huenda Lisu ndie hakumuelewaga balile na akamwambia nonsense kabisaa 🐒Msaidie Mrema tafsiri preeeese, au hujaelewa swali na wewe?
maana yake ni useless and completely nonsense agenda 🐒No Reforms, No Election maana yake kwa kiswahili ni nini?
Mnapokuwa Wajinga msiende kwenye mahojiano
Huo ni mtazamo wako. Kwangu mimi Chaumma wametoa fursa kwa njia nyingine kutumika kukabiliana na CCM. Kusema kuwa sababu pekee iliyowaondoa ni wao kukosa vyeo ni kuwachafua tu. CDM ya sasa ilifanya kila juhudi kuonyesha kuwa hawawahitaji. Ajabu ni kuwa pamoja na wao kutoka CDM pamoja na waandishi uchwara wanaendelea kuwaandama. Walichokifanya hao unaowaita opportunists ni kitu ambacho CCM hawakutegemea maana walijua kutokuwepo na wagombea kutoka CDM kutakuwa nafasi nzuri ya wao kuonyesha kuwa wanashinda kihalali na uwezo.Ni kweli na pressure inatakiwa wakati mwafaka.
Chaumma si chama as such, akina Mrema wamekwenda kushiriki uchaguzi na kupata vyeo
Kuna 'za ndaani'' kwamba wanawezeshwa sana ili kuvuruga CHADEMA na kutoa uhalali wa Uchaguzi kama opposition. Kuna matumaini watapewa japo kimoja au viwili Bungeni!
Hawa akina G55 ni ''opportunists'' hawana lolote la maana katika Taifa. Ni career politicians kwasababu Mrema, Kigaila, Mwalimu hawajawahi kuwa na ajira nyingine yoyote. Kilichowaondoa CHADEMA ni vyeo tu
Kimeumana, kumbe Chadema were housing an empty skull!No maneno
Kimeumana, kumbe Chadema were housing an empty skull!
Mtego gani,Kwa upande mwingine ni kwamba chadema walinasa kwenye mtego wa ccm. Ni bora wangesaini tu
Kazi kweli kweliNo maneno
View attachment 3349909
Ndio maana mnafeli kila siku mitihani hata ya veta! Hilo ndo jibu la swali?huenda Lisu ndie hakumuelewaga balile na akamwambia nonsense kabisaa 🐒
Uliowekwa na mwenyekiti wa tume vyama visaini fomu ya maadiliMtego gani,
No maneno
View attachment 3349909
Uliowekwa na mwenyekiti wa tume vyama visaini fomu ya maadili