ni reform no elections ni scam.Wakuu,
Yaani CZA wa Clouds FM amefanya kazi ya kitume sana.
Ndani ya Dakika 2, Mrema ameshindwa kuelezea na kutoa tafsiri ya No Reforms No Election yaani anajikanyaga tu.
Hapa ndo unajua kina Mrema ni project ya CCM na walikuwa ni mapindikizi.
Njaa mbaya Hawezi kurudi tena hapo ni kama yule jamaa.wa.VAR Kigaila aha ha haWakuu,
Yaani CZA wa Clouds FM amefanya kazi ya kitume sana.
Ndani ya Dakika 2, Mrema ameshindwa kuelezea na kutoa tafsiri ya No Reforms No Election yaani anajikanyaga tu.
Hapa ndo unajua kina Mrema ni project ya CCM na walikuwa ni mapindikizi.
Odemba atabaki kuwa juu haswakamuiga odemba
Yeye mwenyewe hawezi kujipigia kuraMbunge wa Segerea hata mkewe hawezi kumpigia kura
CCM hapa imekula hasara😂😂😂Wakuu,
Yaani CZA wa Clouds FM amefanya kazi ya kitume sana.
Ndani ya Dakika 2, Mrema ameshindwa kuelezea na kutoa tafsiri ya No Reforms No Election yaani anajikanyaga tu.
Hapa ndo unajua kina Mrema ni project ya CCM na walikuwa ni mapindikizi.
hahahahah!huyu cza na masoud kipanya wakikueweka interview lzm ujikanyage kama mtani wangu MREMA hapaWakuu,
Yaani CZA wa Clouds FM amefanya kazi ya kitume sana.
Ndani ya Dakika 2, Mrema ameshindwa kuelezea na kutoa tafsiri ya No Reforms No Election yaani anajikanyaga tu.
Hapa ndo unajua kina Mrema ni project ya CCM na walikuwa ni mapindikizi.
hahahahahahahaahahahhahhahaaha aisee Mangi hapa anajikanyaga tuuuWakuu,
Yaani CZA wa Clouds FM amefanya kazi ya kitume sana.
Ndani ya Dakika 2, Mrema ameshindwa kuelezea na kutoa tafsiri ya No Reforms No Election yaani anajikanyaga tu.
Hapa ndo unajua kina Mrema ni project ya CCM na walikuwa ni mapindikizi.
Swali la kijinga. Tafsiri yake ina saidia nini? Kitu cha msingi ni walikuwa wana maanisha nini na NRNE na ndicho Mrema alikuwa anajaribu kumuelezea. Lakini hakutaka kumsikiliza kwa sababu alikuwa anatafuta umaarufu. Hivi kujua kuwa tafsiri ya No Reform No Election ni Hamna Mabadiliko Hamna Uchaguzi kunasaidia nini? Huku kupenda majibu mepesi kwa maswali magumu ndio kumetufikisha hapa tulipo ambapo chawa wana thamani kuliko daktari.Wakuu,
Yaani CZA wa Clouds FM amefanya kazi ya kitume sana.
Ndani ya Dakika 2, Mrema ameshindwa kuelezea na kutoa tafsiri ya No Reforms No Election yaani anajikanyaga tu.
Hapa ndo unajua kina Mrema ni project ya CCM na walikuwa ni mapindikizi.
Ndio maana Mrema alikuwa anajitahidi kumueleza maana yake lakini jamaa anakazania tafsiri ya maneno! Ovyo kabisa.Kama wenyeww hawaelewi, je sisi wananchi ndio tutaelewa kweli
Nilichokuwa naelewa Mimi, "No Reform no Election" ni kwamba Hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi ila ni Uchafuzi, Sasa Sijui kwa nini wanajichanganya.Kama wenyeww hawaelewi, je sisi wananchi ndio tutaelewa kweli