Yusufu R H Sabura
JF-Expert Member
- Jun 26, 2020
- 796
- 918
hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah
Topic mbili zinasumbua Nchini, NRNE na Tundu Lissu.
CHAUMMA wana sera ya Ubwabwa na ili wawe relevant lazima waongelee NRNE. wasipoongelea NRNE John Mrema na Kigaila hawajui sera ya Ubwabwa!
Pili, Mrema na Kigaila hawawezi kuongelea CCM kwasababu CHAUMMA ni wing ya CCM, sasa wao wamefika na kukaa meza kuu wakisubiri ubwabwa! wamepata vyeo!
Watu wamekufa katika chaguzi miaka 7 iliyopita viongozi wakiwa Kigaila na Mrema, leo wanakuja na utapeli kwamba wana ''Mwarobaini'' wa kushinda uchaguzi. Ikiwa watapata viti si ushindi ni vya kupewa!
Mategemeo ya Kigaila na Mrema ni kwamba wakigombea watapewa majimbo, hawa watu can do anything! power mongers! ndio maana hadi leo hawajaeleza hata mstari mmoja wa sera za CHAUMMA kwasababu sera si tatizo lao, tatizo lao ni madaraka na kuvizia fursa waishi! watu hatari sana
Mwenyekiti aliposema hana tatizo kupokea misaada ya CCM! inatia shaka..tuwape muda kabla hatujawahukumu.
Ndicho wanataka akina Kigaila na Mrema. Kwamba waifute..tatizo lililopo ni kwamba NRNE imeshasambaa sasa sio rahisi kuifuta kirahisirahisi.
Uliwasikia wakisema wao ndio ''Brain' ya CHADEMA. Hii ni kuvutia Wanachama si kwa sera bali utapeli..Ndio maana naamini ili Chaumma ifanikiwe basi inapaswa kujiepusha na kubeza wanachofanya Chadema.
Hawawezi kuilaumu CCM ndio mfadhli wao kwa mujibu wa Mwenyekiti Rrungwe..Yaani Chaumma wajielekeze kuonyesha mapungufu ya mifumo yetu ya uchaguzi, tofauti na wanavyofanya sasa hivi kubeza Chadema na " No Elections. "
Duh hii safari yetu waTanzania ni ngumu sana na tukifika hata kujua tulipotoka itakuwa ngumu..wewe unasema muuliza swali anatafuta umaarufu... interview iko clear...Mrema hajui tafsiri ya hicho 'kidhungu 'bila kujali slogan ililenga nini.Maswa
Swali la kijinga. Tafsiri yake ina saidia nini? Kitu cha msingi ni walikuwa wana maanisha nini na NRNE na ndicho Mrema alikuwa anajaribu kumuelezea. Lakini hakutaka kumsikiliza kwa sababu alikuwa anatafuta umaarufu. Hivi kujua kuwa tafsiri ya No Reform No Election ni Hamna Mabadiliko Hamna Uchaguzi kunasaidia nini? Huku kupenda majibu mepesi kwa maswali magumu ndio kumetufikisha hapa tulipo ambapo chawa wana thamani kuliko daktari.
Amandla...
Wasaidie Chadema kwa kutufafanulia namna No Elections itakavyofanikishwa. Sioni ugumu wa kutenganisha NR na NE wakati NE ni matokeo ya NR. Kwa kifupi, kama hapatakuwa na reforms hapatakuwa na elections. Kwa vile ni wazi kuwa hapatakuwa na reforms basi mnabidi kutuambia NE itafanikishwa vipi...Ni vigumu sana kuzitenganisha " No Reforms" na " No Election. "
..Ukipinga " No Election " unaweza kuonekana, kwa bahati mbaya, kwamba unapinga " No Reforms. "
..Chaumma ijikite kwenye kudai mabadiliko na sio kupinga au kubeza mambo ya Chadema.
Wasaidie Chadema kwa kutufafanulia namna No Elections itakavyofanikishwa. Sioni ugumu wa kutenganisha NR na NE wakati NE ni matokeo ya NR. Kwa kifupi, kama hapatakuwa na reforms hapatakuwa na elections. Kwa vile ni wazi kuwa hapatakuwa na reforms basi mnabidi kutuambia NE itafanikishwa vipi.
Chaumma haina uhusiano na CDM kwa hiyo ni wajibu wao kuainisha tofauti zilizopo kati yao. Chaumma sio Chadema au CCM lite. Heshimuni uamuzi wao.
Amandla...
Zinawasumbua wafuasi wa Chadema na pengine CCM. Kwa wengine haziwahusu.Topic mbili zinasumbua Nchini, NRNE na Tundu Lissu.
Wanaongelea NRNE kwa sababu wanaulizwa. Hawana sababu ya kuongelea sera isiowahusu. Wakati ukifika watazungumzia sera za chama chao cha Chaumma.CHAUMMA wana sera ya Ubwabwa na ili wawe relevant lazima waongelee NRNE. wasipoongelea NRNE John Mrema na Kigaila hawajui sera ya Ubwabwa!
Kila mtu anaetofautiana na nyie mnamuitq CCM B. Hata mimi naweza kudai kuwa Chadema imeshirikiana na CCM ili ishinde kirahisi.Pili, Mrema na Kigaila hawawezi kuongelea CCM kwasababu CHAUMMA ni wing ya CCM, sasa wao wamefika na kukaa meza kuu wakisubiri ubwabwa! wamepata vyeo!
Kila mtu anaegombea uchaguzi anakuwa na tumaini la kushinda. Mwenye uhakika wa kushindwa ni yule ambae hashiriki. Una haki ya kuamini kuwa ushindi wowote wa Chaumma utatokana na kupewa na CCM kama ambavyo Chadema nayo ilivyokuwa ikipewa viti na CCM.Watu wamekufa katika chaguzi miaka 7 iliyopita viongozi wakiwa Kigaila na Mrema, leo wanakuja na utapeli kwamba wana ''Mwarobaini'' wa kushinda uchaguzi. Ikiwa watapata viti si ushindi ni vya kupewa!
Huu ni mwezi wa nne tangu Lissu na wenzake washike hatamu CDM lakini mpaka leo wanapata kigugumizi kuelezea NE. Sasa unashangaa nini kama Chaumma hawajaweza kuweka wazi sera zao mwezi mmoja baada ya kuungwa mkono na baadhi ya G-55.Mategemeo ya Kigaila na Mrema ni kwamba wakigombea watapewa majimbo, hawa watu can do anything! power mongers! ndio maana hadi leo hawajaeleza hata mstari mmoja wa sera za CHAUMMA kwasababu sera si tatizo lao, tatizo lao ni madaraka na kuvizia fursa waishi! watu hatari sana
Reforms wanazozitaka ni zile zile walizokuwa wanadai wakiwa Chadema...Chaumma ieleze Reforms inazozitaka kabla, wakati, na baada ya uchaguzi.
Hamna mtu anaewakataza kufanya hivyo...Chadema wao waendelee na No Reforms No Election yao.
Chaumma wanaweka wazi kuwa wanapinga NE kwa sababu ni lazima wajitofautishe na CDM. Hakuna mahali waliposema kuwa hakuna haja ya reforms. Wenye nia mbaya nao ndio wanajaribu kuwachafua kwa kudai kuwa hawataki reforms kwa sababu wao ni CCM B...Chaumma kuhangaika kupingana na No Election, badala ya kupinga mifumo kandamizi iliyoko sasa hivi, kunaharibu taswira ya chama hicho.
Mnaodai kuwa Chaumma ni chama rafiki cha CCM ni nyie mliokunywa kool aid ya uongozi wenu. Ni CDM ya Lissu ndio iliyodai kuwa Mbowe ni msaliti na amehongwa na Abduli. Sasa mnataka kurudia mchezo huo huo kwa Chaumma wakati mnajifanya kumuenzi Mbowe kinafik...Chaumma ijiepushe kuonekana kuwa ni chama cha upinzani dhidi ya Chadema, na chama rafiki kwa Ccm.
Too late. Mmeisha wahukumu...tuwape muda kabla hatujawahukumu.
Sawa. Tunachosubiri ni matunda yake...tatizo lililopo ni kwamba NRNE imeshasambaa sasa sio rahisi kuifuta kirahisirahisi.
Kwa kusema kweli mnatakiwa kuona aibu. Hiyo kudai kuwa nyinyi ndio victims wala haipendezi...Ndio maana naamini ili Chaumma ifanikiwe basi inapaswa kujiepusha na kubeza wanachofanya Chadema.
Kuna tatizo gani kwa Chaumma kupinga sera ya No Elections wakati ni moja ya sababu ya wao kutoka Chadema? Badala ya kuwabeza, jibuni hoja zao ya kuwa haiwezekani kuzuia uchaguzi katika mazingira yaliyopo sasa. Na mtahakikisha vipi kuwa kuna dhulma katika uchaguzi bila nyie kushiriki?..Yaani Chaumma wajielekeze kuonyesha mapungufu ya mifumo yetu ya uchaguzi, tofauti na wanavyofanya sasa hivi kubeza Chadema na " No Elections. "
Mimi sijui kool aid, ninachoweza kusema ni kwamba anayethibitisha Ushirika na CCM ni Mwenyekiti Hasim.Mnaodai kuwa Chaumma ni chama rafiki cha CCM ni nyie mliokunywa kool aid ya uongozi wenu.
Amandla....
Unataka kutuambia kuwa Chadema haiwasikilizi wanachama wa kawaida? Wanachama wa kawaida ni watu wa kuitikia ewala kwa kila kitu kinachosemwa na uongozi.Who are they! Ni Wanachama wa kawaida tu . Hivi wanahitaji kusikilizwa kwasababu gani!
Sawa. Lakini wanachama wana haki ya kuupinga wanapoona wanaelekea kusiko.kwamba ni viongozi wa zamani! Uongozi uliopo una hiari na namna zake za utendaji. Akina Mrema walikuwa na ''denial'' hawaamini kwamba ni Wanachama!
Ku leak kitu walichopewa in confidence ni ushahidi wa nia yao ovu. Nia ya waraka ule ilikuwa ni kumaliza tofauti zao wakiwa ndani ya CHADEMA. Wenzao wakaona ilikuwa nafasi ya kuwachafua. Watu waovu sana.Nadhani ku leak barua ni to their advantage! Kuna ubaya gani Umma ukijua wanaposimamia
It makes no difference to me. Hapa unaongea kama chawa wa wakina Lissu kwa hiyo protestations zako za neutrality hazina maana yeyote.Let me be clear, siyo Mwanachama wa Chama cha siasa, lakini naunga mkono Chama chochote kitakachoweza kuwaondoa CCM madarakani.
Good for you ingawa simjui unaemuongelea.Niliwahi sema hata Dovutwa Fahami nilimuunga mkono.
Huo ni mtizamo wako. Haina maana kuwa ni kweli.Hawa akina Mrema na Kigaila ni spoilers craving for power! wanaishi kwa siasa
Kila mtu ana msimamo wake kwa hiyo usitegemee kuwa kila mtu ata react kama alivyo react Rose Mayemba ambae sasa hivi analipiza kisasi with a vengeance.Nani kawatenga! Mbona Rose Mayemba alitengwa , bagazwa na kunyimwa haki lakini bado yupo.
Come around. Hata Rose nae yanaweza kumrudia.Aliyeendesha ushenzi na ubazazi dhidi ya Rose ni Benson Kigaila na J Mrema. What goes around....
You must be kidding! Kwenye hili umeniangusha. Kipato gani anapata mtu mwenye account ya X yenye followers chini ya 20,000! Umemeza uongo wa Heche mzima mzima!Tatizo lao ni moja, wapo katika ''state of denial'' kwamba si viongozi. Wata survive vipi !
Leo tunajua walitumia account za X, Instagram kama mali zao na kujipatia vipato!
Mchome aliwatahadharisha lakini mkakaza shingo kama kawaida yenu. Mngeita kikao cha uteuzi haraka, yote haya yasingewakuta. Lakini kama ilivyo ada, badala ya kushughulikia mapungufu yaliyoonyeshwa nyinyi mkawekeza nguvu zenu kwenye kumchafua. Mchome aliwasaidia lakini ndio hivyo tena hambebeki.Umeona ya Lembrus Mchome na madhara yake. Kujiita G55 ilitosha kueleza jinsi wanavyokigawa chama chao wakiponza wenzao huku wakilamba vyeo CHAUMMA.
Zipi hizo?Hizo ndizo dababu CCM wanawahitaji CHADEMA kama walivyowahitaji COVID 19
Hakuna mahali panaposema kuwa ni kura kutoka sehemu fulani ndio zinazoingizwa katika hesabu za kupata wabunge wa viti maalum.Chaumma inajulikana eneo gani Tanzania ambalo ACT hawana uwezo nalo
Kwa hiyo mtaendelea kususia uchaguzi mpaka pale marekebisho yatakapofanyika. Yasipofanyika mpaka 2035, nyie mtaendelea kususia! Unadhani kuwa CCM wanajali kama CDM itaendelea kususia uchaguzi Halafu wewe ndio unatuita wengine wendawazimu.2019, 2020 , 2024 bado unataka waendelee! definition ya Insane ina fit sana unachoshauri
''Ukifanya jambo lile kwa namna ile ile ukitegemea matokeo tofauti huo ni wendawazimu''
Hayo ni maoni yake. Hayana tofauti na yale mliyotumia kumchafua Mbowe. Ambae leo hamuoshi kumsifia kwenye majukwaa yenu.CHAUMMA ni wing ya CCM, hawa maigizo unamdanganya nani! Mwenyekiti Hashim kasema wazi wanapata msaada wa CCM na hatakataa1
Ya kutokata tamaa. Hata ikifika 2040 bila mabadiliko sitakata tamaa.Unaishi dunia gani! 2019 , 2020, 2024 halafu 2025 nategemea miujiza ! please
Uongo. ACT-WAZALENDO Zanzibar ni wapiganaji na waliwaambia waziwazi CCM kuwa hawatakubali dhulma. Walishinda wala hawakupewa.Walipewa jimbo kwasababu ya GNU! kama ambavyo COVID wapo Dodoma!
Na bado anapambana. Wakina Mtei wangekata tamaa walipokuwa wanapata wabunge wachache, CDM isingefika hapa ilipofika.CCM ni mafundi wa siasa za ulaghai. Huku Bara Zitto alirudi kulia kama mbwa koko! hakushinda , watu wake walipigwa sana
Usiwasemee wazanzibari. ACT-WAZALENDO sio wajinga.Ni kweli ndio maana NRNE inafanyika hata kama kuna maumivu! huwezi kupewa ushindi wa nusu mkate kwa hisani kama ACT. Kosa la ACT ni kujiunga na GNU jambo lililodhoofisha sana nguvu yao.
Shida ya Chadema ni ile kujiona kuwa wao peke yao ndio wana mandate ya kuamua kwa niaba ya wapinzani. Wamefanya jitihada gani ku convince vyama vingine kuunga mkono msimaomo wao. Au wanadhani kuwaita mamluki ndio kutawafanya wajiunge nao? Kwa kweli wanasikitisha.Tatizo ni vyama vya mamluki kama CHAUMMA, laiti vyote vingesusia uchaguzi CCM ingekuwa haina hoja
Mbona Lissu alipochangiwa na CCM hakukataa? Mkuki kwa nguruwe.Mimi sijui kool aid, ninachoweza kusema ni kwamba anayethibitisha Ushirika na CCM ni Mwenyekiti Hasim.
Rungwe anasema CCM wakimpa msaada hatakataa!
Hayo ni baada ya kusema '' Wanatuita tunashinda nao wanatupa pesa na kutuambia wakituhitaji watatutaarifu'' - kwa hisani ya Star TV na Odemba
Too late. Mmeisha wahukumu.
Sawa. Tunachosubiri ni matunda yake.
Kwa kusema kweli mnatakiwa kuona aibu. Hiyo kudai kuwa nyinyi ndio victims wala haipendezi.
Kuna tatizo gani kwa Chaumma kupinga sera ya No Elections wakati ni moja ya sababu ya wao kutoka Chadema? Badala ya kuwabeza, jibuni hoja zao ya kuwa haiwezekani kuzuia uchaguzi katika mazingira yaliyopo sasa. Na mtahakikisha vipi kuwa kuna dhulma katika uchaguzi bila nyie kushiriki?
Amandla..
Unarudia yale yale. Unafungia macho mambo ambayo Chadema inafanya dhidi ya wanaopingana nacho. Badala ya kupambana na CCM wao wanaelekeza nguvu zao kwa Chaumma. Wanahofia nini?..Nadhani dhuluma, ukatili, na mauaji, katika chaguzi zote zilizopita zinayapa uhalali madai ya Chadema kutoshiriki uchaguzi mpaka pale Reforms zitakapofanyika.
..Chaumma inatakiwa ijipambanue kwa kupambania Reforms, na sio kupambana na kubeza Chadema katika harakati zao za NRNE.
..Chaumma iwe chama cha upinzani dhidi ya Ccm, sio chama pinzani kwa Chadema.
Unarudia yale yale. Unafungia macho mambo ambayo Chadema inafanya dhidi ya wanaopingana nacho. Badala ya kupambana na CCM wao wanaelekeza nguvu zao kwa Chaumma. Wanahofia nini?
Amandla...
Mbona Lissu alipochangiwa na CCM hakukataa? Mkuki kwa nguruwe.
Tuipime Chaumma ya sasa hivi kama ambavyo tunaipima Chadema ya Lissu na sio ya Mbowe.
Amandla...
Wanapaswa kusikilizwa, haina maana maoni yao yasikilizwe kwa lazima. Chama chenye wafuasi kina mitazamo tofauti , maamuzi hufikiwa kwa pamoja hata wale wasiokubaliana nayo.Unataka kutuambia kuwa Chadema haiwasikilizi wanachama wa kawaida?
Sina neutrality, nasimama upande wenye ukweli kwa mujibu wangu.It makes no difference to me. Hapa unaongea kama chawa wa wakina Lissu kwa hiyo protestations zako za neutrality hazina maana yeyote.
Rose Mayemba ni mjumbe wa Kamati Kuu, hana nafasi ya kulipa kisasi. Just for the record ''architect'' wa vengeance ni Kigailam alimnyanyasa sana Rose Mayemba. Kinachomtokea ni Karma!Kila mtu ana msimamo wake kwa hiyo usitegemee kuwa kila mtu ata react kama alivyo react Rose Mayemba ambae sasa hivi analipiza kisasi with a vengeance.
The point is, wali own accounts! Je, wamerudisha kwa uongozi mpya!You must be kidding! Kwenye hili umeniangusha. Kipato gani anapata mtu mwenye account ya X yenye followers chini ya 20,000! Umemeza uongo wa Heche mzima mzima!
Tarehe 22 March kama sikosei niliwatahadharisha CHADEMA, barua ya Mchome ilipaswa kufuata taratibu za Chama. Kitendo cha kunukuu kwa Msajili kina maana kubwa sana.Mchome aliwatahadharisha lakini mkakaza shingo kama kawaida yenu. Mngeita kikao cha uteuzi haraka, yote haya yasingewakuta. Lakini kama ilivyo ada, badala ya kushughulikia mapungufu yaliyoonyeshwa nyinyi mkawekeza nguvu zenu kwenye kumchafua. Mchome aliwasaidia lakini ndio hivyo tena hambebeki.
Kupiga kura isiyohesabiwa ina maana gani? definition ya Insanity ni yanayoendelea. Kama akina ACT Wazalendo wangeunga mkono CDM , CCM isingefanikiwa.Kwa hiyo mtaendelea kususia uchaguzi mpaka pale marekebisho yatakapofanyika. Yasipofanyika mpaka 2035, nyie mtaendelea kususia! Unadhani kuwa CCM wanajali kama CDM itaendelea kususia uchaguzi Halafu wewe ndio unatuita wengine wendawazimu.
Nimeshiriki chaguzi za chama kimoja na vyama vingi. Maalim Seif tangu 1995 anashiriki hadi anafariki.ACT-WAZALENDO Zanzibar ni wapiganaji na waliwaambia waziwazi CCM kuwa hawatakubali dhulma. Walishinda wala hawakupewa.
Kula nusu mkate kila siku ukidhani ni mkate mzima si ujinga huo! Na ujinga zaidi ni kuamini Rais Mzanzibar atawafanyia hisani mwaka huu! Hawajui CCM ni CCM tu , CCM mzuri ni yule aliye kaburini.Usiwasemee wazanzibari. ACT-WAZALENDO sio wajinga.
At least wana credibility ukilinganisha na wenzao. Think about this, ACT Wazalendo walikuwa moto na Muungano! umewasikia tena siku hizi. Kisa Rais ni 'mwenzetu' hawa unawaamini kwa nini.Shida ya Chadema ni ile kujiona kuwa wao peke yao ndio wana mandate ya kuamua kwa niaba ya wapinzani. Wamefanya jitihada gani ku convince vyama vingine kuunga mkono msimaomo wao.