Video: Dada wa Bilionea Msuya aangua kilio Mahakamani baada ya Mke wa Msuya kuachiwa huru

Hapa kinachofata ni kisasi labda wamwachie Mungu
 
Vitu vingine sio vya kumuachia Mungu
Kama kweli wachinje huyo mama na wao upande wa mke wakose Yaan wao wanakaa miaka na miaka kusubiria hukum Tz???
Hapo ilitakiwa ni kushika huyu unaua
Kawasaidie kufanya hivyo
 

Analia kwa sababu haki ya mdogo wake haijapatikana...

Ukifuatilia hiyo kesi, ndio kuna ushahidi na vielelezo vingi tu vilipelekwa mahakamani...

Shida ni kwamba, ushahidi ulikuwa unashindwa kumlink pasipo kuacha shaka na huyo mjane wa Erasto Msuya...

Kesi za mauaji sio kama za kuiba kuku, ni ngumu sana hata kwa nchi zilizoendelea ambazo wana mbinu nyingi za kukusanya ushahidi usio na shaka...
 

Familia ya Msuya ina mawe, Erasto alirithishwa mashimo Mbuguni na wazazi wake...

Sema Erasto yeye alifanikiwa zaidi ya ambavyo wazazi wake walifanikiwa...
 
Ukisikia story kuhusu huyo jamaa... kama ni za kweli basi alikua na maadui kibao na ilikuwa lazima aishie kama alivyoishia..
 
Uchawi haupo ni stori tu ambazo hata wazungu walikuwa nazo zama za middle age.

Kama uchawi ungekuwepo na una nguvu. Waafrica tusingeteseka kuomba viza za kwenda majuu, tungekuwa tunaenda marekani na Ungo na kuhamia huko
Uchawi hauvuki bahari wewe jamaa.....bado usingeweza kwenda
 
Uchawi haupo ni stori tu ambazo hata wazungu walikuwa nazo zama za middle age.

Kama uchawi ungekuwepo na una nguvu. Waafrica tusingeteseka kuomba viza za kwenda majuu, tungekuwa tunaenda marekani na Ungo na kuhamia huko
Bado haujarogwa
 
Ndio hivyo mkuu
 
Fact. Ni kwa hapa tu
 
Aliyesimamia kesi ni Kibatala. Ni huyuhuyu ambaye anawakimbiza serikali kesi ya akina Mdee. Sasa tuiamini mahakama, wakili, au dada wa marehemu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…