Dah huo ukurugenzi sijui alipataje wallah.No maneno
View attachment 3349909
Dah huo ukurugenzi sijui alipataje wallah.No maneno
View attachment 3349909
John Mrema tafsiri ya NO REFIRMS NO ELECTION kwa kiswahili ni HAKUNA MABADILIKO, HAKUNA UCHAGUZI....No maneno
View attachment 3349909
Labda Nyagi zimekomba akili?🐸Kimeumana, kumbe Chadema were housing an empty skull!
Real!Kwangu mimi Chaumma wametoa fursa kwa njia nyingine kutumika kukabiliana na CCM.
Hoja yao ya kuondoka ni ipi?Kusema kuwa sababu pekee iliyowaondoa ni wao kukosa vyeo ni kuwachafua tu.
Kama hawahiitajiki kama viongozi kuna kosa gani! Je walifukuzwa baada ya uchaguzi!CDM ya sasa ilifanya kila juhudi kuonyesha kuwa hawawahitaji.
Nadhani wanaowaandama CHADEMA ni CHAUMMA. Kwani Mrema na Kigaila wameongelea wapi sera za CHAUMMA zaidi ya CHADEMA! Mrema si alikuwa CLouds, vuta clip mpoja tu aliyohubiri sera za CHAUMAAjabu ni kuwa pamoja na wao kutoka CDM pamoja na waandishi uchwara wanaendelea kuwaandama.
Hivi unaelewa kwanini CCM waliwashikilia COVID 19 Bungeni. Hivi unajua kwanini CCM wanapalilia mapindilizi ya Vyama! Hivi unajua Tundu Lissu yupo Mahabusu kuzuia nini.Walichokifanya hao unaowaita opportunists ni kitu ambacho CCM hawakutegemea maana walijua kutokuwepo na wagombea kutoka CDM kutakuwa nafasi nzuri ya wao kuonyesha kuwa wanashinda kihalali na uwezo.
Real! kwamba CHAUMMA ni chama kikubwa kuliko ACT Wazalendo. Kwanini si ACTUwepo wa Chaumma unafanya kazi hiyo kuwa ngumu zaidi.
Kuna maana gani ya kuweka Wagombea 400 halafu 300 wanaenguliwa, 100 wanapambana na Polisi wakibeba maboksi. Ukiacha CHADEMA, mtu anayefikiri sawa sawa atajiuliza, kupiga kura isiyohesabiwa maana yake ni nini? Kuna sababu gani za kupiga kura ikiwa Nape Nnauye amesema hiyo si sababu ya ushindi, kuna kuhesabu na kutangaza. Jiulize, kwanini kura ya kituo X ihesabiwe Mkoani na si kituoni!Uzalendo wa hao wanaopigia debe utaonekana pale dirisha la kujiandikisha kama mgombea litakapokaribia kufungwa. Sasa hivi wanaishi kwa imani kuwa miracles zitatokea na CDM itaruhusiwa kushiriki. Hiyo haitatokea alani.
Sijakuelewa.Real!
Hoja yao ni kutokubalika ndani ya CDM ya sasa. Wanaandamwa kwa kejeli na matusi badala ya kusikilizwa. Mfano ni sekretariat ku leakisha waraka waliomwandikia Katibu Mkuu kuelezea changamoto wanazopitia na mtazamo wao kuhusu NRNE.Hoja yao ya kuondoka ni ipi?
Sio suala la kuhitajika kama kiongozi. Kosa ni kuwatenga, kuwabagaza na kuwatukana kama wanachama. Waswahili wanasema akufuzae hakuambii nenda. Mlipuko wa ofisi za tawi kutaka kuwahoji kuhusu uaminifu wao kwa chama ni hatua za mwanzo za kuwafukuza. Wameamua kujiondokea lakini bado hamjaridhika. Inaelekea mlitaka muwafukuze ili waaibike.Kama hawahiitajiki kama viongozi kuna kosa gani! Je walifukuzwa baada ya uchaguzi!
Sio kweli. Mrema na Kigaila wanajibu maswali wanayoulizwa na waandishi wa habari. Mrema ataanzaje kuelezea sera za Chaumma wakati interest ya anayemhoji ni kujua tafsiri ya NRNE. Hii ni tofauti na hotuba za viongozi wa sasa wa CDM ambao wamekuwa wakiwaita kila aina ya majina wakiwa jukwaani na kwenye mitandao. Mfano ni hotuba ya Boni ambamo amekuwa akiwazungumzia na kudai kuwa wameondoka CDM kwa sababu ya uroho wa madaraka!Nadhani wanaowaandama CHADEMA ni CHAUMMA. Kwani Mrema na Kigaila wameongelea wapi sera za CHAUMMA zaidi ya CHADEMA! Mrema si alikuwa CLouds, vuta clip mpoja tu aliyohubiri sera za CHAUMA
SijuiHivi unaelewa kwanini CCM waliwashikilia COVID 19 Bungeni.
SijuiHivi unajua kwanini CCM wanapalilia mapindilizi ya Vyama!
SujuiHivi unajua Tundu Lissu yupo Mahabusu kuzuia nini
Nguvu ya ACT Wazalendo iko Zanzibar na sehemu chache bara. Kuwepo kwa Chaumma kutatoa ushindani katika maeneo ambayo ACT Wazalendo haina mvuto. Hamna kitu kitakachowazuia kushirikiana strategically.Real! kwamba CHAUMMA ni chama kikubwa kuliko ACT Wazalendo. Kwanini si ACT
Na unayazuia yote haya kwa kubakia chumbani? Ubovu wote huu umejulikana kwa sababu watu waligombea. Usipogombea utalalamika vipi kuwa ulionewa? Walichofanya CDM ni kuwapa nafasi CCM ya kuendesha uchaguzi wa uhuru na wazi kwa sababu wanajua udhaifu wa wapinzani wao. Kuingia kwa Chaumma, kutawafanya wafikirie upya strategy hii. Wakirudia tena, itawapa nguvu zaidi Chaumma na ACT-WAZALENDO kudai mabadiliko ya Katiba kabla ya uchaguzi wa 2030. Chadema itakuwa imedhoofika na kubakia kubembeleza wazungu waje wawakomboe watanzania. Aidha, kama wagombea Chaumma na ACT-WAZALENDO watatumia kipindi cha matayarisho ya uchaguzi kupigia kelele dhulma yeyote maana huwa zinaanza kabla ya uchaguzi.Kuna maana gani ya kuweka Wagombea 400 halafu 300 wanaenguliwa, 100 wanapambana na Polisi wakibeba maboksi. Ukiacha CHADEMA, mtu anayefikiri sawa sawa atajiuliza, kupiga kura isiyohesabiwa maana yake ni nini? Kuna sababu gani za kupiga kura ikiwa Nape Nnauye amesema hiyo si sababu ya ushindi, kuna kuhesabu na kutangaza. Jiulize, kwanini kura ya kituo X ihesabiwe Mkoani na si kituoni!
CUF ambayo ni ACT-WAZALENDO waliporwa ushindi wazi wazi wakasusia uchaguzi uliorudiwa. Funzo walilopata ni kuwa kususia hamna tija. Kuna chaguzi moja ya marudio Zanzibar ambako ACT-WAZALENDO waliporwa. Aliyetangazwa alijitoa kutokana na kelele walizopiga ACT-WAZALENDO wakiwa ndani na nje ya serikali. Uchaguzi uliporudiwa, ACT-WAZALENDO walishinda.Mwisho, kwa yale ya uchaguzi wa 2019m 2020, 2024 kuna mbinu gani akina Kigaila na Mrema wanayo ambayo hawakuitumia chaguzi hizo.
Zitto Kabwe alijaribu chaguzi zote ndogo kuanzia 2019, nitajie moja walioshinda kwa kura kuhesabiwa.
Kwenye hili, CCM wamewazidi kete. Mngeconcentrate zaidi na mtakayofanya baada ya uchaguzi.
Ndo maana watz wengi ni wezi ,swali limenyooka ,unaanza blabla, ningekua mtangazaji ningemchapa makofiWakuu,
Yaani CZA wa Clouds FM amefanya kazi ya kitume sana.
Ndani ya Dakika 2, Mrema ameshindwa kuelezea na kutoa tafsiri ya No Reforms No Election yaani anajikanyaga tu.
Hapa ndo unajua kina Mrema ni project ya CCM na walikuwa ni mapindikizi.
Hili jamaa ni pumbavu!Wakuu,
Yaani CZA wa Clouds FM amefanya kazi ya kitume sana.
Ndani ya Dakika 2, Mrema ameshindwa kuelezea na kutoa tafsiri ya No Reforms No Election yaani anajikanyaga tu.
Hapa ndo unajua kina Mrema ni project ya CCM na walikuwa ni mapindikizi.
Mpuuzi mmoja huyu yaani njaa mbaya sana jamaniWakuu,
Yaani CZA wa Clouds FM amefanya kazi ya kitume sana.
Ndani ya Dakika 2, Mrema ameshindwa kuelezea na kutoa tafsiri ya No Reforms No Election yaani anajikanyaga tu.
Hapa ndo unajua kina Mrema ni project ya CCM na walikuwa ni mapindikizi.
Unapoteza Mda kumtetea Mrema Kama wewe ndo Mrema basi na ilo jina Mrema halijawai kua na Faida kwa nchi watu wa Imani Majina yanaumba huyo ni Mremavu wa akiliKwa hiyo ujinga wa Mrema umethibitishwa kwa yeye kukataa kutoa tafsiri na kukazania kueleza maana ya maneno na lengo lao lilikuwa nini walipoyatumia? Inabidi ujiulize kwa nini walitumia kiingereza, sio kiswahili. Kwa nini walisema " No Hate No Fear" badala ya " Hamna Chuki Hamna Uoga"? Kuna maneno hayatafsiriki kirahisi.
Amandla...
Sijakuelewa.
Hoja yao ni kutokubalika ndani ya CDM ya sasa. Wanaandamwa kwa kejeli na matusi badala ya kusikilizwa. Mfano ni sekretariat ku leakisha waraka waliomwandikia Katibu Mkuu kuelezea changamoto wanazopitia na mtazamo wao kuhusu NRNE.
Sio suala la kuhitajika kama kiongozi. Kosa ni kuwatenga, kuwabagaza na kuwatukana kama wanachama. Waswahili wanasema akufuzae hakuambii nenda. Mlipuko wa ofisi za tawi kutaka kuwahoji kuhusu uaminifu wao kwa chama ni hatua za mwanzo za kuwafukuza. Wameamua kujiondokea lakini bado hamjaridhika. Inaelekea mlitaka muwafukuze ili waaibike.
Sio kweli. Mrema na Kigaila wanajibu maswali wanayoulizwa na waandishi wa habari. Mrema ataanzaje kuelezea sera za Chaumma wakati interest ya anayemhoji ni kujua tafsiri ya NRNE. Hii ni tofauti na hotuba za viongozi wa sasa wa CDM ambao wamekuwa wakiwaita kila aina ya majina wakiwa jukwaani na kwenye mitandao. Mfano ni hotuba ya Boni ambamo amekuwa akiwazungumzia na kudai kuwa wameondoka CDM kwa sababu ya uroho wa madaraka!
Sijui
Sijui
Sujui
Nguvu ya ACT Wazalendo iko Zanzibar na sehemu chache bara. Kuwepo kwa Chaumma kutatoa ushindani katika maeneo ambayo ACT Wazalendo haina mvuto. Hamna kitu kitakachowazuia kushirikiana strategically.
Na unayazuia yote haya kwa kubakia chumbani? Ubovu wote huu umejulikana kwa sababu watu waligombea. Usipogombea utalalamika vipi kuwa ulionewa? Walichofanya CDM ni kuwapa nafasi CCM ya kuendesha uchaguzi wa uhuru na wazi kwa sababu wanajua udhaifu wa wapinzani wao. Kuingia kwa Chaumma, kutawafanya wafikirie upya strategy hii. Wakirudia tena, itawapa nguvu zaidi Chaumma na ACT-WAZALENDO kudai mabadiliko ya Katiba kabla ya uchaguzi wa 2030. Chadema itakuwa imedhoofika na kubakia kubembeleza wazungu waje wawakomboe watanzania. Aidha, kama wagombea Chaumma na ACT-WAZALENDO watatumia kipindi cha matayarisho ya uchaguzi kupigia kelele dhulma yeyote maana huwa zinaanza kabla ya uchaguzi.
CUF ambayo ni ACT-WAZALENDO waliporwa ushindi wazi wazi wakasusia uchaguzi uliorudiwa. Funzo walilopata ni kuwa kususia hamna tija. Kuna chaguzi moja ya marudio Zanzibar ambako ACT-WAZALENDO waliporwa. Aliyetangazwa alijitoa kutokana na kelele walizopiga ACT-WAZALENDO wakiwa ndani na nje ya serikali. Uchaguzi uliporudiwa, ACT-WAZALENDO walishinda.
Mabadiliko mnayodai hamtapewa katika silver plate. Mkisusa wao wataendelea kula. Hao mnaowatumia petition hawana msaada wowote.
Kwenye hili, CCM wamewazidi kete. Mngeconcentrate zaidi na mtakayofanya baada ya uchaguzi.
Amandla...
Mimi siwaelewi kabisa mnapowalaumu Chaumma kwa kupinga msimamo wa Chadema wa No Elections kwa sababu ndio sababu kubwa ya wao kutoka Chadema. Tofauti yao na Chadema ni kuwa wameeleza kwa uwazi kabisa kwa nini wanaamini kuwa haiwezekani kuzuia uchaguzi. Hao mnaowaunga mkono mpaka sasa hivi wameshindwa kueleza namna ambayo watahakikisha uchaguzi haufanyiki. Nimesikia Slaa alisema kuwa watu wakae nyumbani wasiende kupiga kura bila kufafanua huko kukaa nyumbani kwa wanaowaunga mkono kutabatilishaje uchaguzi. Lissu nae hajawa muwazi kwenye suala. Lakini badala ya kujaribu ku waconvince wasiokubaliana nao wao wanawaporomeshea matusi. Mara walioenda Chaumma ni punda, mara ni walafi wa vyeo, mara wasaliti n.k. Na haya yanasemwa jukwaani na viongozi wakuu wa Chadema. Na waandishi uchwara nao wanafuata mkumbo. Baala ya kuwahoji wakina Mrema kuhusu hoja za Chaumma wao wanang'ang'ania tafsiri ya NRNE ambayo sio hoja ya Chaumma...Uchaguzi umeshaharibiwa mara nyingi, na watu wameumizwa, na wengine kuuwawa.
..Hoja ya Chadema ni kwamba hawawezi kushiriki uchaguzi katika mazingira yaleyale ambayo yameshathibitika kuwa ni hatarishi.
..Chaumma wanatakiwa wapambanie mabadiliko katika Tume, Sheria, na Kanuni zs uchaguzi.
..Wanatakiwa wawe specific na forceful kuwaaminisha wananchi kwa wao wanapigania mabadiliko.
..Kinachowaponza Chaumma sasa hivi ni msisitizo wao, na nguvu kubwa walizoelekeza, katika kuwapinga Chadema kuhusu " No Election. "
..Chaumma wajiepushe na kujionyesha kuwa wao ni chama cha upinzani dhidi ya Chadema, badala ya chama cha upinzani dhidi ya Ccm.
..Nina hamu ya kusikia hoja za Chaumma dhidi ya Ccm.
Cc Nguruvi3
Nadhani mtu mwenye fikra sawa sawa hawezi kupoteza muda wake katika uchaguzi..Uchaguzi umeshaharibiwa mara nyingi, na watu wameumizwa, na wengine kuuwawa.
..Hoja ya Chadema ni kwamba hawawezi kushiriki uchaguzi katika mazingira yaleyale ambayo yameshathibitika kuwa ni hatarishi...Chaumma wanatakiwa wapambanie mabadiliko katika Tume, Sheria, na Kanuni zs uchaguzi.
Ili wawe relevant katika public lazima wazungumzie CHADEMA. Ili wapate mafao wanayopewa leo lazima wawaheshimu CCM..Kinachowaponza Chaumma sasa hivi ni msisitizo wao, na nguvu kubwa walizoelekeza, katika kuwapinga Chadema kuhusu " No Election. "
Mimi siwaelewi kabisa mnapowalaumu Chaumma kwa kupinga msimamo wa Chadema wa No Elections kwa sababu ndio sababu kubwa ya wao kutoka Chadema. Tofauti yao na Chadema ni kuwa wameeleza kwa uwazi kabisa kwa nini wanaamini kuwa haiwezekani kuzuia uchaguzi. Hao mnaowaunga mkono mpaka sasa hivi wameshindwa kueleza namna ambayo watahakikisha uchaguzi haufanyiki. Nimesikia Slaa alisema kuwa watu wakae nyumbani wasiende kupiga kura bila kufafanua huko kukaa nyumbani kwa wanaowaunga mkono kutabatilishaje uchaguzi. Lissu nae hajawa muwazi kwenye suala. Lakini badala ya kujaribu ku waconvince wasiokubaliana nao wao wanawaporomeshea matusi. Mara walioenda Chaumma ni punda, mara ni walafi wa vyeo, mara wasaliti n.k. Na haya yanasemwa jukwaani na viongozi wakuu wa Chadema. Na waandishi uchwara nao wanafuata mkumbo. Baala ya kuwahoji wakina Mrema kuhusu hoja za Chaumma wao wanang'ang'ania tafsiri ya NRNE ambayo sio hoja ya Chaumma.
Chadema wanapaswa kuachana na Chaumma. Wajikite katika kuuza sera yao ya NRNE ambayo kiukweli haiwezi kufanikiwa bila kuungwa mkono na watanzania wasiokuwa mashabiki wa Chadema. Wanapoteza muda kupeleka petition Umoja wa Mataifa EU na Marekani ambao sasa hivi akili zao zote ziko Gaza, Ukraine huku wakikabiliana na Trump. Wachache watawapa maneno mazuri lakini wenye maamuzi hawana appetite ya confrontation mpya.
Amandla...
Who are they! Ni Wanachama wa kawaida tu . Hivi wanahitaji kusikilizwa kwasababu gani! kwamba ni viongozi wa zamani! Uongozi uliopo una hiari na namna zake za utendaji. Akina Mrema walikuwa na ''denial'' hawaamini kwamba ni Wanachama!Hoja yao ni kutokubalika ndani ya CDM ya sasa. Wanaandamwa kwa kejeli na matusi badala ya kusikilizwa. Mfano ni sekretariat ku leakisha waraka waliomwandikia Katibu Mkuu kuelezea changamoto wanazopitia na mtazamo wao kuhusu NRNE.
Nani kawatenga! Mbona Rose Mayemba alitengwa , bagazwa na kunyimwa haki lakini bado yupo.Sio suala la kuhitajika kama kiongozi. Kosa ni kuwatenga, kuwabagaza na kuwatukana kama wanachama.
Umeona ya Lembrus Mchome na madhara yake. Kujiita G55 ilitosha kueleza jinsi wanavyokigawa chama chao wakiponza wenzao huku wakilamba vyeo CHAUMMA.Mlipuko wa ofisi za tawi kutaka kuwahoji kuhusu uaminifu wao kwa chama ni hatua za mwanzo za kuwafukuza.
Hizo ndizo dababu CCM wanawahitaji CHADEMA kama walivyowahitaji COVID 19Sijui
Sijui
Sujui
Chaumma inajulikana eneo gani Tanzania ambalo ACT hawana uwezo naloKuwepo kwa Chaumma kutatoa ushindani katika maeneo ambayo ACT Wazalendo haina mvuto. Hamna kitu kitakachowazuia kushirikiana strategically.
2019, 2020 , 2024 bado unataka waendelee! definition ya Insane ina fit sana unachoshauriUsipogombea utalalamika vipi kuwa ulionewa?
CHAUMMA ni wing ya CCM, hawa maigizo unamdanganya nani! Mwenyekiti Hashim kasema wazi wanapata msaada wa CCM na hatakataa1Walichofanya CDM ni kuwapa nafasi CCM ya kuendesha uchaguzi wa uhuru na wazi kwa sababu wanajua udhaifu wa wapinzani wao. Kuingia kwa Chaumma, kutawafanya wafikirie upya strategy hii.
Unaishi dunia gani! 2019 , 2020, 2024 halafu 2025 nategemea miujiza ! pleaseAidha, kama wagombea Chaumma na ACT-WAZALENDO watatumia kipindi cha matayarisho ya uchaguzi kupigia kelele dhulma yeyote maana huwa zinaanza kabla ya uchaguzi.
Walipewa jimbo kwasababu ya GNU! kama ambavyo COVID wapo Dodoma! CCM ni mafundi wa siasa za ulaghai. Huku Bara Zitto alirudi kulia kama mbwa koko! hakushinda , watu wake walipigwa sanaCUF ambayo ni ACT-WAZALENDO waliporwa ushindi wazi wazi wakasusia uchaguzi uliorudiwa. Funzo walilopata ni kuwa kususia hamna tija. Kuna chaguzi moja ya marudio Zanzibar ambako ACT-WAZALENDO waliporwa. Aliyetangazwa alijitoa kutokana na kelele walizopiga ACT-WAZALENDO wakiwa ndani na nje ya serikali.
Ni kweli ndio maana NRNE inafanyika hata kama kuna maumivu! huwezi kupewa ushindi wa nusu mkate kwa hisani kama ACT. Kosa la ACT ni kujiunga na GNU jambo lililodhoofisha sana nguvu yao.Mabadiliko mnayodai hamtapewa katika silver plate. Mkisusa wao wataendelea kula. Hao mnaowatumia petition hawana msaada wowote.
Topic mbili zinasumbua Nchini, NRNE na Tundu Lissu...Chaumma ijikite kwenye kudai mabadiliko na sio kupinga au kubeza mambo ya Chadema.