daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,127
- 3,062
Ndio mhimili uliojaa rushwa na dhulumaAnachofanya Silaa ni kujaribu kuingilia muhimili wa mahakama, Jambo ambalo siyo Sawa na haileti picha nzuri, aache watu waende mahakamani kujitetea au kujibu mashtaka waliyoshtakiwa nayo, atakayeibuka mshindi basi ndio ameshinda
Kama mteuzi ana maslahi na kila mtu basi nchi itakuwa sawa na banana republic (tusiwafikirie watu dhambi bila ya ushahidi).Angalia upande mwingine.
What if judge mkuu anatenda kwa remote? Maybe anasubiri directions afanye nini na hapa kaambiwa, “sshs, keep quite, it will pass”, na yule yule aliemuweka hapo?
Maana Kama “kawekwa, ni lazima afate directives.
Na hata huyo atakaewekwa atafanya maajabu yapi tofauti na “mamlaka iliyomuweka?
Uwajibikaji Tanzania, is a long lost dream. Very unfortunate.
Mahakama hivi ambazo kila mtu anazisema hazitoi haki. Rostam alizishutumu pia kuwa zinapokea maelekezo. Acha ziingiliwe tu mkuu. Haki inapswa kuonekana imetendeka sio kwa hukumu kutolewa mahakamani.Anachofanya Silaa ni kujaribu kuingilia muhimili wa mahakama, Jambo ambalo siyo Sawa na haileti picha nzuri, aache watu waende mahakamani kujitetea au kujibu mashtaka waliyoshtakiwa nayo, atakayeibuka mshindi basi ndio ameshinda
Sasa wewe mtu anashinda na makamera kutwa kucha anawaza utafuta sifa na umaarufu kwa wananchi wajingaMbona Jerry Silaa hawi maarufu kama Makonda??
Issue ingekua rahisi Kama ingekua kufikiri tu lakini uhalisia wa hali ya utendaji kwa wateuliwa karibu wote wa nchi unaonyesha wazi, Interest za mteuaji ndio first priority.Kama mteuzi ana maslahi na kila mtu basi nchi itakuwa sawa na banana republic (tusiwafikirie watu dhambi bila ya ushahidi).
Anyway baada ya kusikiliza pande mbili za malalamiko kwenye ili sakata. Binafsi naona shida ni za pande mbili, kuna issue ya ignorance upande wa familia ya Mwinyimvua na tamaa kwa upande Matunda,
Ukishaingia mkataba wa kibiashara na mtu, halafu baadae kuamua kufanya ‘anticipatory breach’, mwenye nguvu ya maamuzi kwenye ‘repudiation’ ni aliekosewa kimkataba sio wewe unaetaka kuvunja mkataba.
Kwa hivyo bwana Matunda ndio mwenye haki ya kuamua kiwango cha damages anazotaka kuweka mambo sawa sio hiyo familia ya Mwinyimvua.
Bwana Matunda anataka tsh 2.3 billion, ndio inaweza kuwa juu, lakini hiyo familia inatakiwa kwenda mahakamani iwapo awakubaliani na hayo malipo kwakuwa yapo juu lakini sio kumpangia mtu achukue kiasi gani wao wenyewe.
Mahakama ndio inaweza kumtaka bwana Matunda atoe justification ya hiko kiwango chake cha fidia anachotaka kutokana na alipofikia kwenye uwekezaji jumlisha na potential loss of income ya miaka kadhaa kama uwekezaji ungefanyika.
Na hapa ndipo wateuliwa wanapatumia as a loophole ya kufanikisha makusudi/malengo yao.Kwenye hii issue sioni utapeli bali watu walioingia kwenye mkataba wa kibiashara na bepari na upande wao ni ignorance.
Sidhani kwamba Waziri hajui ama amepitiwa katika hili, nachoona ni kiongozi anaefahamu kila hatua anayochukua na anayajua matokeo yake.Kisheria wangeweza kumbadilishia kibao cha ucheleweshaji wa kufanya uwekezaji kama kigezo cha kutaka kuchukua eneo ili breach iwe yake, badala yao kujipa anticipatory breach kisa tamaa zao za mirathi na kuuza.
Nadhani serikali inatakiwa kumsikiliza bwana Matunda ana legal justification on his position, kwenye ili kama vile waziri kakurupuka apunguze emotions kwenye maamuzi yake na waajiri wanasheria wazuri wa mikataba ya biashara huko wizarani kwa sababu ukimsikiliza Mabula akiwa waziri na bwana Matunda kuna upishano wa msingi wa mgogoro huko vipi.
Mwendelezo wa Jerry Silaa kwenye ili sakata inaonekana ni kutokana na mafaili aliyoachiwa na mtangulizi wake Mabula (she had the same viewpoint kuna utapeli).Issue ingekua rahisi Kama ingekua kufikiri tu lakini uhalisia wa hali ya utendaji kwa wateuliwa karibu wote wa nchi unaonyesha wazi, Interest za mteuaji ndio first priority.
Almost all the time.
Na hapa ndipo wateuliwa wanapatumia as a loophole ya kufanikisha makusudi/malengo yao.
Maana ukiangalia pattern kuanzia kwa Waziri aliepita na huyu wa sasa unaona kabisa kuna watumishi wanachagua pande za kusimama na sio kufuata mlolongo sahihi ili kupata haki isiyo na shaka.
Sidhani kwamba Waziri hajui ama amepitiwa katika hili, nachoona ni kiongozi anaefahamu kila hatua anayochukua na anayajua matokeo yake.
Tusubiri tuone.
Yawale wanaokula kwa urefu wa kamba yao.Hii ni nchi gani?
Lakini Waziri kasema kuna forgery iliyofanywa na Bwana Matunda,na ilithibitishwa na forensic ya police! Hili limekaaje!!??Mwendelezo wa Jerry Silaa kwenye ili sakata inaonekana ni kutokana na mafaili aliyoachiwa na mtangulizi wake Mabula (she had the same viewpoint kuna utapeli).
Bwana Matunda hana sababu ya ku-forge kitu kutokana na nature ya makabuliano yenyewe na anatambua kiwanja ni mali ya familia ya Mwinyimvua. Ila yeye ana commercial rights ya kukitumia kwa muda waliopangiana.Lakini Waziri kasema kuna forgery iliyofanywa na Bwana Matunda,na ilithibitishwa na forensic ya police! Hili limekaaje!!??
Kumbuka waziri pia mwanasheriaKama mteuzi ana maslahi na kila mtu basi nchi itakuwa sawa na banana republic (tusiwafikirie watu dhambi bila ya ushahidi).
Anyway baada ya kusikiliza pande mbili za malalamiko kwenye ili sakata. Binafsi naona shida ni za pande mbili, kuna issue yana waajiri wanasheria wazuri wa mikataba ya biashara huko wizarani kwa sababu ukimsikiliza Mabula akiwa waziri na bwana Matunda kuna upishano wa msingi wa mgogoro huko vipi.
Natambua hiloKumbuka waziri pia mwanasheria
.wamezoea kuchezea mahakqman sasa mwendo wa kulipuana mkuuu unajua ghara.ma za kufika mahakama kuu ama rufaniii???Mungu akiamua kusimama anatumia...hata viongozi mkuuu tukia Singapore iwaaingieee kuna mtu katumiwa barua ya kujieleza mkuu uwe mpoleee tu
M.mahakaman sifiki yaaan nakuavha unajenga nakujakubokoa ukanishtakii mahakaman mm
Mkuu waziri ana mamlaka makubwa tu hasa upande wa hati ooohSasa utafanyeje usipofuata utaratibu wa kisheria kupinga hukumu ya mahakama ya chini?
Kumbuka kuwa mimi sisemi kuwa hukumu hiyo ni ya haki au la. Lakini ndo hivyo tena, mahakama imeshatoa uamuzi? Utapambana nje ya utaratibu wa kimahakama na kisheria kwa ishu ambayo imeshaamuriwa kisheria ?
Ni wazi kuwa haiwezekani bila kujali hukumu hiyo ni ya haki (halali) au imependelea upande mmoja..
Hata huyo Waziri hana uwezo wa kutengua maamuzi ya mahakama isipokuwa mahakama yenyewe ifanye hivyo!!
Anachoweza kufanya kiongozi yeyote iwe Rais ama Waziri fulani ni kushauri nini cha kufanya lakini si kutengua hukumu ya mahakama iwe mbaya upande huu au nzuri upande ule..!
hivi nani aliyewaroga watanzania kila kitu muhimili baba yako akizulumiwa na mahakama utasema isiingilie muhimili, mahakama ipo chini ya rais na wakati wowote inaingiliwa na RaisAnachofanya Silaa ni kujaribu kuingilia muhimili wa mahakama, Jambo ambalo siyo Sawa na haileti picha nzuri, aache watu waende mahakamani kujitetea au kujibu mashtaka waliyoshtakiwa nayo, atakayeibuka mshindi basi ndio ameshinda
The late mult professional Augustino Ramadhani.Nini kimetokea? Mbona majaji walikuwa wanaheshimika sana??
Kuna majina ilikuwa ukisikia unajiskia salama na fahari ya nchi yako, mfano hawa Nyalali, Samatta, Mfalila, Mtungulei (?), Chande, Chipeta, ....