baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Alikua anaeleza nini Ujinga ule Mrema ni mtu mjinga mjinga hana hata huwezo wa kujielezaMaswa
Swali la kijinga. Tafsiri yake ina saidia nini? Kitu cha msingi ni walikuwa wana maanisha nini na NRNE na ndicho Mrema alikuwa anajaribu kumuelezea. Lakini hakutaka kumsikiliza kwa sababu alikuwa anatafuta umaarufu. Hivi kujua kuwa tafsiri ya No Reform No Election ni Hamna Mabadiliko Hamna Uchaguzi kunasaidia nini? Huku kupenda majibu mepesi kwa maswali magumu ndio kumetufikisha hapa tulipo ambapo chawa wana thamani kuliko daktari.
Amandla...