana republic (tusiwafikirie watu dhambi bila ya ushahidi).
Anyway baada ya kusikiliza pande mbili za malalamiko kwenye ili sakata. Binafsi naona shida ni za pande mbili, kuna issue ya ignorance upande wa familia ya Mwinyimvua na tamaa kwa upande Matunda,
Ukishaingia mkataba wa kibiashara na mtu, halafu baadae kuamua kufanya ‘anticipatory breach’, mwenye nguvu ya maamuzi kwenye ‘repudiation’ ni aliekosewa kimkataba sio wewe unaetaka kuvunja mkataba.
Kwa hivyo bwana Matunda ndio mwenye haki ya kuamua kiwango cha damages anazotaka kuweka mambo sawa sio hiyo familia ya Mwinyimvua.
Bwana Matunda anataka tsh 2.3 billion, ndio inaweza kuwa juu, lakini hiyo familia inatakiwa kwenda mahakamani iwapo awakubaliani na hayo malipo kwakuwa yapo juu lakini sio kumpangia mtu achukue kiasi gani wao wenyewe.
Mahakama ndio inaweza kumtaka bwana Matunda atoe justification ya hiko kiwango chake cha fidia anachotaka kutokana na alipofikia kwenye uwekezaji jumlisha na potential loss of income ya miaka kadhaa kama uwekezaji ungefanyika.
Kwenye hii issue sioni utapeli bali watu walioingia kwenye mkataba wa kibiashara na bepari na upande wao ni ignorance.
Kisheria wangeweza kumbadilishia kibao cha ucheleweshaji wa kufanya uwekezaji kama kigezo cha kutaka kuchukua eneo ili breach iwe yake, badala yao kujipa anticipatory breach kisa tamaa zao za mirathi na kuuza.
Nadhani serikali inatakiwa kumsikiliza bwana Matunda ana legal justification on his position, kwenye ili kama vile waziri kakurupuka apunguze emotions kwenye maamuzi yake na waajiri wanasheria wazuri wa mikataba ya biashara huko wizarani kwa sababu ukimsikiliza Mabula akiwa waziri na bwana Matunda kuna upishano wa msingi wa mgogoro huko vipi.