Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 16,601
- 34,760
Umeona! Watu hawa angalii mitego yote na ukiukwaji wa sheria. Sheria imepitishwa na Bunge lakini haitekelezwi na executive branch. Watu hawaoni yote haya wanatumaini kupewa nafasi za Ubunge!..Tume Huru iliyoanzishwa inaelekeza kwamba Mwenyekiti, Makamishna, Katibu, wanapaswa kuteuliwa kwa kufuata utaratibu mpya.
..Mpaka hivi tunavyozungumza Rais Samia hajafuata sheria inavyoelekeza kuhusu Tume Huru.
..Sasa kiongozi wa aina hiyo unamuaminije katika kusimamia uchaguzi? Au unaamini vipi ahadi zake nyingine?
Kama kungekuwa na credibility and integrity katika uchaguzi, Mwenyekiti wa NEC alipaswa kujiuzulu.
M/Kiti wa NEC au INEC hawezi kusema chochote kwa Bosi wake Rais wa JMT, wanategemea fairness!
Inashangaza kwamba hata watu makini kama akina Zitto wameingiwa na upofu, wanakwenda kugombea Ubunge bila kuona mambo basic kabisa