LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 5,012
- 13,830
Aibu man et??? Soo ile mbaya yaniHuyu ni baba/Mme wa mtu 😥😥😥
Aibu man et??? Soo ile mbaya yaniHuyu ni baba/Mme wa mtu 😥😥😥
Mrema anatufanya kila tukisikia jina la kichaga tuwaze mara mbili. How can you be stup*d like that?Wakuu,
Yaani CZA wa Clouds FM amefanya kazi ya kitume sana.
Ndani ya Dakika 2, Mrema ameshindwa kuelezea na kutoa tafsiri ya No Reforms No Election yaani anajikanyaga tu.
Hapa ndo unajua kina Mrema ni project ya CCM na walikuwa ni mapindikizi.
Kama unaona lina sense wewe pia ni non sense kama muuliza swali!!ni reform no elections ni scam.
Lisu aliulizwa na Balile kuhusu ikiwa jambo hilo litafeli ataachia ngazi, kibaka wa siasa akapata mihemko nakusema ameulizwa swali nonsense 🤣
Msaidie Mrema tafsiri preeeese, au hujaelewa swali na wewe?ni reform no elections ni scam.
Lisu aliulizwa na Balile kuhusu ikiwa jambo hilo litafeli ataachia ngazi, kibaka wa siasa akapata mihemko nakusema ameulizwa swali nonsense 🤣
johnthebaptist Mzee mwenzangu unasemajeWakuu,
Yaani CZA wa Clouds FM amefanya kazi ya kitume sana.
Ndani ya Dakika 2, Mrema ameshindwa kuelezea na kutoa tafsiri ya No Reforms No Election yaani anajikanyaga tu.
Hapa ndo unajua kina Mrema ni project ya CCM na walikuwa ni mapindikizi.
Ciza na Masoud Kipanya ndio pekee wanaojitambua kwenye hizi media ndogo ndogo yaani Mapaparazi 😁johnthebaptist Mzee mwenzangu unasemaje
hapo akili imechanganyika na njaaWakuu,
Yaani CZA wa Clouds FM amefanya kazi ya kitume sana.
Ndani ya Dakika 2, Mrema ameshindwa kuelezea na kutoa tafsiri ya No Reforms No Election yaani anajikanyaga tu.
Hapa ndo unajua kina Mrema ni project ya CCM na walikuwa ni mapindikizi.
Maswa
Swali la kijinga. Tafsiri yake ina saidia nini? Kitu cha msingi ni walikuwa wana maanisha nini na NRNE na ndicho Mrema alikuwa anajaribu kumuelezea. Lakini hakutaka kumsikiliza kwa sababu alikuwa anatafuta umaarufu. Hivi kujua kuwa tafsiri ya No Reform No Election ni Hamna Mabadiliko Hamna Uchaguzi kunasaidia nini? Huku kupenda majibu mepesi kwa maswali magumu ndio kumetufikisha hapa tulipo ambapo chawa wana thamani kuliko daktari.
Amandla...
Wameuhujumu vipi? NRNE siku zote ilikuwa katika maeneo mawili. Kwanza ilikuwa kushinikiza reforms. Hiyo waliifanya vizuri tu. Kilichokuwa kifuate ni kuandaa mkakati wa kufanya nini kama kutakuwa hamna dalili za reforms. Pengine waliona kuna umuhimu wa kutoa nafasi kwa chama tawala kuendesha uchaguzi kwa haki na uwazi. Uchaguzi wa mwaka jana ukawathibitishia kuwa hawana mpango huo. Kilichokuwa kifuate ni kuandaa na kuuza mkakati wa No Elections kwa wapiga kura wao. Na kama itaonekana hilo halina tija wangetafuta njia nyingine. Na hayo ndio yalikuwa mategemeo ya G-55. Kuwa wangetafakari nini cha kufanya kuhusu uchaguzi ujao. Uongozi mpya ukaamua kuubeba hivyo hivyo bila ku strategise...watakuwa walitengeneza mkakati halafu wakauhujumu kwa kutoufanyia kazi.
..kama mkakati huo ulipangwa January 2020 kwanini umeletwa kwa umma / wanachama baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa wa Nov 2024?
Cc Nguruvi3
Yaani hamna kitu kichwani na kama zipo zimejificha...Aibu man et??? Soo ile mbaya yani
Sasa jamaa alikuwa anataka tafsiri na si maana yake. Whether inasaidia au haisaidii chochote sio issue. Kama ni mtihani kafeli.Ndio maana Mrema alikuwa anajitahidi kumueleza maana yake lakini jamaa anakazania tafsiri ya maneno! Ovyo kabisa.
Amandla...
G55 ni failure kwasababu akina Kigaila na Mrema wapo katika Chama kwa miaka 20. Chaguzi zote wameshuhudia uhuni hasa 109, 2020, 2024. Kwa muda na nafasi zao walitakiwa wawe na majibu si kutafakari. G55 walikuwa na conclusion kwamba CHADEMA iingie uchaguzi , agenda ambayo wanayo hadi sasa hivyo si kweli kwamba walitaka kutafakariWameuhujumu vipi? NRNE siku zote ilikuwa katika maeneo mawili. Kwanza ilikuwa kushinikiza reforms. Hiyo waliifanya vizuri tu. Kilichokuwa kifuate ni kuandaa mkakati wa kufanya nini kama kutakuwa hamna dalili za reforms. Pengine waliona kuna umuhimu wa kutoa nafasi kwa chama tawala kuendesha uchaguzi kwa haki na uwazi. Uchaguzi wa mwaka jana ukawathibitishia kuwa hawana mpango huo. Kilichokuwa kifuate ni kuandaa na kuuza mkakati wa No Elections kwa wapiga kura wao. Na kama itaonekana hilo halina tija wangetafuta njia nyingine. Na hayo ndio yalikuwa mategemeo ya G-55. Kuwa wangetafakari nini cha kufanya kuhusu uchaguzi ujao. Uongozi mpya ukaamua kuubeba hivyo hivyo bila ku strategise.
Amandla...
Swali la maana sana. Kabla hajajadili lazima apate ''definition'' . CZA aliuliza vizuri sana kwasababu alikuwa na ''follow up questions''. Mrema alijua hilo ndilo maana alikuwa anakwepaMaswa
Swali la kijinga. Tafsiri yake ina saidia nini? Kitu cha msingi ni walikuwa wana maanisha nini na NRNE na ndicho Mrema alikuwa anajaribu kumuelezea. Lakini hakutaka kumsikiliza kwa sababu alikuwa anatafuta umaarufu. Hivi kujua kuwa tafsiri ya No Reform No Election ni Hamna Mabadiliko Hamna Uchaguzi kunasaidia nini? Huku kupenda majibu mepesi kwa maswali magumu ndio kumetufikisha hapa tulipo ambapo chawa wana thamani kuliko daktari.
Amandla...
Wameuhujumu vipi? NRNE siku zote ilikuwa katika maeneo mawili. Kwanza ilikuwa kushinikiza reforms. Hiyo waliifanya vizuri tu. Kilichokuwa kifuate ni kuandaa mkakati wa kufanya nini kama kutakuwa hamna dalili za reforms. Pengine waliona kuna umuhimu wa kutoa nafasi kwa chama tawala kuendesha uchaguzi kwa haki na uwazi. Uchaguzi wa mwaka jana ukawathibitishia kuwa hawana mpango huo. Kilichokuwa kifuate ni kuandaa na kuuza mkakati wa No Elections kwa wapiga kura wao. Na kama itaonekana hilo halina tija wangetafuta njia nyingine. Na hayo ndio yalikuwa mategemeo ya G-55. Kuwa wangetafakari nini cha kufanya kuhusu uchaguzi ujao. Uongozi mpya ukaamua kuubeba hivyo hivyo bila ku strategise.
Hili ni wazi kwa sababu pamoja na kuwaandama G-55, wameshindwa kuueleza umma kuhusu mipango yao baada ya seikali kukataa reforms. Mpaka leo wako kimya kwenye hilo. Kwa sababu wewe uko karibu na Chadema pengine utaweza kunielimisha kuhusu "what next"?
Amandla...
Kwa hiyo ujinga wa Mrema umethibitishwa kwa yeye kukataa kutoa tafsiri na kukazania kueleza maana ya maneno na lengo lao lilikuwa nini walipoyatumia? Inabidi ujiulize kwa nini walitumia kiingereza, sio kiswahili. Kwa nini walisema " No Hate No Fear" badala ya " Hamna Chuki Hamna Uoga"? Kuna maneno hayatafsiriki kirahisi.
Amandla...
Ni kweli na pressure inatakiwa wakati mwafaka...labda walikuwa " wanakimbiza mwizi kimya kimya. "
..NRNE kwa mwananchi wa kawaida inaonekana ni agenda iliyoanza 2024 kumbe ilikuwepo tangu 2020.
..kwa maoni yangu CDM wanafanya kazi nzuri kuweka pressure ya mabadiliko kabla ya uchaguzi.
..pia sina tatizo na Chaumma kuweka pressure ya mabadiliko wakati wa uchaguzi.
Cc Nguruvi3