Video: Deontay Wilder Akisema Nilichosema Juu Ya Mike Tyson

Mi naona ni charity event tu ambayo inataka kutuongezea ubishi. Kuna page moja inasema Tyson Fury kapelekewa ofa ya kuzipanga na Mike na amekubali
Baba yake Tyson Fury ndiye alikuwa anachochea sana mwanaye apande ulingoni na Mike Tyson.

Kuna wakulungwa wametenga bilioni 46 za kumshawishi Mike arudi ulingoni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila sheria yao mapambano yao hakuna kuvaa gloves.
 
Hahaha wakazipige bare knuckle boxing? Mike kapotezwa
 
Unapenda Sana kupotosha historia
Tyson alikuwa undisputed..
Ukiwa undisputed unapewa no 2 upigane nae Kwa lazima au uachie mkanda..

Sasa hapo anabebwaje?
Mh mkuu hebu cheki hoja zangu kama kweli mi napotosha au nimeandika ukweli au kama Wilder anapotosha
 
Nimecheki naona mna shida ya kuelewa..
Mike Tyson alikuwa the best boxer..
But akaingia Kwa madawa akaanza Ku deteriorate...hapo ndo Don king akaanza linda brand...but sio kuwa alikuwa overated..

Hata wakati wanapanga pambano la kwanza na Holifield kabla hajaenda jela..
Critics wengi walisema pambano lifanyike mapema kabla hatujampoteza Tyson kutokana
Na scandal za madawa na kutofanya mazoezi.

Pambano likawekwa la Tyson na Buster.
La ubingwa wa dunia..mshindi atapambana na Holifield no 2 IBF..buster akashinda ..
Ikabidi Busters apambane na Holifield..

Yaani bingwa na no 2...atakaeshinda atapambana na Tyson ambae amekuwa no 3.
Pambano likapangwa na tarehe wakasaini..
Tyson akafungwa

Alipotoka alikuwa kiwango kishashuka sana
 
Niliwahi kuandika huu uzi.

Tyson alikuwa anabebwa, overrated

Katika kupanga na kupangua hoja na kujibishana nikaongea nusu au zaidi ya alichosema Wilder juu ya Tyson.

Angalia hapa.View attachment 1463428
Mkuu labda wewe na Wilder hamuelewi maana ya 'hall of fame'.
Kwa tafsiri ya kiingereza ni:

Hall of Fame

/hɔːl əv ˈfeɪm/

noun

an institution honouring the achievements of individuals in a particular activity or field.

Na hall of famer hupatikana kwa kupigiwa kura.
Kwa maneno mengine hall of famer lazima awe na long and successful ending career.
Kutokuwa hall of famer haimaanishi kuwa you were not the best through out your career.

Inawezekana mtu akapoteza ubora wake kutokana na sababu mbalimbali especially kwenye boxing ambapo kuna cases nyingi zinazo sababisha 'brain damage' ambayo inaathiri sharpness na qualities zingine kama movements, defensive ability, attacking speed and power, counter attacking nk nk.

Kwa hiyo kusema kuwa bondia aliopigana nao Tyson hawakuishia kuwa hall of famers kwangu ni sabab ya hovyo. Mtu hakuwa/hawi hall of famer kwa kupigana na mtu fulani bali inatazamwa career nzima na bado anapatikana kwa kura (maoni ya wanaompigia). Hata kwenye soka kuna players kibao walikuwa bora sana lakini hawakuwahi kushinda tuzo ya 'mchezaji bora wa dunia'.

Sababu hiyo hapo juu inaweza kumfanya bondia akaacha boxing (kwa ushauri wa wataalamu) ama akaendelea lakini asiwe na ubora wake. Muhammad Alli was a subject of this in his late ages after retiring.

Kwa hiyo mtu kutoingia hall of fame siyo kigezo pekee cha ubora. Pia mkuu The Boss amegusia hapo, you never become champion by fighting the second best. Tyson is the record youngest heavy weight Champion, let alone being a champion...he achieved it at his younger age.
 
Nimecheki naona mna shida ya kuelewa..
Mike Tyson alikuwa the best boxer..
But akaingia Kwa madawa akaanza Ku deteriorate...hapo ndo Don king akaanza linda brand...but sio kuwa alikuwa overated..

Hata wakati wanapanga pambano la kwanza na Holifield kabla hajaenda jela..
Critics wengi walisema pambano lifanyike mapema kabla hatujampoteza Tyson kutokana
Na scandal za madawa na kutofanya mazoezi.

Pambano likawekwa la Tyson na Buster.
La ubingwa wa dunia..mshindi atapambana na Holifield no 2 IBF..buster akashinda ..
Ikabidi Busters apambane na Holifield..

Yaani bingwa na no 2...atakaeshinda atapambana na Tyson ambae amekuwa no 3.
Pambano likapangwa na tarehe wakasaini..
Tyson akafungwa

Alipotoka alikuwa kiwango kishashuka sana
Unajua kama Muhammad Ali alifungwa pia na alipotoka akapambana na nani vile?
 
Watu wako tofauti alifungwa na umri gani?
Tyson katoka na 30..na tayari ana issues za madawa na discipline mbovu..

Tyson kwenye ubora wake hakuna angeweza kumpiga..ndo maana hata alipopigwa na Holifield watu hawakuwmini ..wakataka rematch ya haraka...

Huyu Holifield ambae alikuwa cruiserweight champion wakati Tyson anawadunda heavy weight wote..alikuwa mchumba Tu mbele ya Tyson....
 
Ishu ni kwenda jela au ishu ni watu kutofautiana. Wengi mnaisema jela kama excuse ya Tyson kuporomoka.

Haya stori zisiwe ndefu taja bondia aliyewahi kumpiga Tyson, waliporudiana Tyson akashinda pambano la marudio.

Kama hilo siyo ishu jibu swali la Wilder.
 
Eti alikuwa anabebwa,hivi unapigwa ngumi ya uhakika,unakaa chini,unaambiwa amka uendelee unadondoka tena chini bila ya kupigwa,halafu useme aliempiga alibebwa,hainiingiii akilini.Tyson ni bondia ambaye so far sioni mfano wake.Ngumi zake zilikuwa ni kama risasi,ikikupata lazima uweweseke...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini Buster hakuweweseka?
 
Mh mkuu hebu cheki hoja zangu kama kweli mi napotosha au nimeandika ukweli au kama Wilder anapotosha
Hivi mtu mwenye record hii alikuwa anabebwa?

Tyson saw a total of 58 fights in his professional career. Fifty of those he won, 44 of them being by knockout. Among the fights he did not win, he officially lost six, while two fell into the category of no contest.

Halafu soma hapa uelewe #1 contender kwenye title match anavopatikana sio unakazana kusema alikuwa anawakimbia sijui kina nani..

The sanctioning bodies will publish monthly rankings, with the champion at the top spot. Boxers move through the rankings by fighting tougher opponents and winning. A boxer’s rank depends on his win-loss record, the caliber of opponents that he has faced, and how decisive his victories have been.

Boxers must move through the ranks and become the number-one contender to earn a title shot. The champion is required to defend his or her title consistently. Generally, at the very least, he or she must defend it once a year. If several contenders are deserving of a title shot, the contenders will square off against each other and the victor will then face the champion.

Hii inanikumbusha Liverpool wakati Barca wako 'moto', mashabiki wao walikuwa wanasema sisi ndio kiboko ya Barca mleteni tuwaoneshe. Wakati huo Liver hata hawezi kuqualify kucheza champions league, sasa sijui walitaka wakutane na Barca kwenye bonanza?

Kauli za hao boxers wanaodai kukimbiwa na Tyson zilikuwa za kihuni. Huwezi kwenda kupiga mayowe kwenye media kupata 'title shot' wakati taratibu zimewekwa wazi na Boxing sanctioning bodies.
 
Kama rahisi abebwe na yeye.
Unamtizama Wilder kisha unanote huyu ni fighter. Hana time na skills, techs au showboating. He just knocks you out.

Kukosa techs ndiyo kumemfanya apigwe na Tyson Fury
 
Yan watu wote dunian wamkubali mtu halaf utokee wew na wilder msikubaliane halaf utegemee watu wote hao wanaomkubal mike nao wasikilize ujinga wenu wew na wilder...

Ni sawa leo chris brown aseme michael j alikua overated
Sawa usisikilize ujinga wetu. Ewe mwanamke mwenye akili nyingi unaonaje ukajibu tulichouliza sisi mbumbumbu.
 
Hivi mtu mwenye record hii alikuwa anabebwa?

Tyson saw a total of 58 fights in his professional career. Fifty of those he won, 44 of them being by knockout. Among the fights he did not win, he officially lost six, while two fell into the category of no contest.

Halafu soma hapa uelewe #1 contender kwenye title match anavopatikana sio unakazana kusema alikuwa anawakimbia sijui kina nani..

The sanctioning bodies will publish monthly rankings, with the champion at the top spot. Boxers move through the rankings by fighting tougher opponents and winning. A boxer’s rank depends on his win-loss record, the caliber of opponents that he has faced, and how decisive his victories have been.

Boxers must move through the ranks and become the number-one contender to earn a title shot. The champion is required to defend his or her title consistently. Generally, at the very least, he or she must defend it once a year. If several contenders are deserving of a title shot, the contenders will square off against each other and the victor will then face the champion.

Hii inanikumbusha Liverpool wakati Barca wako 'moto', mashabiki wao walikuwa wanasema sisi ndio kiboko ya Barca mleteni tuwaoneshe. Wakati huo Liver hata hawezi kuqualify kucheza champions league, sasa sijui walitaka wakutane na Barca kwenye bonanza?

Kauli za hao boxers wanaodai kukimbiwa na Tyson zilikuwa za kihuni. Huwezi kwenda kupiga mayowe kwenye media kupata 'title shot' wakati taratibu zimewekwa wazi na Boxing sanctioning bodies.
Hahahaha wewe unachekesha.

Chuck Wepner alipata title shot kwa Muhammad Ali. Haya katafute kokote kule kutakapokuonyesha kua Wepner alikua namba 1 au 2 wakati anapanda ulingoni na Ali.

George Foreman alivyopigana na Holyfield alikua ni number 1 contender?

Mzee naijua boxing, nusu na robo ya utakavyovileta hapa ili kuhalalisha ukunguru wa Tyson nitakuonyesha matundu yake wazi wazi.

Tufupishe story. Mjibu Wilder hapa.
 
Mkuu labda wewe na Wilder hamuelewi maana ya 'hall of fame'.
Kwa tafsiri ya kiingereza ni:

Hall of Fame

/hɔːl əv ˈfeɪm/

noun

an institution honouring the achievements of individuals in a particular activity or field.

Na hall of famer hupatikana kwa kupigiwa kura.
Kwa maneno mengine hall of famer lazima awe na long and successful ending career.
Kutokuwa hall of famer haimaanishi kuwa you were not the best through out your career.

Inawezekana mtu akapoteza ubora wake kutokana na sababu mbalimbali especially kwenye boxing ambapo kuna cases nyingi zinazo sababisha 'brain damage' ambayo inaathiri sharpness na qualities zingine kama movements, defensive ability, attacking speed and power, counter attacking nk nk.

Kwa hiyo kusema kuwa bondia aliopigana nao Tyson hawakuishia kuwa hall of famers kwangu ni sabab ya hovyo. Mtu hakuwa/hawi hall of famer kwa kupigana na mtu fulani bali inatazamwa career nzima na bado anapatikana kwa kura (maoni ya wanaompigia). Hata kwenye soka kuna players kibao walikuwa bora sana lakini hawakuwahi kushinda tuzo ya 'mchezaji bora wa dunia'.

Sababu hiyo hapo juu inaweza kumfanya bondia akaacha boxing (kwa ushauri wa wataalamu) ama akaendelea lakini asiwe na ubora wake. Muhammad Alli was a subject of this in his late ages after retiring.

Kwa hiyo mtu kutoingia hall of fame siyo kigezo pekee cha ubora. Pia mkuu The Boss amegusia hapo, you never become champion by fighting the second best. Tyson is the record youngest heavy weight Champion, let alone being a champion...he achieved it at his younger age.

Issue ya Wilder nimejibu hapo juu.

Hahahaha wewe unachekesha.

Chuck Wepner alipata title shot kwa Muhammad Ali. Haya katafute kokote kule kutakapokuonyesha kua Wepner alikua namba 1 au 2 wakati anapanda ulingoni na Ali.

George Foreman alivyopigana na Holyfield alikua ni number 1 contender?

Mzee naijua boxing, nusu na robo ya utakavyovileta hapa ili kuhalalisha ukunguru wa Tyson nitakuonyesha matundu yake wazi wazi.

Tufupishe story. Mjibu Wilder hapa.

1. Mkuu unaelewa maana ya #1 contender?

2. Na umesoma ukaelewa anavopatikana?

3. Mtu kutokuwa #1 contender hakumnyimi kupewa mechi na champion akiomba (optional) yaani kwa mapenzi ya bingwa mwenyewe kwa hiyo akikataa sio issue pia sheria haimbani bingwa.

4. Kukataa kupigana na mtu mwenye sifa ya #1 contender kunakuvua ubingwa wako.

Sasa hao unaowataja kuogopwa na Tyson wakati hawakuwa na sifa ya #1 contender ni kina nani? Inawezekana baadae walikuja kuwa bora lakini kipindi hicho walikuwa average boxers.
 
Back
Top Bottom