Mkuu labda wewe na Wilder hamuelewi maana ya 'hall of fame'.
Kwa tafsiri ya kiingereza ni:
Hall of Fame
/hɔːl əv ˈfeɪm/
noun
an institution honouring the achievements of individuals in a particular activity or field.
Na hall of famer hupatikana kwa kupigiwa kura.
Kwa maneno mengine hall of famer lazima awe na long and successful ending career.
Kutokuwa hall of famer haimaanishi kuwa you were not the best through out your career.
Inawezekana mtu akapoteza ubora wake kutokana na sababu mbalimbali especially kwenye boxing ambapo kuna cases nyingi zinazo sababisha 'brain damage' ambayo inaathiri sharpness na qualities zingine kama movements, defensive ability, attacking speed and power, counter attacking nk nk.
Kwa hiyo kusema kuwa bondia aliopigana nao Tyson hawakuishia kuwa hall of famers kwangu ni sabab ya hovyo. Mtu hakuwa/hawi hall of famer kwa kupigana na mtu fulani bali inatazamwa career nzima na bado anapatikana kwa kura (maoni ya wanaompigia). Hata kwenye soka kuna players kibao walikuwa bora sana lakini hawakuwahi kushinda tuzo ya 'mchezaji bora wa dunia'.
Sababu hiyo hapo juu inaweza kumfanya bondia akaacha boxing (kwa ushauri wa wataalamu) ama akaendelea lakini asiwe na ubora wake. Muhammad Alli was a subject of this in his late ages after retiring.
Kwa hiyo mtu kutoingia hall of fame siyo kigezo pekee cha ubora. Pia mkuu
The Boss amegusia hapo, you never become champion by fighting the second best. Tyson is the record youngest heavy weight Champion, let alone being a champion...he achieved it at his younger age.